Afya na Dr. Irene

  • Home
  • Afya na Dr. Irene

Afya na Dr. Irene Karibu kwenye ukurasa wetu! Tunazungumzia changamoto mbalimbali za afya kama matatizo ya watoto, uzazi, mifupa, kisukari, na presha.

Tunatoa elimu, ushauri, na mbinu za kuboresha afya kwa maisha bora. Jiunge nasi kwa mazungumzo na maarifa muhimu!

.NATOA DISCOUNT HADI 25%  NA DELIVERY BURE .Pia tunatatua changamoto za UZAZI Kwa WANAUME k**a📌KUSHINDWA KUTUNGISHA UJAU...
02/03/2025

.NATOA DISCOUNT HADI 25% NA DELIVERY BURE .Pia tunatatua changamoto za UZAZI Kwa WANAUME k**a
📌KUSHINDWA KUTUNGISHA UJAUZITO
📌KUSHINDWA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA KIKAMILIFU
📌UUME KUSINYAA AU KULEGEA
📌TEZI DUME
Pia changamoto zingine za afya K**a
🩸VIDONDA VYA TUMBO
🩸BAWASIRI
🩸 PRESSURE
🩸KISUKARI
🩸MATATIZO YAMOYO, INI ,NA FIGO
Tunapatikana dar es salaam
Mikoani tunatuma baada ya MALIPO
📞0782639117
KARIBUNI SANA KWA SULUHISHO LA KUDUMU NA MATOKEO YA HARAKA

27/02/2025

# # # **🩺 UGONJWA WA SHINIKIZO LA DAMU (BP) – KIMYA KINACHOUA ⚠️**

Shinikizo la damu (High Blood Pressure) ni ugonjwa hatari unaoathiri watu wengi bila wao kujua. Unaitwa **"muuaji wa kimya"** kwa sababu mara nyingi hauna dalili hadi madhara makubwa yatokee k**a kiharusi au mshtuko wa moyo.

# # # # **📌 Dalili za BP Kubwa**

✅ Maumivu ya kichwa mara kwa mara

✅ Uchovu wa mwili bila sababu

✅ Kizunguzungu au kuona ukungu

✅ Mapigo ya moyo kwenda kasi au kupungua ghafla

✅ Kuvimba miguu, uso au mikono

# # # # **📌 Sababu za Shinikizo la Damu**

⚠️ Matumizi ya chumvi nyingi

⚠️ Msongo wa mawazo

⚠️ Kutofanya mazoezi

⚠️ Uzito kupita kiasi (obesity)

⚠️ Unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara

⚠️ Kurithi kutoka kwa familia

# # # # **📌 Namna ya Kudhibiti BP**

💚 Kula mlo bora wenye mboga na matunda
💚 Punguza chumvi kwenye chakula
💚 Fanya mazoezi angalau dakika 30 kila siku
💚 Epuka msongo wa mawazo (stress)
💚 Pima BP mara kwa mara kujua hali yako
💚 Acha uvutaji wa sigara na pombe kupita kiasi

🔹 **USHAURI WA BURE!** K**a unahisi una dalili za BP, **pima mapema** ili kuepuka madhara makubwa.

Kwa Ushauri Zaidi na Tiba wasiliana 0782639117 wsp

*Dalili za mwanamke mwenye tatizo la mvurugano wa homoni(Hormonal Imbalance)*🥦 Kisikia maimivu wakati wa tendo la ndoa. ...
26/02/2025

*Dalili za mwanamke mwenye tatizo la mvurugano wa homoni(Hormonal Imbalance)*

🥦 Kisikia maimivu wakati wa tendo la ndoa.
🥦 Kuwa na uke mkavu.
🥦 Kutokwa jasho usiku lisilokuwa la kawaida.
🥦 Kupatwa maumivu makali kabla, wakati na baada ya period.
🥦 Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
🥦 Hedhi kubadilika badilika.
🥦 Kutokwa na damu ya hedhi kwa muda mrefu zaidi ya siku saba.
🥦 Kutokwa na damu yenye mabonge mabonge wakati wa period.
🥦 Uchovu wa mara kwa mara.
🥦 Hasira za mara kwa mara.
🥦 Kukosa usingizi.
🥦 Kuwa na homa za usiku na kizunguzungu mara kwa mara.
🥦 Kuwa na ubaguzi wa vyakula.
🥦 Kuongezeka kwa tumbo(kitambi) na manyama uzembe.
🥦 Kuharibika kwa ngozi (kuwa na chunusi na vipele).
🥦 Kuwa na ndevu.
🥦 Kusahau sana.
🥦 Maumivu ya viungo.
🥦 Kupata hedhi wakati wa ujauzito.
🥦 Upungufu wa nywele kichwani au nywele kukatika katika ovyo.
🥦 Msongo wa mawazo.
🥦 Kutopata choo kwa wakati.
🥦 Maumivu ya kichwa mara kwa mara.

*Madhara yatokanayo na dalili hizi ni pamoja na;-*

🥦 Kutoshika kwa ujauzito kwa muda mrefu.
🥦 Mimba kuharibika mara kwa mara.

Je wewe ni dalili GANI inayokusumbua Mara KWA Mara na inahitaji Tiba ya haraka???

Kwa tiba na kupata huduma zetu tupigie +0782639117

TATIZO LA KUKOSA HEDHI. Mara nyingi mwanamke anayekosa hedhi yaani hupata kila mwezi kitu kinaitwa INTERNAL BLEEDING.Maa...
26/02/2025

TATIZO LA KUKOSA HEDHI.

Mara nyingi mwanamke anayekosa hedhi yaani hupata kila mwezi kitu kinaitwa INTERNAL BLEEDING.Maana yake ni kwamba huyu mama anableed ndani kwa ndani, ndio maana kuna wakati mwanamke huhisi dalili k**a yupo hedhi lakini haitoki nje, hizo dalili zikitokea ndipo ufahamu kwamba upo period but uchafu ule huishia ndani kwa ndani.

MRUNDIKANO WA UCHAFU
HUO NDIYO HUJA KUUNDA/
KUSABABISHA MATATIZO
MBALIMBALI KWENYE VIA VYA
UZAZI K**A;-

▶️Uvimbe kwenye kizazi au kwenye
mayai (Ovarian Cysts)

▶️Maambukizi kwenye via vya
uzazi yaani PID.

▶️Mirija kuziba.

▶️Mvurugiko wa vichocheo
(hormonal imbalance)

▶️Hali hizi huweza kusababisha
ugumba kabisa.

🦠HEDHI ndiyo inayoonyesha k**a afya ya uzazi ya mama ikovizuri au laa. Hivyo akina mama k**a una changamoto ya hedhi
na bado hujajaaliwa bado mtoto
ni vyema kupambana kuhakikisha
hedhi inakaa sawa sawa ndiyo
mambo mengine yatatiki.

K**a pia unaingia tarehe tofauti tofauti kila mwezi nayo hii pia ni hatari kwa afya ya mwanamke

K**A UMEHANGAIKA SANA
KUTATUA CHANGAMOTO HII
BILA MAFANIKIO KARIBU INBOX KWA MSAADA ZAIDI.
Call/whatsapp

0782639117

HAKUNA KUTESEKA TENA NA TATIZO LA UZAZI KWASABABU TUMEWASAIDIA WANAWAKE WENGI SANA ZAIDI YA 500 WENYE CHANGAMOTO K**A WE...
26/02/2025

HAKUNA KUTESEKA TENA NA TATIZO LA UZAZI

KWASABABU TUMEWASAIDIA WANAWAKE WENGI SANA ZAIDI YA 500 WENYE CHANGAMOTO K**A WEWE

HII INAWAHUSU WANAOHANGAIKA NA MATATIZO MY YA UZAZI K**A

PID

HORMONES IMBALANCE

MIRIJA KUZIBA NA KUJAA MAJI

UVIMBE

CHANGO

KUTOKUPATA UJAUZITO

MIMBA KUHARIBIKA

KUSOGEZA KIZAZI KARIBU

KIZAZI KUGEUKA

MIMBA KUHARIBIKA

MATOKEO NI NDANI YA WIKI TATU HADI WIKI NNE TU,UNAKUWA USHAANZA KUTEMA MATE NA KITAFUTA MAEMBE MABICHI

TUMIA DAWA ALAFU BAADA SIKU 21 NENDA KAPIME MIMBA

UTAKUJA KUNISHUKURU , MAANA NIMEWASAIDIA WENGI SANA WENYE CHANGAMOTO K**A WEWE NA KUPATA MATOKEO NDANI YA MDA MFUPI SANA

TUPO DAR ES SALAAM

MIKOANI HUDUMA INAKUFIKIA NA NJE YA INCHI PIA

TUPIGIE 0782639117

AU BONYEZA NENO WHATSAPP HAPO CHINI USAIDIWE

26/02/2025

BAADHI YA DALILI ZA UTI
🔵Kujisikia kukojoa muda wote
🔵kuchoka sanaa
🔵Mkojo kutoa harufu
🔵Mkojo wa rangi
🔵Homa Kali
🔵kichefuchefu
🔵kutapika

BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI
▶️kuwashwa sehemu za siri
▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri
▶️Kupata vidonda
▶️Kupata michubuko ukeni
▶️Maumivu wakati wa kukojoa
▶️Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida
▶️Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu

BAADHI YA DALILI ZA PID
⏩Kutokwa na uchafu mzito ukeni
⏩Uchafu ukeni wa rangi nyeupe au njano
⏩Uke kutoa harufu mbaya
⏩Kuwashwa sehemu za siri
⏩maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu
⏩Uke kuwa mlaini sana
⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa
⏩Kuvurugikwa kwa hedhi
⏩Kutokwa na majimaji ukeni kupita kiasi
⏩Maumivu wakati wa kukojoa
⏩Homa/uchovu na kuchoka
⏩kizungu zungu na n.k

BAADHI YA DALILI ZA FIBROIDS AU UVIMBE KWENYE KIZAZI
🔴Kutokwa na damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi
🔴Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya ukeni
🔴Kutokwa na uchafu mwingi na mweupe ukeni
🔴Maumivu makali ya kiuno wakati wa hedhi
🔴Tumbo kuuma sanaa chini ya kitovu
🔴Hedhi isiyokuwa na mpangilio
🔴Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🔴Maumivu makali wakati wa hedhi
🔴kukosa hamu ya tendo la ndoa na n.k

BAADHI YA DALILI ZA HORMONE IMBALANCE (mvurugiko wa vichocheo)
🔵ukavu ukeni
🔵Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🔵Kutoa jasho jingi usiku
🔵Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
🔵Kukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa
🔵Hedhi isiyo na mpangilio na n.k

BAADHI YA DALILI ZA UGUMBA
🔷Kutoshika ujauzito wakati unakutana na mwanaume
🔷Kutoingia kwenye siku za hatari
🔷Kukosa ute wa siku za hatari
🔷Zaidi ya mwaka bila kupata ujauzito huku ukishiriki tendo la ndoa na mwenzio
🔥K**a una dalili kati ya hizo chukuwa hatua sasa
🔴Sisi hatutulizi tatizo bali tunakinga,tunazuia,tunadhibiti na kuponya kabisa
🔴Kwanini unateseka na tatizo linalodhibitika?

🔴Kwa ushauri au kapata huduma zetu tupigie 0782639117

Karib kwa huduma bora

l JE, UNAJUA NINI KINACHOMFANYA MVWANAUME KUWA NA TATIZO LAKIWANGO KIDOGO CHA MBEGU(LOW S***M COUNT)+255 745070755Kiwang...
26/02/2025

l JE, UNAJUA NINI KINACHOMFANYA MVWANAUME KUWA NA TATIZO LAKIWANGO KIDOGO CHA MBEGU(LOW S***M COUNT)

+255 745070755
Kiwango kidogo cha mbegu maana yake ni ute (shahawa) anazokojoa mwanaume katikamshindo (or**sm) wenye mbegu kidogo kuliko kawaida. Kiwango kidogo cha mbegukitaalam tunaita " OLIGOS***MIA'.

SKutokuwa na kiwango cha mbegu kabisa, kitaalamu tunaita "AZOOS***MIA." Kiwangochako cha mbegu kinaonekana kidogo kuliko kawaida ikiwa k**a una mbegu chache kiasicha milioni 15 katika milimita za shahawa.

Kuwa na kiwango kidogo cha mbegu hupunguza uwezo wa mbegu na hivyo kushindwakurutubisha yai la mwenzi wako, ili kumfanya apate ujauzito. Walakini, wanaume wengiwenye tatizo la kuwa na kiwango kidogo cha mbegu wanapopata tiba, wapo tayari kuponana kumpachika mimba mwanamke.

Dalili za Low S***m Count

Ishara au dalili kubwa ya mwanaume mwenye tatizo la kuwa na kiwango kidogo chambegu ni kutokuwa na uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito.

Kunaweza kusionakane dalili zozote kwa nje kwa mwanaume anapokuwa peke yake. Kwaupande mwingine, tatizo lililomo kwa ndani katika mfumo wa uzazi wa mwanaume huwak**a ifuatavyo;

Vichocheo visivyokuwa na uwiano sawa (hormone imbalance)

Kuvimba au kutanuka kwa mishipa ya korodani au hali ambayo huziba njia ya mbeguinaweza kusababisha dalili au ishara.

Dalili za kiwango kidogo cha mbegu mojawapo ni k**a ifuatavyo:

Kuhisi maumivu au uvimbe kwenye kokwa za mwanaume (korodani)Kuvimba kwa tezi dume

Kupungukiwa na vinyweleo mwilini, nk

→Matatizo katika tendo la ndoa, k**a vile uume kushindwa kusimama au kupungukiwanguvu za kiume na uume kufifia na kuwa mdogo

Sababu za Tatizo la Low S***m Count

SUtengenezaji au uzalishaji wa mbegu ni utaratibu mkubwa mno, nao huhitaji utendaji kaziwa kawaida wa korodani (te**es) pamoja na tezi za hypothalamus na

Piga, Text au Whatsapp+0782639117

UKE MKAVU♀️LIJUE TATIZO LA UKE MKAVUUKE MKAVU:Ni tatizo linalo sababishwa na upungu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homon...
26/02/2025

UKE MKAVU♀️

LIJUE TATIZO LA UKE MKAVU

UKE MKAVU:Ni tatizo linalo sababishwa na upungu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi(HORMONE IMBALANCE)

UKE MKAVU:Ni tatizo linalo wasumbua akina dada na wanawake wengi ni uke usio na ute wa aina yoyote Haijalishi MWANAMKE Ameandaliwa kwa muda gani hapati Ute WA Uke Wala WA UZAZI

DALILI ZINAZOWEZA Ambatana NA Uke MKAVU NI;

♀️. Maumivu wakati wa ngono

♀️. Kusinyaa kwa kuta zauke

♀️. Kutokwa na damu wakati wa tendo

♀️. Kupoteza hamu ya tendo kutokana na maumivu

♀️. Maumivu ya uke wakati wa kufanya mazoezi kutembea, kukaa au kusimama

♀️. Kubadilika kwa mwonekano wa uke na mashavu ya uke

♀️. Kubadilika kwa tabia ya ute unaotoka ukeni

♀️. Kupata hisia za kuungua ukeni

♀️. Msongo wa mawazo na kuhisi mabadiliko makubwa mwilini mwako

VISABABISHI VYA UKE KUWA MKAVU KWA MWANAMKE

Vipo visababishi mbalimbali vinavyoweza kupelekea uke kuwa mkavu ambavyo vinafahamika ambavyo ni;

🔥. Kupungua kwa kiwango cha homoni estrogen kwenye damu

🔥. Hali na mambo yanayoweza kupelekekea kushuka kwa homoni hii ni;

🔥. Kunyonyesha kwa wakati huu

🔥. Kutoka kujifungua

🔥. Kuvuta sigara

🔥. Kutibiwa kwa dawa za saratani kwenye o***y

🔥. Madhaifu ya kinga z amwili

🔥. Komahedhi

🔥. Kukaribia kipinid cha koma hedhi

🔥. Kufanyiwa upasuaji wa kutolewa o***y

🔥. Kutumia dawa za kuzuia uzalishaji wa estrogen

🔥. Kusafisha ndani ya uke kwa maji na sabuni zenye kemikali

Sindrome ya sjogren’s

🔥. Matumizi za kuzuia aleji na homa baridi

MADHARA YA UKE MKAVU

♨️Kuto shika mimba

♨️Kupata michubuko ukeni hvyo n rahisi kuambukizwa magonjwa k**a kaswende,gonorea, HIV n.k

♨️Kuto furahia tendo

♨️Kutokwa damu katkat ya mwezi

KARIBU Kwa Kutatua chanzo cha changamoto Kwa Kutumia Nnjia Sahihi Na Salama Kwa Kutumia VIRUTUBISHO LISHE

*FAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE (OVARIAN CYST)*0782639117🛑OVARIAN CYST NI NINI??? ✍️Ni uvimbe unaotoke...
26/02/2025

*FAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE (OVARIAN CYST)*

0782639117

🛑OVARIAN CYST NI NINI???
✍️Ni uvimbe unaotokea katika mayai ya mwanamke(ovarian)
✍️Uvimbe huo hutokana na mkusanyiko wa maji maji yanayozungukwa na kutu nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke
✍️Mara nyingi tatizo hili hutokea kwa wanawake wa rika tofauti na mara nyingi huonekana kwa wanawake waliofika umri wa kushika ujauzito, pia uvimbe huo huweza kuwa wa ukubwa wa cm3_cm30 na unaweza kujaza tumbo lote na kufanya uonekane mjamzito

🛑SABABU ZA UVIMBE
👉kuwa na mzunguko wa hedhi usioeleweka (IRREGULAR MENSTRUATION CYCLE)
👉kuwa na mafuta mengi tumboni
👉kukosekana kwa uwiano wa vichocheo mwilini (hormone imbalance)
👉kuvunja ungo mapema (katika umri wa miaka 11_kushuka chini)
👉kutumia dawa za matibabu ya saratani ya matiti (tamoxifen)
👉ugumba

DALILI NA VIASHIRIA VYA TATIZO HILI
👉kupata maumivu makali ambayo huchoma katika nyonga, uke, tumbo, mapajani, mgongoni NK
👉kuhisi tumbo kuwa zito limejaa au kuvimba
👉kupata maumivu katika matiti
👉kutopata hedhi katika mpangilio
👉kuvimbiwa mara kwa mara
👉kuongezeka uzito haraka
👉kupata maumivu katika mbavu
👉nywele kukua haraka kila wakati
👉kupata maumivu makali wakati wa hedhi
👉kuhisi kichefuchefu
👉kupata maumivu ya nyonga kila unapofanya mapenzi, mazoezi, Kazi ngumu
👉kuhisi uchovu kila wakati
👉kutokwa na matone ya damu
👉kutoshika mimba
👉mabadiliko katika upatikanaji wa haja. *Wasiliana nasi

Usichukulie poa wala kuvumilia maumivu makali wakati wa hedh huwa yanaashiria kuwa kuna kitu hakiko sawa.Chukua tahadhar...
26/02/2025

Usichukulie poa wala kuvumilia maumivu makali wakati wa hedh huwa yanaashiria kuwa kuna kitu hakiko sawa.

Chukua tahadhari kwani huashiria changamoto nyingi katika mfumo wa uzazi k**a vile:

1. Kuvurugika kwa homoni za uzazi ( hormonal imbalance)

2. Vimbe maji kwenye vifuko vya mayai ( ovarian cyst)

3. Uvimbe kwenye kuta za kizazi.

4. Chango la Uzazi (hii huwasumbua wanawake 8 kati ya 10).

Hali hii huchangia sana mwanamke kutokupata ujauzito kwa wakati.

Kubaini k**a kuna uvimbe maji yaani ovarian cyst au vimbe kwenye kizazi ni lazima kupima kipimo cha *Ultrasound* sababu dalili zingine huweza kufanana na dalili za tatizo jingine hivo kupitia kupima unakuwa na uhakika wa kinachosumbua.

NYONGEZA👉 Kuhusu chango la Uzazi huwa halina kipimo hivo hubainika kulingana na dalili zake.

Chango la uzazi ni maumivu ya nyonga, kiuno, mgongo, chini ya kitovu, wengine hutokea mguu mmoja na baada ya mda linahamia mguu mwingine, na wengine kwenye makalio.

Yaweza kuwa kabla ya period, wakati wa period au hata baada ya period.

Wengine hucheza tumboni k**a mtoto. Hali hii huzuia mimba na ikitokea umebeba mimba halijapona mimba huharibika ndani ya miezi mitatu.🥲🤦‍♂️😪

Baada ya kubaini kinachokusumbua basi tibu chanzo utakuwa poa.🥰
Dr iren 0782639117

*Tunatibu magonjwa Sugu na Nyemelezi kwa tiba asilia Je! Unasumbuliwa na ugonjwa gani??* 078263 Tunauzoefu wa zaidi ya m...
26/02/2025

*Tunatibu magonjwa Sugu na Nyemelezi kwa tiba asilia Je! Unasumbuliwa na ugonjwa gani??* 078263 Tunauzoefu wa zaidi ya miaka kumi tangu Serikali ilipo tuamini na kutupa vibali vya kutoa matibabu, Kesi ya ugonjwa wako imekwisha ukifika CHIHOBHA sisi ndo mahak**a kuu ya magonjwa k**a:-
✅UZAZI KWA WANAWAKE
Chango, Kukosa hamu ya tendo au maumivu wakati wa tendo la ndoa, Kukosa mtoto kwa wakati (Utasa/Ugumba), Mimba kuharibika, Maumbile makubwa, Ukavu wakati wa tendo, Hormones Imbalance
Matatizo ya Hedhi, maumivu ya tumbo chini ya kitovu, mgongo na kiuno wakati wa hedhi shida yoyote wakati wa hedhi ni kiashilia kwamba mfumo wa uzazi hauko sawa. Uvimbe kwenye kizazi, Mirija ya uzazi kuziba
PID, Miwasho, Kutokwa uchafu, harufu mbaya ukeni. Madhara ya Pid ni kuziba mirija, Uvimbe kwenye kizazi, Kushindwa kubeba mimba, Maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kiuno, Kukaza kizazi kilicho legea, Kusafisha kizazi, Kukosa hedhi, Kupata hedhi mfurulizo
✅UZAZI KWA WANAUME
Kuwahi kufika kileleni, Kushindwa kurudia tendo la ndoa, Maumbile kusimama kwa ulegevu, Mbegu/Shahaw kukosa ubora (Kushindwa kutungisha ujauzito kwa mkeo), Maumbile madogo (kibamia), Ngiri/Hernia, Tezi dume, Hormones Imbalance
✅MAGONJWA YA ZINAA
Kupata miwasho, Kutokwa na uchafu/usaha na harufu mbaya sehemu za siri, Maumivu wakati wa haja ndogo, Kutokwa na vipele,
Kaswende, Kisonono, UTI, Fangasi, PID
Madhara ya magonjwa ya zinaa (STDs) usipo tibu mapema ni kuharibu mfumo wa Uzazi, Kibofu hadi Figo
✅MOYO & KISUKARI
(Bp) ya kupanda au kushuka, Kongosho
✅KUPOOZA/Stroke
Ganzi, Miguu kuwaka moto
✅MIFUPA
Maumivu ya viungo mgongo, Kiuno, Magoti, Shingo, Joints
✅TUMBO
Vidonda vya tumbo, Tumbo kujaa gesi, Tumbo kuunguruma, Kukosa Choo siku nzima, Maumivu wakati wa haja kubwa, Kinyesi kigumu, Bawasiri/kikundu
Madhara ya Bawasiri na Vidonda vya tumbo husababisha Kansa usipo tibu mapema
✅Masikio kuuma, kutoa usaha, kupiga kelele
✅Athma/Pumu, Vichomi, Kifua, Figo, Ini, Upungufu wa Damu, Kuvuja damu puani, Ngozi, Meno

NAJUA WATU WENGI WANAJUA ILA HAWAJUI KUHUSU HILI Kuwa Qua&Prost ni Njia sahihi ya kuzuia Tezi dume isivimbe wala kutanuk...
26/02/2025

NAJUA WATU WENGI WANAJUA ILA HAWAJUI KUHUSU HILI

Kuwa Qua&Prost ni Njia sahihi ya kuzuia Tezi dume isivimbe wala kutanuka

Ikiwa umetimiza Umri wa miaka 40 na kuendelea na huna ugonjwa wa Tezi Dume Basi Tambua unatakiwa Utumie Qua&Prost kujilinda na tatizo la Kutanuka/Kuvimba kwa Tezi dume

KWANINI NA KUAMBIA UJILINDE.?

NIVIZURI UKAFAHAMU VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
-Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi.

Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao, bila kufahamu kuwa vyanzo hivi hupeleka kutanuka kwa TEZI DUME
1. Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
2. Uwepo wa sumu nyingi mwilini
3. Kutokufanya mazoezi
4. Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara uliopitiliza
5. Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
6. Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
7. Msongo wa mawazo ( Stress )
8. Magonjwa ya zinaa
9. Umri mkubwa (uzee)
10. Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,
11. Historia ya Familia (Kurithi)

Tumeona kinachopelekea Tezi dume kutanuka sasa kwanini Usubirie itanuke.?

Nitafute sasa kwa Ushauri zaidi
0782639117

Address


Telephone

+255782639117

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Dr. Irene posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya na Dr. Irene:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share