Afya & mtindo wa maisha

Afya & mtindo wa maisha Health care for you everytime

FAIDA ZA KUNYWA MaJI BAADA YA TENDO LA NDOA Ushauri au matatizo ya uzazi piga0788748646Utafiti mpya wa kisayansi umeelez...
29/09/2021

FAIDA ZA KUNYWA MaJI BAADA YA TENDO LA NDOA
Ushauri au matatizo ya uzazi piga0788748646

Utafiti mpya wa kisayansi umeelezea umuhimu wa kunywa maji baada ya tendo la ndoa kwa sababu unawakinga wanandoa husika dhidi ya kuumwa kichwa na tatizo la ukavu, na kwamba maji ni miongoni mwa funguo za furaha ya ndoa.

Utafiti huo umeonesha kuwa kutokunywa kiwango cha kutosha cha maji huwa na athari kwa afya jumla ya mwili na kusababisha mhusika kupatwa na maradhi mbalimbali.

Imebainishwa kuwa asilimia 40 ya wanandoa wasiokunywa kiwango cha kutosha cha maji baada ya tendo la ndoa, hupatwa na tatizo la kuumwa kichwa na kukosa shauku. Hali hiyo inapoendelea huwafanya wote wapatwe na tatizo la ukosefu wa hamu.

Hilo linatokana na kwamba ndani ya nusu saa ya tendo la ndoa mwili hutumia nguvu sawa na kukimbia umbali wa kilometa 4.

Mshauri wa chakula tiba, Maha, amesisitiza kuwa baada ya tendo la ndoa hitajio la vimiminika huongezeka, na akashauri kutumia chakula chenye maji k**a chanzo cha asili k**a vile juisi ya matunda na kadhalika.

Wataalamu wanashauri kuwa kuna umuhimu wa kunywa glasi 8 za maji kila siku. Hii ni kanuni ya kitiba ambayo baadhi ya watu wanaijua lakini wengi wanaipuuza. Kiwango hicho ni sawa na kiwango cha maji ambacho mwili unakipoteza ndani ya siku moja kupitia njia mbalimbali k**a vile kupumua, kukojoa na kutokwa na jasho. Hivyo, kiwango hicho kinapaswa kurudishwa ili mwili usipatwe na hali ya ukavu na ukosevu wa hamu

Usikose masomo yanayofuata
Zaid🙏🏼0788748646

FAIDA ZA MATUNDA MWILINISuala la Afya bora  ni suala la muhimu sana katika Maisha ya kila mmoja wetu na taifa kwa ujumla...
29/09/2021

FAIDA ZA MATUNDA MWILINI
Suala la Afya bora ni suala la muhimu sana katika Maisha ya kila mmoja wetu na taifa kwa ujumla. Bila afya hakuna furaha,amani wa shughuli yoyote ile ya maendeleo.Afya ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku.Siku hizi si ajabu sana kusikia au hata kushuhudia watu wengi wakisumbuliwa na matatizo mengi sana ya kiafya, suala hili linachangiwa na mambo mengi hali ya mazingira au tabia za watu.

Upuziaji wa matumizi ya matunda na mboga mboga unachangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya mengi ya kiafya. Matunda ni moja ya zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu binadamu tuliopewa japo tunaidharau licha ya faida yake katika maisha yetu.

Kuna sababu kadhaa za kwa nini watu hawatumii matunda mara kwa mara , baadhi ya hizo ni Kutokujua faida ya matunda kiafya, na Ukosefu wa uwezo wa kumudu gharama za kula matunda mara kwa mara. Ikiwa wewe ni miongoni mwa watu wanaoshindwa kutumia matunda kwa moja ya sababu hizi basi taarifa hii inakuhusu na uyajue matunda yenye gharama nafuu sana wakati huo huo yakiwa na faida tele kiafya kwa mwili wako.

#1.

MACHUNGWA



Haya ni matunda matamu sana ,rahisi sana kupatikana na yenye faida nyingi mno kwa afya yako.Matunda hayab hupatikana kwa wingi bila gharama kubwa mfano kwa wale waliofika Morogoro na Tanga wanajua uwingi wa matunda haya. k**a hujui tazama virutubisho muhimu sana viliyomo katika machungwa.

Vitamin C __________________ 93%

Fiber __________________ 13%

vitamini B1 __________________ 9%

Pottasium __________________ 7%

Calcium ___________________ 5%

Na virutubisho vingine vingi sana huku vikiwa na faida muhimu zaidi ikiwemo:

Vitamic C ya machungwa husaidia kuimarisha ulinzi wa

MADHARA YA KUJICHUA KWA WANAWAKE NA WANAUME..Punyeto ni kitendo cha kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehe...
18/07/2021

MADHARA YA KUJICHUA KWA WANAWAKE NA WANAUME..

Punyeto ni kitendo cha kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.

*Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua au kufanya punyeto;*

1. Inaharibu kizazi

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.

*Hay ni baadhi ya madhara ya kupiga punyeto kwa wanaume*

1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.

2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili.

3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)

4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara

5. Huleta uchomvu sugu na kwa haraka zaidi, mara nyingi utahitaji kulala usingizi hata nyakati za mchana

6. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia

7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua

8. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.

9. Punyeto inakupelekea kufanya mak➡

24/05/2021

Baadhi ya mambo ya kufanya wakati ndoa inapokuwa haina furaha.je unashida kwenye tendo la ndoa Ongea na mshauri wa Afya kupitia📞☎️0788748646
1.Badili mtazamo na matarajio yako kuhusu ndoa yenu.
2.Kubali kwamba hakuna uhusiano mkamilifu kwa sababu hakuna watu walio wakamilifu.
3.Kusudia kufanya jambo Fulani kwa ajili ya mwenzi wako kila siku ambalo litawasilisha ujumbe kuwa Mkeo au mumeo ni Wa thamani sana kwako.
4.Jiulize ni jambo gani unaloweza kulifanya katika namna tofauti ili kuleta furaha nyumbani kwenu na ufanye kitu kuhusu jambo hilo.
5.Tenga Muda Wa kuburudika pamoja na mwenzi wako peke yake.
6.Tenga muda kila Juma Wa kuzungumza kuhusu ratiba yako na ushiriki na mwenzi wako kitu chochote kitakachokuwa tofuati na ratiba yako ya kawaida.
7.Uwe mwepesi kuomba radhi kwa kusababisha maumivu kwa mwenzi wako iwe kwamba ulichokifanya kilikuwa ni cha makusudi au Bahati mbaya.
8.Jitoe mwenyewe kuwa na mtazamo chanya kuhusu ndoa yenu na ufanye kila uwezacho kuleta mabadiliko hayo.
Iwapo hakukutokea badiliko lolote baada ya kufuata kile nilichokipendekeza,tafadhari Fanya hima wewe pamoja na mwenzi wako mpata msaada kwa mshauri nasaha awe mwaadilifu au kiongozi Wa dini.
DR.💘Alletee Ntahuba nipo Dar es salaam 🇹🇿📞☎️0788748646

👉Kisukari jina la kitaalamu hujulikana k**a diabetes mellitus ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya sukari katika d...
14/05/2021

👉Kisukari jina la kitaalamu hujulikana k**a diabetes mellitus ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya sukari katika damu.
Ugonjwa wa kisukari ni mlolongo wa matatizo mwilini ya mda mrefu na mfupi kutokana na upungufu au kutoweza kutumika vizuri kwa kichocheo kinachoitwa insulin.
Insulin hutengenezwa na chembechembe zilizopo ndani ya kiungo cha kongosho. Miili yetu inahitaji insulin ili kuweza kutumia sukari tuliyonayo mwilini.
Sukari inatokana na chakula tunachokula kila siku na hutumika kwa kuupa nguvu mwilini.
Kwa kawaida sukari ikizidi, ile ziada inahifadhiwa katika ini k**a mafuta. Mafuta hayo hubadilishwa kuwa sukari na kutumika wakati tukiwa na njaa kwa mda mrefu. Endapo kuna matatizo ya kutengeneza au kutumika kwa insulin, sukari mwilini huongezeka haraka na inamaanisha ugonjwa wa kisukari upo na dalili kuanza kuonekana k**a zifuatazo.
Zaidi ya watu 100,000 huumwa na nyoka, WHO yapitisha azimio
Fahamu alama za kucha na maana zake kiafya
Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.
Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.
Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.
Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.
Kusikia njaa kila wakati na kula sana.
Wanawake kuwashwa ukeni.
Kutoona vizuri.
Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake.
Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole
Miguu kuoza na hata kupata gangrini.
Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu.
Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.
Majipu mwilini.
Kukojoa mkojo ambao mara baada ya dakika chache hujaliwa na sisimizi.
Mara uonapo dalili hizi wahi mapema hospitali kupima ugonjwa wa Kisukari kwa ni miongoni mwa magonjwa yanayochukua muda mrefu kutibika endapo mgonjwa atachelewa kupata matibabu, pia ni miongoni mwa magonjwa ambayo huua kwa kasi zaidi nchini.
Kuna nmna tofauti ya kujizuia kupata ugonjwa wa kisukari, ikiwemo kufanya mazoezi, kula vyakula

2 phase kisukari Afya, Afya Ya KulaNaweza Kutumia Asali Katika Ugonjwa Wa Kisukari Aina Ya 2?Hadi sasa, ugonjwa wa kisuk...
14/05/2021

2 phase kisukari
Afya, Afya Ya Kula

Naweza Kutumia Asali Katika Ugonjwa Wa Kisukari Aina Ya 2?
Hadi sasa, ugonjwa wa kisukari - kiongozi kati ya magonjwa ya mfumo wa endokrini. Lakini licha ya takwimu kutisha, kuna idadi kubwa ya mbinu kwa mafanikio kupambana na maradhi. ugonjwa hutokea wakati mwili kuna ukosefu wa insulini. Kwa sababu hii, kiwango cha sukari katika ongezeko la damu. Insulini ni huzalishwa na kongosho. Katika ugonjwa huu homoni au iliyotolewa wakati wote au hafifu alijua na mwili wa binadamu
➡️ kisukari aina ya 2

matokeo ni ukiukaji wa taratibu zote metabolic, mafuta, protini, maji na chumvi, madini, kabohaidreti. Kwa hiyo, katika uchunguzi wa "ugonjwa wa kisukari," mgonjwa lazima kufuata chakula kali kwamba inapinga au hata inakataza baadhi ya vyakula. Lakini ni inawezekana kutumia asali katika ugonjwa wa kisukari aina ya 2, soma makala hapa chini.

KWA KIFUPI KUHUSU UGONJWA
➡Aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ni sifa ya kuharibika kwa utendaji kongosho. Hii inasababisha upungufu insulini, ambayo mwili haachi kuwa synthesized. Aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ni aina ya kawaida zaidi kuliko ya kwanza. Wao wanakabiliwa juu ya asilimia 90 ya wagonjwa.

➡️Aina hii ya ugonjwa yanaendelea polepole. Inaweza kuchukua muda wa miezi au hata miaka kabla ya utambuzi sahihi ni imara. Baadhi ya watu kuwaita ugonjwa huu kwa insulini. Hii si sahihi. Baadhi ya wagonjwa kuchukua tiba sahihi, k**a hawawezi kurejesha damu sukari kutumia mawakala wake kupunguza.

SABABU ZA UGONJWA

maelekezo kwa ngazi ya maumbile.
Overweight. Kwa sababu hiyo, ugonjwa mara nyingi hujulikana k**a "watu na ugonjwa wa kisukari feta."
Urithi
Wakubwa umri. Aina hii ya kisukari watu mgonjwa wa miaka ya juu. Lakini kuna matukio ambapo ugonjwa hutokea kwa watoto.
FAIDA YA ASALI
manufaa ya bidhaa juu ya mwili wa binadamu ni kwamba asali imeundwa aina rahisi ya sukari - glucose na fructose, katika assimilation ya ambayo insulini si kushiriki. Hii inahitajika ili watu wenye ugonjwa ➡️

14/05/2021

Je, mimi kula asali katika ugonjwa wa kisukari aina ya 2
➡️JINSI YA KUTUMIA ASALI KATIKA UGONJWA WA KISUKARI AINA YA 2?

Mtu mwenye ugonjwa huu lazima kuambatana na kuweka kipimo cha bidhaa tamu. Je, mimi kula asali na aina 2 ugonjwa wa kisukari - hii itakuwa kuwaambia daktari, pia husaidia kuamua halali kiasi cha matumizi ya delicacy hii. Kwa nini sisi hivyo sana kutoruhusu kushauriana mtaalamu? ukweli kuwa ni daktari anajua hali yako na picha ya kliniki ya ugonjwa wako maalum. Kulingana na matokeo ya mtihani daktari unaweza kujenga regimen na kupendekeza hayo au bidhaa nyingine. Kuanza kuangalia kiwango cha sukari.

Kwa ujumla, tunaona kwamba kipimo cha halali ya asali kwa siku - vijiko viwili. Asubuhi juu ya tumbo tupu, unaweza kuchukua nusu ya mahitaji ya kila siku ya kuvunja bidhaa katika glasi ya chai weakly iliyotengenezwa au maji ya joto. Med kisukari aina ya 2 Inashauriwa kutumia matajiri katika nyuzi za mboga chakula, au chini calorie mikate kuokwa kwa unga wa ngano. Hivyo ni bora kufyonzwa na assimilated na mwili.

Naweza kutumia asali katika ugonjwa wa kisukari aina ya 2

CONTR👉Kama mtu ni mzio wa nectar nyuki, asali haiwezi kutumika kwa wagonjwa wa kisukari aina ya 2. Contraindications pia kuomba kwa wale wagonjwa ambao ugonjwa ni vigumu kutibu. Aidha, bidhaa tamu haikubaliki sana kula chakula, k**a kuna hiari hyperglycemic migogoro. Pia hutokea kwamba mgonjwa alianza kutumia asali mara kwa mara, na kugundua kwamba afya imeshuka. Katika hali hii, unapaswa mara moja kuacha kutumia hiyo.
👉LISHE BORA
Ugonjwa wa kisukari - si hukumu. Na ugonjwa huu unaweza kuishi maisha ya kawaida, lakini kwa sharti moja: chakula lazima kuwa nzuri. Kwanza unahitaji kurekebisha mlo wako ili kuepuka surges katika sukari damu.

Chakula katika ugonjwa huu wenye lengo la kutengwa kamili ya bidhaa zenye wanga rahisi. Wao hutoa sukari papo hapo, ambayo mara moja kuongezeka kwa kiwango glucose damu.
Jinsi ya kutumia asali katika ugonjwa wa kisukari aina ya 2
➡078874846

Sehem1:➡️Kisukari jina la kitaalamu hujulikana k**a diabetes mellitus ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya sukari ...
14/05/2021

Sehem1:➡️Kisukari jina la kitaalamu hujulikana k**a diabetes mellitus ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya sukari katika damu.

Ugonjwa wa kisukari ni mlolongo wa matatizo mwilini ya mda mrefu na mfupi kutokana na upungufu au kutoweza kutumika vizuri kwa kichocheo kinachoitwa insulin.

Insulin hutengenezwa na chembechembe zilizopo ndani ya kiungo cha kongosho. Miili yetu inahitaji insulin ili kuweza kutumia sukari tuliyonayo mwilini.

Sukari inatokana na chakula tunachokula kila siku na hutumika kwa kuupa nguvu mwilini.

Kwa kawaida sukari ikizidi, ile ziada inahifadhiwa katika ini k**a mafuta. Mafuta hayo hubadilishwa kuwa sukari na kutumika wakati tukiwa na njaa kwa mda mrefu. Endapo kuna matatizo ya kutengeneza au kutumika kwa insulin, sukari mwilini huongezeka haraka na inamaanisha ugonjwa wa kisukari upo na dalili kuanza kuonekana k**a zifuatazo.

Zaidi ya watu 100,000 huumwa na nyoka, WHO yapitisha azimio

Fahamu alama za kucha na maana zake kiafya

Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.

Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.

Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.

Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.

Kusikia njaa kila wakati na kula sana.

Wanawake kuwashwa ukeni.

Kutoona vizuri.

Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake.

Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole

Miguu kuoza na hata kupata gangrini.

Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu.

Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.

Majipu mwilini.

Kukojoa mkojo ambao mara baada ya dakika chache hujaliwa na sisimizi.

Mara uonapo dalili hizi wahi mapema hospitali kupima ugonjwa wa Kisukari kwa ni miongoni mwa magonjwa yanayochukua muda mrefu kutibika endapo mgonjwa atachelewa kupata matibabu, pia ni miongoni mwa magonjwa ambayo huua kwa kasi zaidi nchini.

Kuna nmana tofauti ya kujizuia kupata ugonjwa wa kisukari, ➡️2phase

*SABABU ZA UGONJWA WA BAWASIRI NA JINSI YA KUTIBU*Bawasiri ni ugonjwa unaojitokeza katika njia ya haja kubwa,hujitokeza ...
13/05/2021

*SABABU ZA UGONJWA WA BAWASIRI NA JINSI YA KUTIBU*

Bawasiri ni ugonjwa unaojitokeza katika njia ya haja kubwa,hujitokeza k**a uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje kwa kiingereza huitwa ``Haemorrhoids´´ au ``piles´´.

Bawasiri inaweza kusababisha upungufu wa damu mwilini lakini unaweza kutibiwa kwa njia ya dawa/tiba mbadala kwa kipindi cha kuanzia wiki sita na kuendelea,inategemea imejijenga kiasi gani.

Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na nyama kuota sehemu za haja kubwa ndani au nje ya sehemu hiyo.Ni mishipa ya damu{veins}ambayo huwa inavimba.Unaweza ukasikia maumivu,muwasho au kutokwa na damu nyeusi au mbichi au usaha wakati mwngine kutoka sehemu hizo za haja kubwa.

*Bawasiri husababishwa na nini?*

Hakuna sababu ya moja kwa moja inayojulikana kisayansi kwamba ndiyo husababisha bawasiri,bali mambo yafuatayo yanaweza kukufanya ukapata ugonjwa huu;-

👉Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu.

👉Ujauzito;- Wakati wa ujauzito watu wegine wanaweza kupata bawasiri,sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa.

👉Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile.

👉Uzee:-Kadri miaka inavyosogea mbele ndivyo inakua rahisi kwako kupatwa na bawasiri kwa baadhi ya watu

👉Sababu za kurithi;-Baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia ndogo sana.

👉Kuharisha kwa muda mrefu.

👉Kutumia vyoo vya kukaa.

👉Kunyanyua vyuma vizito.

👉Mfadhaiko.

👉Uzito na unene kupita kiasi.

*Dalili za bawasiri*
Ili kujua k**a una ugonjwa huu wa bawasiri ni;-

👉Lazima utahisi maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa.

👉Kinyesi kunuka damu wakat wa kujisaidia.

👉Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa

👉Uvimbe au kinyama kujitokeza segemu ya tundu la haja kubwa nahaja kuwa inaweza kutoka bila taarifa muda wowote.

Zaidi piga+255788748646

05/05/2021

Kwan ushauri nasaha huduma zetu karibu Sana ni mhimu na ya uhakika

05/05/2021

Je Unasumbuliwa na matatizo ya maungio na viungo yaani mifupa kwa ujumla 🇹🇿➡️📞☎️0788748646

📌👉DAWA YA KUONDOA SUMU MWILINI zaidi piga+255788748646 Tengeneza mwenyewe nyumbani.Mahitaji;-~Mdalasini wa india~Unga wa...
02/05/2021

📌👉DAWA YA KUONDOA SUMU MWILINI zaidi piga+255788748646

Tengeneza mwenyewe nyumbani.

Mahitaji;-
~Mdalasini wa india
~Unga wa mlonge(mbegu)
~Unga wa kitunguu swaunu
~Unga wa mbegu za parachichi.
~Sanamaki{Unga}.

Maelekezo;-
Chukua kila dawa ujazo wa vijiko sita vya chakula kila moja changanya dawa zote vizuri

Matumizi;-
Chukua dawa kwenye ujazo kijiko cha chai kisha weka dawa kwenye maji vuguvugu ujazo wa kikombe cha chai(250m/s) robo lita.

Kunywa dawa mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni kabla ya kula chochote kisha unaweza kula baada ya saa moja na kuendelea.

Address

Mliman Tower Floor No Mbili(2)
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya & mtindo wa maisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya & mtindo wa maisha:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram