Afya na tibalishe

Afya na tibalishe Afya na tiba

🦴 MAUMIVU YA MIFUPA NA MAUNGIO YANAKUUMIZA KIMYA KIMYA? USIPUUZE!Unaumwa:❌ Magoti❌ Kiuno❌ Mgongo❌ Shingo❌ Mabega❌ Visigi...
10/03/2026

🦴 MAUMIVU YA MIFUPA NA MAUNGIO YANAKUUMIZA KIMYA KIMYA? USIPUUZE!

Unaumwa:
❌ Magoti
❌ Kiuno
❌ Mgongo
❌ Shingo
❌ Mabega
❌ Visigino
❌ Viganja
❌ Arthritis (Rheumatoid & Osteoarthritis)
❌ Sciatica
❌ Gout
❌ Uvimbe wa maungio

Watu wengi wanakunywa dawa za maumivu tu… lakini tatizo linarudi 😢

🔎 KWANINI?
Kwa sababu hawajashughulikia CHANZO HALISI cha tatizo.

Maumivu ya mifupa na maungio yanaweza kusababishwa na:
✔️ Uchakavu wa cartilage
✔️ Uvimbe wa muda mrefu (chronic inflammation)
✔️ Asidi ya juu mwilini
✔️ Mzunguko hafifu wa damu
✔️ Lishe isiyo sahihi

💡 SISI tunatoa SULUHISHO kulingana na CHANZO, sio kuficha dalili.

Lengo letu:
✅ Kupunguza uvimbe
✅ Kurejesha uimara wa maungio
✅ Kuimarisha mifupa
✅ Kuboresha mzunguko wa damu
✅ Kurudisha uhuru wa kutembea bila maumivu

📍Usisubiri hadi ushindwe kusujudu, kupanda ngazi au hata kutembea umbali mfupi.

📲 Piga/WhatsApp: 0714282454
Tuanze safari ya kurejesha afya yako leo. #0714282454

09/03/2026

Macho ya njano kwa mtu mwenye Hepatitis B (jaundice) ni ishara muhimu ya kitabibu inayoashiria kuwa ini limeathirika kiasi cha kushindwa kusindika rangi ya bile (bilirubin) ipasavyo.

0714282454

Macho kuwa ya njano huonyesha kuwa:
• Kiwango cha bilirubin kwenye damu kimeongezeka
• Ini halifanyi kazi yake vizuri ya kuchakata na kutoa bilirubin

Sababu kuu kwa mgonjwa wa Hepatitis B
1. Kuvimba sana kwa ini (acute hepatitis flare)
– Virusi vimeongezeka au kinga ya mwili inashambulia ini kwa nguvu
2. Uharibifu wa seli za ini (hepatocellular injury)
– Ini linashindwa kuchakata bilirubin
3. Kuzuia mtiririko wa bile (cholestasis)
– Bile inarudi kwenye damu badala ya kwenda kwenye utumbo
4. Dalili ya hatua ya juu ya ugonjwa wa ini
– Inaweza kuashiria cirrhosis au hata liver failure ikiwa imeambatana na dalili nyingine

Dalili nyingine zinazoweza kuambatana
• Mkojo wa rangi ya giza (k**a soda)
• Kinyesi cheupe au cha rangi ya udongo
• Uchovu mwingi
• Kichefuchefu au kutapika
• Maumivu upande wa juu kulia wa tumbo
• Ngozi kuwasha

Umuhimu wa kitabibu

➡️ Hii ni dalili ya hatari
Mgonjwa mwenye Hepatitis B na macho ya njano anahitaji:
• Vipimo vya haraka: LFTs (ALT, AST, ALP, bilirubin), HBV DNA
• Tathmini ya kiwango cha uharibifu wa ini
• Uamuzi wa haraka wa kuanza au kurekebisha matibabu

Hitimisho

Macho ya njano kwa mgonjwa wa Hepatitis B si dalili ya kawaida ya kupuuzwa.
Ni ishara kuwa ini linaumia au lipo kwenye hatari kubwa, na mgonjwa anatakiwa kupata huduma ya haraka ya kitaalamu.

Ikiwa Umefikia hatua hizi ni changamoto kupata suluhisho sahihi lakini k**a bado AFYA yako iko vizuri na haujafikia hatua hii Nipigie kwa msaada zaidi;
☎️+255 0714282454

゚viralシfypシ゚

05/03/2026

Hepatitis b inatibika wahi matibabu mapema kabla hayajaleta madhara makubwa zaidi apo badae
Kwa tiba na ushauri wasiliana nami
0714282454
゚viralシfypシ゚

18/02/2026

☎️+255 714282454

0714282454UMESHAWAHI KUJIULIZA, Kwa nini siku hizi vijana wengi wanasumbuliwa na NGIRI (HERNIA)..?Wengi hudhani ni ugonj...
17/02/2026

0714282454
UMESHAWAHI KUJIULIZA, Kwa nini siku hizi vijana wengi wanasumbuliwa na NGIRI (HERNIA)..?

Wengi hudhani ni ugonjwa wa wazee, wengine hudhani ni laana…

Lakini ukweli wa kitabibu ni huu...👇

HERNIA si bahati mbaya, Ni ujumbe wa mwili wako kuwa umeelemewa....☠️

*Hernia au Ngiri...*

Ni hali ambapo kiungo cha ndani (hasa utumbo) kinasukumwa kupitia sehemu dhaifu ya misuli ya tumbo, na kutengeneza uvimbe...

Na hapo ndipo tatizo linaanza...👇

Kwa nini vijana wa leo wako hatarini zaidi, sababu kuu ni hizi....

1. Kunyanyua mizigo mizito bila mbinu sahihi, viwandani, ujenzi, gym bila mwongozo...

2. Kukohoa au kupiga chafya muda mrefu bila tiba, Huongeza presha tumboni kila siku....

3. Kukaa chooni muda mrefu na kusukuma sana Constipation au choo kigumu...

4. Unene kupita kiasi, Mafuta huongeza udhaifu kwenye misuli ya tumbo....

5. Maisha ya kukaa sana bila mazoezi, Misuli lazima ilegea polepole...

6. Upungufu wa nguvu za misuli tangu kuzaliwa, Genetic weakness...

*Tuzione dalili ambazo vijana wengi huzipuuza...👇*

Wengi huja hospitali wakiwa wamechelewa kwa sababu walidharau hizi dalili....

↳ Uvimbe tumboni au kwenye korodani unaokuja na kupotea...
↳ Maumivu unapoinama au kunyanyua kitu vizito,
↳ Kuhisi hali ya uzito tumboni chini ya kitovu...
↳ Kuchoka haraka unapofanya kazi...

*Ukweli wa kitabibu usiosemwa wazi, Hakuna dawa ya kunywa inayotibu hernia...*

❌ Dawa hupunguza maumivu tu...
❌ Hupotezi tatizo..
❌ Hairekebishi misuli..

Tiba ya kudumu ni upasuaji (surgery) kwa wakati sahihi, Kuchelewa huongeza hatari kubwa zaidi...

Umewahi kuona uvimbe tumboni au kwenye korodani ukija na kuondoka..?

0714282454

14/02/2026
11/02/2026

*Mwanaume k**a hupati hata aina moja kati ya vyakula hivi kwa siku. Jitahmini*
1. Oats (shayiri): Huongeza nguvu, hupunguza cholesterol
2. Maharage/choroko/mbegu jamii ya kunde: Protein + husaidia uzalishaji wa homoni
3. Lozi (almonds): Huongeza nguvu za kiume, afya ya mishipa
4. Chia seeds: Huimarisha damu na stamina
5. Parachichi: Mafuta mazuri, huongeza hamu ya tendo
6. Ndizi: Huongeza nguvu na kusaidia kusimamisha uume
7. Mtindi (yogurt): Huboresha mmeng’enyo na kinga
8. Mchicha/mboga za majani: Huongeza damu na afya ya uzazi
9. Chokoleti nyeusi: Huboresha mzunguko wa damu ❤️
*Kwa Ushauri wasiliana nami 255714282454

*Mwanaume k**a hupati hata aina moja kati ya vyakula hivi kwa siku. Jitahmini* 1. Oats (shayiri): Huongeza nguvu, hupung...
11/02/2026

*Mwanaume k**a hupati hata aina moja kati ya vyakula hivi kwa siku. Jitahmini*
1. Oats (shayiri): Huongeza nguvu, hupunguza cholesterol
2. Maharage/choroko/mbegu jamii ya kunde: Protein + husaidia uzalishaji wa homoni
3. Lozi (almonds): Huongeza nguvu za kiume, afya ya mishipa
4. Chia seeds: Huimarisha damu na stamina
5. Parachichi: Mafuta mazuri, huongeza hamu ya tendo
6. Ndizi: Huongeza nguvu na kusaidia kusimamisha uume
7. Mtindi (yogurt): Huboresha mmeng’enyo na kinga
8. Mchicha/mboga za majani: Huongeza damu na afya ya uzazi
9. Chokoleti nyeusi: Huboresha mzunguko wa damu ❤️
*Kwa Ushauri wasiliana nami 255714282454

01/02/2026

Macho ya njano kwa mtu mwenye Hepatitis B (jaundice) ni ishara muhimu ya kitabibu inayoashiria kuwa ini limeathirika kiasi cha kushindwa kusindika rangi ya bile (bilirubin) ipasavyo.

0714282454

Macho kuwa ya njano huonyesha kuwa:
• Kiwango cha bilirubin kwenye damu kimeongezeka
• Ini halifanyi kazi yake vizuri ya kuchakata na kutoa bilirubin

Sababu kuu kwa mgonjwa wa Hepatitis B
1. Kuvimba sana kwa ini (acute hepatitis flare)
– Virusi vimeongezeka au kinga ya mwili inashambulia ini kwa nguvu
2. Uharibifu wa seli za ini (hepatocellular injury)
– Ini linashindwa kuchakata bilirubin
3. Kuzuia mtiririko wa bile (cholestasis)
– Bile inarudi kwenye damu badala ya kwenda kwenye utumbo
4. Dalili ya hatua ya juu ya ugonjwa wa ini
– Inaweza kuashiria cirrhosis au hata liver failure ikiwa imeambatana na dalili nyingine

Dalili nyingine zinazoweza kuambatana
• Mkojo wa rangi ya giza (k**a soda)
• Kinyesi cheupe au cha rangi ya udongo
• Uchovu mwingi
• Kichefuchefu au kutapika
• Maumivu upande wa juu kulia wa tumbo
• Ngozi kuwasha

Umuhimu wa kitabibu

➡️ Hii ni dalili ya hatari
Mgonjwa mwenye Hepatitis B na macho ya njano anahitaji:
• Vipimo vya haraka: LFTs (ALT, AST, ALP, bilirubin), HBV DNA
• Tathmini ya kiwango cha uharibifu wa ini
• Uamuzi wa haraka wa kuanza au kurekebisha matibabu

Hitimisho

Macho ya njano kwa mgonjwa wa Hepatitis B si dalili ya kawaida ya kupuuzwa.
Ni ishara kuwa ini linaumia au lipo kwenye hatari kubwa, na mgonjwa anatakiwa kupata huduma ya haraka ya kitaalamu.

Ikiwa Umefikia hatua hizi ni changamoto kupata suluhisho sahihi lakini k**a bado AFYA yako iko vizuri na haujafikia hatua hii Nipigie kwa msaada zaidi;
☎️+255 0714282454

26/01/2026

TAHADHARI: HOMA YA INI ( HEPATITIS ) NI HATARI INA~U~A! CHUKUA HATUA ZA HARAKA SASA..!!!!

Homa ya INI ni ugonjwa hatari unaoathiri INI , na kusababisha madhara makubwa, k**a SARATANI YA INI, KOVU KWENYE INI na INI kushindwa kufanya kazi, ( liver Failure) Homa ya ini aina B & C ( HBV / HCV) ndizo hatari zaidi kwa sababu inaweza kusababisha maambukizi ya kudumu,( CHRONIC HEPATITIS B)

Miongoni mwa Dalili:

Tambua kwamba...:Dalili za homa ya ini zinaweza zisijitokeze MAPEMA ila wakati huo INI likiendelea kushambuliwa, lakini baadhi ya Dalili ni pamoja na:

1️⃣Uchovu usio wa kawaida

2️⃣Maumivu ya Tumbo juu (upande wa ini)

3️⃣Macho au ngozi kuwa ya njano

4️⃣Kichefuchefu au kutapika

5️⃣Kupungua kwa hamu ya kula
6️⃣ Homa na Maumivu ya viungo
7️⃣ Mkojo mweusi au rangi ya Coca-Cola na Kinyesi chepesi.

NAMNA YA KUAMBUKIZA

Homa ya ini huambukizwa kupitia:

🟢Mama kwa mtoto wakati wa kujifungua au kunyonyesha

🟢Kugusana na damu au majimaji ya mwili wa mtu aliyeambukizwa

🟢Kujamiiana bila kinga na mtu mwenye maambukizi

🟢Kutumia vifaa vya kutoboa ngozi k**a sindano au nyembe ambazo hazijapimwa
🟢 Kuzidi kwa Sumu Mwili na hata Kuwa na Mafuta mengi kwenye ini (Liver Fatty)
🟢Kuongezewa Damu yenye Virusi, Nk.

Jinsi ya kuji Kinga

➡️Pata chanjo ya homa ya INI (hasa aina B & C ).

➡️ Epuka Unywaji wa Pombe.

➡️ Epuka sana Ngono zembe.

➡️ Kuwa mwangalifu na huduma za afya zinazohusisha damu au bidhaa zake, Nk.

Hatua za Haraka
Fanya uchunguzi wa afya yako mara kwa mara Ikiwa umeambukizwa, fuata ushauri wa Kitaalam

_Ps_ : Homa ya INI ( HEPATITIS B & C) ni tishio kubwa kwa afya yako ukilinganisha na magonjwa Mengine, lakini inaweza kuzuilika, kutibiwa mapema na ukapona.

Tuchukue hatua kwa pamoja ili kuzuia kuenea kwake.

Kwa maelezo zaidi; Ushauri, Matibabu, Lishe na Chakula tembelea kituo chetu ( Ofisini) TUPO KIMARA STOP OVER DAR ES SALAAM TANZANIA au wasiliana nasi..
Piga Simu au WhatsApp
0714282454

19/01/2026

Kwa tiba na ushauri wasiliana nami
0714282454

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na tibalishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram