Afya ni bora

Afya ni bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ni bora, Medical and health, Majumba sita, Dar es Salaam.

GCAT HOSPITAL   Ni Mabingwa wa Kutatua Changamoto za Mifupa na Maungio kwa kutumia Virutubisho Lishe (Diatery Supplement...
31/07/2025

GCAT HOSPITAL Ni Mabingwa wa Kutatua Changamoto za Mifupa na Maungio kwa kutumia Virutubisho Lishe (Diatery Supplements) Visivyo na Kemikali Kwa 98% Hii ni Baada ya kufanya vipimo vya mwili mzima na kugundua watu wengi wanasumbuka na Changamoto za Mifupa na Maungio kwa muda mrefu na wametumia Dawa nyingi Mno bila Mafanikio 😒
Tumekuandalia Program Maalum ya vipimo kwa Elfu 30,000/ Kwaajili Yako wewe Unayesumbuliwa na Changamoto za Mifupa na Maungio.

π——π—”π—Ÿπ—œπ—Ÿπ—œ 𝗭𝗔 π— π—œπ—™π—¨π—£π—” 𝗑𝗔 π— π—”π—¨π—‘π—šπ—œπ—’ πŸ‘‡
🌿 Kusagika kwa Pingili za Mgongo
🌿 Maumivu Makali ya Kiuno na Mgongo
🌿 Mifupa Kusagana
🌿 Miguu Kuwaka Moto
🌿 Kuhisi Ganzi
🌿 Maumivu ya Shingo, Kiuno
🌿 Kukosa Uteute kwenye Magoti
🌿 Kushindwa Kutembea n.k

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’π—¦π—”π—•π—”π—•π—œπ—¦π—›π—” π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 π— π—œπ—™π—¨π—£π—” (π—’π—˜π—§π—˜π—’π—£π—’π—₯π—’π—¦π—œπ—¦) πŸ‘‡
✍️ Magonjwa ya figo.
✍️ Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye (Menopause) kikomo cha hedhi
✍️ Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
✍️ Anorexia uzito mdogo kupita kiasi APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoezi kupita kiasi.

𝗔𝗧𝗛𝗔π—₯π—œ π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’π—¦π—”π—•π—”π—•π—œπ—¦π—›π—ͺ𝗔 𝗑𝗔 π—–π—›π—”π—‘π—šπ—”π— π—’π—§π—’ 𝗭𝗔 π— π—œπ—™π—¨π—£π—” 𝗑𝗔 π— π—”π—¨π—‘π—šπ—œπ—’ πŸ‘‡
πŸ€ Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
πŸ€ Kupinda Mgongo wakati wa Uzeeni
πŸ€ Maumivu makali ya Mifupa hasa Katika uti wa mgongo, Mabegani, Kifuani na katika Nyonga.
πŸ€ Ulemavu wa Kudumu
πŸ€ Kupata Tatizo la Kiharusi (Stroke)
πŸ€ Kifo πŸ˜₯

π—žπ—ͺ𝗔 π—§π—œπ—•π—” 𝗑𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨π—₯π—œ π—­π—”π—œπ——π—œ
Tembelea hospital zetu Zilizopo Nchi Nzima au Tupigie Sasa Kupitia
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ+255762044488. https://wa.me/message/76B5ZSBLVOVZD1

HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU KWA MAGONJWA YOTE KWA KINA MAMA, BABA NA WATOTO KUANZIA MIAKA 10.GCAT ETERNAL HOSPITAL Inak...
28/01/2025

HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU KWA MAGONJWA YOTE KWA KINA MAMA, BABA NA WATOTO KUANZIA MIAKA 10.

GCAT ETERNAL HOSPITAL Inakutangazia ofa ya Vipimo na Matibabu kwa magonjwa yote sugu
β–ͺ️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu na kumuona Daktar pamoja na Ushauri ni Bure.
β–ͺ️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
πŸ”ΉPresha, πŸ”ΉMatatizo ya Moyo na INI
πŸ”ΉKansa, πŸ”ΉVidonda vya Tumbo,
πŸ”ΉKisukari πŸ”ΉPumu
πŸ”ΉStroku. πŸ”ΉMatatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
πŸ”ΉMatatizo ya mifupa, πŸ”ΉMatatizo ya miguu
πŸ”ΉNgozi, πŸ”ΉFigo, πŸ”ΉFangasi sugu
πŸ”ΉKupunguza unene, uzito, na matumbo
πŸ”ΉKuongeza kinga mwilini(CD4)
πŸ”ΉU.T.I sugu, πŸ”ΉGesi
πŸ”ΉBawasiri, πŸ”ΉTenzi dume
πŸ”ΉHeshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
β€’ Kuosha
β€’ Kulinda/ Kukinga
β€’ Kujenga
β€’ Kutibu

Karibu sana Upate huduma yetu msimu huu wa Ofa. Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0762044488
Kwa Whatsapp gusa Link hapa chinihttps://wa.me/message/76B5ZSBLVOVZD1

28/01/2025

Address

Majumba Sita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram