Afya Fit

Afya Fit Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la changamoto za magonjwa sugu

Afya fit
24/12/2024

Afya fit

NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFUMatatizo mengi sana ya ...
22/12/2024

NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana kwenye vituo vyetu vya afya vya Eternal Health Clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15 Tanzania kupata suluhu la changamoto yako.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

👉 P.I.D
👉 Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
👉 Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
👉 Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
👉 Mvurugiko wa siku za hedhi
👉 Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
👉 Mimba kuharibika
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Mirija ya uzazi kuziba
👉 Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

👉 KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu thelathini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

Dr. Msuka
0616656927

Kamwe Usitafute Tiba Za Changamoto Za Uzazi Pasipo Uangalifu!Changamoto Za Uzazi Kwa Wanaume Na Wanawake Huja Na Matokeo...
12/12/2024

Kamwe Usitafute Tiba Za Changamoto Za Uzazi Pasipo Uangalifu!

Changamoto Za Uzazi Kwa Wanaume Na Wanawake Huja Na Matokeo Ya Kufanana Lakini Vyanzo Na Visababishi Vyake Hutofautiana Sana.

Ili Kutibu Changamoto Za Uzazi Kwa Uhakika Zaidi Shiriki Kwanza Vipimo Vya Mfumo Mzima Wa Uzazi Vitakavyokusaidia Sana Kufahamu Yafuatayo;

✅️ Kujua Tatizo Zaidi Ni Lipi (Wengi Hawafahamu Changamoto Walizonazo Wanaziotea Tu Kwa Kuangalia Dalili Peke Yake)

✅️ Kufahamu Chanzo Cha Tatizo (Changamoto Za Uzazi Hazitibiwi Kwa Kutazama Matokeo Peke Yake! Vipimo Vitakupa Nafasi Ya Kufahamu Vyanzo Ni Vipi Na Ndio Msingi Wa Afya Njema Ya Uzazi)

✅️ Kufahamu Namna Tatizo Lilivyoathiri Uzazi Kwa Ndani

Vipimo Hivi Vya Uzazi Na Matibabu Ya Uzazi Yanapatikana Kwenye Vituo Vyetu Vya Afya Vilivyopo Kwenye Zaidi Ya Mikoa 20 Kwa Thamani Ya Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu!)

Ndio Ni Kwa Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu)

Wasiliana Nasi Hapa Kupata Vipimo Sahihi Vya Uzazi Na Matibabu Sahihi Zaidi

Dr Elias Msuka
0616656927

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Fit posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram