Afya Yangu

Afya Yangu Hi!!karibu Tunatoa huduma ya kutoa sumu mwilini,pia tunatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima

🌟 GCAT HOSPITAL– Center bora ya matibabu ya magonjwa yote sugu na madaktari bora waliobobea🌟Unasumbuliwa na magonjwa hay...
18/12/2025

🌟 GCAT HOSPITAL– Center bora ya matibabu ya magonjwa yote sugu na madaktari bora waliobobea🌟
Unasumbuliwa na magonjwa haya?
🔹 Magonjwa ya Uzazi: Maambukizi ya njia ya uzazi, uvimbe kwenye kizazi (fibroids), kukosa hedhi, hedhi isiyo na mpangilio, ugumba (infertility), na mengineyo.
🔹 Saratani: Saratani ya kizazi, matiti, tezi dume (prostate), ini, ngozi n.k
🔹 Kisukari: Kisukari cha aina zote na madhara yake k**a vidonda visivyopona, ganzi miguu, na matatizo ya macho.
🔹 Shinikizo la Damu (Pressure): High/low blood pressure, kizunguzungu, kuchoka sana n.k
🔹 Magonjwa ya Ngozi: Upele, mba kichwani, chunusi, fangasi sugu, vipele vya moto, ukurutu (eczema), madoa usoni.
🔹 Magonjwa ya Tumbo: Vidonda vya tumbo, gesi, kujaa, kukosa choo au kuharisha mara kwa mara, minyoo, na maambukizi ya bakteria tumboni.
🔹 Uvimbe wa aina zote: Uvimbe tumboni, kwenye ngozi, viungo vya uzazi, tezi, kichwani n.k
🔹 Magonjwa ya Mifupa na Viungo: Maumivu ya mgongo, kiuno, magoti, arthritis, baridi yabisi, mifupa iliyochoka n.k
🔹 Magonjwa ya Mishipa na Ubongo: Ganzi mwilini, kufa ganzi miguu/mikono, degedege, kifafa, stroke, kupoteza kumbukumbu n.k
🔹 Magonjwa ya Moyo, Figo, Ini, Mapafu, na Maambukizi Sugu ya Mwili.

🧬 Tunafanya vipimo kwa kutumia teknolojia ya kisasa kutoka India na China, pamoja na matibabu ya kibunifu kupitia Tibalishe – mchanganyiko wa lishe tiba na tiba asilia unaowezesha mwili kupona kwa ufanisi bila madhara ya kemikali.

✅ Tunajivunia madaktari bingwa wenye uzoefu na huduma rafiki kwa kila mgonjwa.

📍 Tunapatikana:
Njia panda kigogo Dar es Salaam na mikoa mbalimbali Tanzania nzima 🇹🇿

📞 Wasiliana Nasi Leo:
📲 +255 618068878 on
Bofya kitufe cha whatsap kututumia ujumbe
💬 Afya yako ni msingi wa maisha bora – GCAT Hospital tunakujali kwa moyo wote!

JEE!!!!?🫠UNASUMBUKA NA HEDHI!?,🫠UNASUMBUKA NA PID!?.,🫠MIMBA ZINATOKA BILA MPANGILIO!?.🫠HUWEZI SHIRIKI TENDO NA MWENZI WA...
17/12/2025

JEE!!!!?
🫠UNASUMBUKA NA HEDHI!?,
🫠UNASUMBUKA NA PID!?.,
🫠MIMBA ZINATOKA BILA MPANGILIO!?.
🫠HUWEZI SHIRIKI TENDO NA MWENZI WAKO IPASAVYO!!?

👉NJOO SASA TUKUHUDUMIE.,UFAHAMU CHANGAMOTO YAKO INAYOKUSUMBUA..EWE BABA EWE MAMA NJOO TUKUBADILISHE JINA UITWE MAMA AU BABA..

UTAPATA KIPIMO HIKI KWA SHILINGI ELFU30,000= NA UTAONANA NA DAKTARI BURE KABISAA.

TUNAPATIKA NJIA PANDA KIGOGO DAR ES SALAAM.KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE NAMBA 0618068878..

Karibuni saana,,Nyoote mnakaribishwaa

TANGAZO TANGAZO TANGAZOTAASISI YA ETERNAL INTERNATIONAL INAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAZEE,VIJANA,WAKUBWA ,WATOTO,WANAU...
13/10/2025

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

TAASISI YA ETERNAL INTERNATIONAL INAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAZEE,VIJANA,WAKUBWA ,WATOTO,WANAUME NA WANAWAKE..

KUWA IMELETA OFFER YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA BEI NAFUU YA SHILINGI ELFU30,000/=TU.

UTAPATA FAIDA YA KUJUA AFYA YAKO UTAPATA FAIDA YAKUONANA NA MADAKTARI WABOBEZI LAKINI UTAPATA KUJUA NININI KINAKUSUMBUA

WAHU SASA UJE UJUE AFYA YAKO NA UJUE NINI KINAKUSUMBUA,TUNAPATIKA TANZANIA NZIMA KWA UPANDE WA DAR ES SALAAMA TUNAPATIKANA NJIA PANDA YAKIGOGO ,,KWA MAWASILIANO ZAIDI NIPIGIE NAMBA/WHATSUP NAMBA 0618068878

karibu tako
afya yako
afya yako
afya yako
na kukuthamini

FIBROID(UVvimbe kwenye kizazi)Ni hali ambapo kuna kuwa na tishu isiyo yakawaida ndani ya mji wa mimba au karibu kabisa n...
19/07/2025

FIBROID(UVvimbe kwenye kizazi)

Ni hali ambapo kuna kuwa na tishu isiyo yakawaida ndani ya mji wa mimba au karibu kabisa na mji wa mimba(uterus)

☆Uvimbe kwenye kizazi(fibroid) hii ndy aina maarufu ya uvimbe kwenye kizazi unaweza kuitwa pia
-MYOMA
-LEIOMYOMA

SIFA
-Ni vimbe zisizo na kansa
-Hutokana na ukuaji wa ukuta wa kizazi
-Ukubwa wake hutofautiana unaweza kuwa vidogo k**a maharage au ukubwa k**a ndimy
-Huweza kuotandani,nje au kwenye ukuta wa ndani unaobeba mimba

DALILI ZAKE
▪︎Kupata hedhi nzito na yamuda mrefu
▪︎Maumivu kwenye kinena/maumivu wakati wa tendo
▪︎Kupata choo kigumu
▪︎Ugumu wakushika/kuharibika mimba
▪︎kubanwa kwa kibofu cha mkojo/kukojoa mara kwa mara

SABABU
SAbabu za ugonjwa huu hazijajulikana kikamilifu,ila kuna baadhi ambazo zimegundulika ambazo ni
▪︎Homoni(estrogen na progesterone inachangia ukuaji wa fibroid)
▪︎kurithi
▪︎Uzito mkubwa
▪︎Umri wa kuzaa

MADHARA
▪︎Ugumba
▪︎kuchelewa kuzaa au ugumba
▪︎Kansa

NI WATU GANI AMBAO WAKO KWENYE HATARI YA KUPATA UGONJWA HUU!?
Wenye hatari zaidi yakupata ugonjwa huu ni
☆Wanawake wenye umri kuanzia miaka30 hadi 45
☆wenye historia na ugonjwa huu kwenye ukoo wao
☆Uzito uliopitiliza

MATIBABU
Matibabu yake yanategemea na ukubwa,sehemu na dalili zake
-Kufanya vipimo mara kwa mara
-vidonge
-Operesheni
-Mionzi

Hivyo basi wanawake wengi wa kiafrika wannathirika zaidi na huu ugonjwa pasipo kupata matibabu stahiki,hivyo bhc taasisi ya ETERNAL INTERNATIONAL inakuletea ofa kabambe ya madaktari waliobobea waliofunzwa kutoka china pamoja na offer ya kipimo cha mwili mzima kwa bei nafuu kabisa

Unachelewa nini sasa wahi sasa uje ujue afya yako na uanze kujipatia matibabu yaliyo sahihi

Tupo kigogo njia panda,
mawasiliano zaidi tupigie namba 0740 068 897


kukuthamini
NYOTE MNAKARIBISHWAA...

12/07/2025

*✨✨ TANGAZO LA KUPIMA AFYA! ✨✨*
*ETERNAL INTERNATIONAL inakuambia...*
*🛑 Usisubiri hadi hali iwe mbaya! Njoo upimwe mapema!*

*📅 TAREHE 20.05.2025 HADI TAREHE 15.06.2025
*⏰ MUDA: Kila siku asubuhi hadi jioni*
*📍 MAHALI: Popote ulipo, nchi nzima tunahudumia!*
*☎️ MAWASILIANO: 0740 068897

*✅ Tunapima MWILI MZIMA kwa 30,000 tu!*
*Kwa bei hii nafuu, utapata uchunguzi wa kina kwa:*
*Shinikizo la damu ❤️*
*Kisukari 🩸*
*Figo na ini ⚕️*
*Maumivu ya viungo 🦵*
*Matatizo ya tumbo 🤕*
*Uzito na BMI ⚖️*
*Na mengine mengi ya mwilini!*
*⚠️ USIPUUZE dalili!*
*Maumivu madogo yanaweza kuwa ishara ya jambo kubwa.*
*🧪 PIMA, TIBIKA, NA ENDELEA KUISHI kwa amani.*

*ETERNAL INTERNATIONAL inakuletea huduma ya kisomi, ya kitaalamu, na ya kiroho, kwa kutumia* *virutubisho asilia kutoka China – bila sumu, bila maumivu!*

* *
* *
* *
* *
* *
* *
* *

KARIBUNI SANA!!!

Afya yako ni dhamana kwetu🫵
,Tunakupenda...

*✨✨ TANGAZO LA KUPIMA AFYA! ✨✨*  *ETERNAL INTERNATIONAL inakuambia...*  *🛑 Usisubiri hadi hali iwe mbaya! Njoo upimwe ma...
17/05/2025

*✨✨ TANGAZO LA KUPIMA AFYA! ✨✨*
*ETERNAL INTERNATIONAL inakuambia...*
*🛑 Usisubiri hadi hali iwe mbaya! Njoo upimwe mapema!*

*📅 TAREHE 20.05.2025 HADI TAREHE 15.06.2025
*⏰ MUDA: Kila siku asubuhi hadi jioni*
*📍 MAHALI: Popote ulipo, nchi nzima tunahudumia!*
*☎️ MAWASILIANO: 0740 068897

*✅ Tunapima MWILI MZIMA kwa 20,000 tu!*
*Kwa bei hii nafuu, utapata uchunguzi wa kina kwa:*
*Shinikizo la damu ❤️*
*Kisukari 🩸*
*Figo na ini ⚕️*
*Maumivu ya viungo 🦵*
*Matatizo ya tumbo 🤕*
*Uzito na BMI ⚖️*
*Na mengine mengi ya mwilini!*
*⚠️ USIPUUZE dalili!*
*Maumivu madogo yanaweza kuwa ishara ya jambo kubwa.*
*🧪 PIMA, TIBIKA, NA ENDELEA KUISHI kwa amani.*

*ETERNAL INTERNATIONAL inakuletea huduma ya kisomi, ya kitaalamu, na ya kiroho, kwa kutumia* *virutubisho asilia kutoka China – bila sumu, bila maumivu!*

* *
* *
* *
* *
* *
* *
* *

KARIBUNI SANA!!!

Afya yako ni dhamana kwetu🫵
,Tunakupenda...

GCAT HEALTH CARE CLINIC KUTOKA CHINA.👇TUNAKULETEA  WATAALAMU WA UPIMAJI WA MAGONJWA YOTE SUGU YASIYOAMBUKIZA K**A VILE🍇 ...
01/05/2025

GCAT HEALTH CARE CLINIC KUTOKA CHINA.👇
TUNAKULETEA WATAALAMU WA UPIMAJI WA MAGONJWA YOTE SUGU YASIYOAMBUKIZA K**A VILE
🍇 𝗞𝗜𝗦𝗨𝗞𝗔𝗥𝗜
🍇 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗨𝗥𝗘
🍇 𝗣𝗨𝗠𝗨
🍇 𝗠𝗜𝗙𝗨𝗣𝗔
🍇 𝗠𝗜𝗦𝗨𝗟𝗜
🍇 𝗠𝗜𝗦𝗛𝗜𝗣𝗔
🍇 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗢
🍇 𝗞𝗔𝗡𝗦𝗔
🍇 𝗜𝗡𝗜
🍇 𝗣.𝗜.𝗗
🍇𝗧𝗘𝗭𝗜 𝗗𝗨𝗠𝗘
🍇𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗢𝗬𝗢
🍇𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗙𝗜𝗚𝗢
🍇𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗭𝗜
(wanaume, wanawake)
🍇𝗨.𝗧.𝗜 𝗦𝗨𝗚𝗨
🍇𝗙𝗔𝗡𝗚𝗔𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗭𝗢𝗧𝗘
🍇𝗩𝗜𝗗𝗢𝗡𝗗𝗔 𝗩𝗬𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗢
🍇𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜
KIPIMO HIKI KITA SCAN MWILI WAKO WOTE KWANZIA KICHWANI HADI MIGUUNI,, HIVYO BASI HAKUNA UGONJWA WOWOTE UTAKAOJIFICHA
𝗨𝗦𝗜𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗜𝗞𝗘 TENA
NJOO UPATE SULUHISHO LA AFYA YAKO,
KIPIMO HIKI SI CHA WAGONJWA TU BALI NI MTANZANIA YOYOTE ANAETAKA KUJUA UNDANI WA AFYA YAKE
𝗧𝗨𝗡𝗔𝗭𝗢 𝗗𝗔𝗪𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗦𝗛𝗔 ZENYE UWEZO WA JUU SANA KUWEZA KUTATUA CHANGAMOTO YAKO YOYOTE

WAHI SASA NDANI YA MWEZI HUU KWA SIKU 15 TU

HII OFA ISIKUPITE PIGA SIMU/TUMA SMS AU WHATSAPP KWA NAMBA 0740 068 897

HORMONAL IMBALANCE HORMONES ni kemikali zinazounganisha kazi mbalimbali katika mwili kwakusambaza taarifa kupitia damu k...
24/04/2025

HORMONAL IMBALANCE

HORMONES ni kemikali zinazounganisha kazi mbalimbali katika mwili kwakusambaza taarifa kupitia damu kwenda kwenye organs,ngozi,misuli na tissue.ambazo huziamuru nini kifanye nanini kinatokea.

👉HORMONAL IMBALANCE hutokea kuzidi kupita kiasi au kungua kwa homon8

SABABU ZINAZOPELEKEA HORMONAL IMBALANCE
🌿Hedhi isiyo nampangilio
🌿Utasa
🌿Chunusi
🌿Uzito kupitiliza
🌿Kisukari

DALILI ZA HORMONAL IMBALANCE ZINAZOATHIRI UFANYAJI KAZI WA MWILI
🌿Kupungua au kwenda mbio kwa mapigo ya moyo
🌿kupungua kwa uzito/kuongezeka
🌿Uchovu
🌿Choo kuwa kikavu
🌿kuharisha au kuunguruma kwatumbo kupita kiasi
🌿kukaza kwa mikono
🌿Kupanda kwa Cholesterol
🌿Hofu
🌿kushindwa kuvumilia joto au baridi
🌿Ngozi kuwa kavu
🌿Kukojoa mara kwamara

DALILI KWA MWANAMKE
👱‍♀️Chunusi kutokea kwenye sura,kifua na mgongoni
👱‍♀️Kukosa nywele
👱‍♀️kutokwa nadamu nzito ya hedhi
👱‍♀️kuzidi kwa vinyweleo
👱‍♀️Utasa
👱‍♀️Hedhi isiyokuwa na mpangilio
👱‍♀️Kukosa hamu yatendo landoa
👱‍♀️kukosa ute ukeni

DALILI KWA MWANAUME
🙎kupungua kwa vinyweleo
🙎kushindwa kusimamisha
🙎kuongezeka kwa maziwa
🙎utasa
🙎Kukosa hamu yatendo la ndoa
🙎kupungua kwa misuli

SABABU
👉Umaskini
👉Ujauzito
👉kukoma
👉Mawazo
👉Matumizi ya sindano za uzazi wa mpango
👉Matumizi ya madawa

NOTE;UKOMAVU/USUGU WA HORMONAL IMBALANCE UNAWEZA SABABISHA UVIMBE,KUHARIBIKA KWA TEZI NA MATATIZO YA KINGA ZA MWILI.

NAMNA YA KUZUIA
-DUMISHA KUFANYA MAZOEZI
-KULA MLO KAMILI
-PUNGUZA MAWAZO
-PATA MUDA MWINGI WA KULALA
-ACHA MATUMIZI YA TO***CO

Unaweza kudhibiti hili tatizo k**a bado hujachelewa au halijakushambulia hivyo unaweza kulidhibiti kwa hizo njia hapo juu,na k**a unaona dalili mojawapo unatakiwa umuone daktari kwa ushauri na tiba inapohitajika.

Njoo tukuhudumie na ufurahie maisha yako,tunapatikana mikoa yote ya Tanzania na kwa upande wa Dsm tunapatikana njia panda yakigogo

Kwa mawasiliano zaidi tupigie namba 0740 068 897

KARIBUNI SAANAA!!

 Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na MatibabuShirika la Afya kutoka CHINA/ ETE...
21/04/2025


Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na Matibabu

Shirika la Afya kutoka CHINA/ ETERNAL HOSPITAL, Imeanza kutoa Ofa kwa wagonjwa wote wanao fika katika vituo vyake vyote, na Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 20,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🚑 🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI
🔹Kansa, 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Pumu
🔹Stroku. 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa, 🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi, 🔹Figo, 🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu, 🔹Gesi
🔹Bawasiri, 🔹Tenzi dume
🔹Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma yetu msimu huu wa Ofa. Tupo Dar es salaam njia panda ya kigogo na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba 0740 068 897

VIPIMO VYA MFUMO WA UZAZIOFA YA MWEZI HUU: Tsh 30,000 PEKEE!🔸 Kumwona Daktari BURE!---USITUMIE DAWA BILA VIPIMO!Kumekuwa...
02/04/2025

VIPIMO VYA MFUMO WA UZAZI

OFA YA MWEZI HUU: Tsh 30,000 PEKEE!
🔸 Kumwona Daktari BURE!

---

USITUMIE DAWA BILA VIPIMO!

Kumekuwa na ongezeko la matumizi ya dawa kiholela bila vipimo, jambo linalosababisha:
✅ Usugu wa magonjwa
✅ Kansa ya shingo ya kizazi
✅ Hali mbaya zaidi: Kutolewa kizazi!

---

DALILI ZA CHANGAMOTO ZA MFUMO WA UZAZI:

⏩ Maumivu makali chini ya kitovu au upande wa kulia/kushoto.
⏩ Kutokwa na uchafu mzito wenye harufu mbaya.
⏩ Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
⏩ Mimba kuharibika.
⏩ Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
⏩ Na dalili zinginezo...

---

USHAURI WETU:

⛔ Usitumie dawa yoyote bila vipimo na ushauri wa daktari.
👉 Ikiwa umeshatumia dawa na hali haijabadilika au inazidi kuwa mbaya, NJOO UFANYE VIPIMO na upate tiba sahihi!

---

WASILIANE NASI:

📞 Simu/WhatsApp: 0740 068 897

📍 Tupo Dar es Salaam na Mikoani.

---
TUNAKUPENDA, KUKUJALI NA KUKUTHAMINI
AFYA YAKO NI DHAMANA KWETU

Fanya vipimo mapema na epuka madhara makubwa.

P.I.D(Pelvic inflammatory disease)  Ni maambukizi ya bacteria kwenye shingo ya kizazi,mirija ya uzazi,uterus pamoja na o...
01/04/2025

P.I.D(Pelvic inflammatory disease)
Ni maambukizi ya bacteria kwenye shingo ya kizazi,mirija ya uzazi,uterus pamoja na ovary,pia magonjwa haya hushambulia Sanaa wanawake kwenye via vyao vya uzazi,pia ugonjwa huu huathiri wanawake wenye umri wa miaka kuanzia 15-24

SABABU
🍁KUJAMIIANA(STI'S)
🍁BAKTERIA

DALILI
🍁Maumivu ya nyonga na tumbo
🍁Maumivu wakati wa kujamiiana
🍁kutokwa na uchafu sehemu za siri
🍁Homa
🍁Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi
🍁kichefuchefu na kutapika
🍁Maumivu wakati wa kujisaidia

NINI KINATOKEA K**A UNASUMBULIWA P.I.D MARA KWA MARA🤔!?
👉Kuna madhara atayapata mwanamke k**a atakuwa anasumbuliwa na ugonjwa huu mara kwa mara ikiwemo na vitu vifuatavyo;
●Makovu kwenye tumbo la uzazi
●Mimba kujenga nje ya mji wake
●Maumivu ya tumbo na nyonga
●Kuanguka kwa mimba
●kutoshika mimba
●Uvimbe
●kansa
●kifo

HUU NI UGONJWA AMBAO UNASUMBUA SANA WANAWAKE NA HUKOSA KUPONA INGAWA WANATUMIA DAWA PASIPO KUKOMA.

TATIZO LAKO LIMEISHA SASA,GCAT ETERNAL INTERNATIONAL IMEKULETEA SULUHISHO LA MAGONJWA YAKO NJOO UKUTANE NA MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA NA WALIOSOMEA CHINA BUUUREEE KABISAA,NA UTACHANGIA KIASI CHA SHILINGI ELFU 30,000/= PEKEE.KWA AJILI YA VIPIMO

TUPO TANZANIA NZIMA KWA UPANDE WA DAR ES SALAAM TUKO KIGOGO ROUND ABOUT KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE NAMBA AU WHATSAPP NO.0740 068897

TUNAKUJALI ,KUKUTHAMINI NA KUKUPENDA
AFYA YAKO NI DHAMANA KWETU

Address

Kigogo Round About
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Yangu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Yangu:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram