Upunda AFYA TIPS

Upunda AFYA TIPS Watoa huduma za afya kwa magonjwa yasiyo ambukiza (Kisukari, Tezi dume , Stroke, Afya ya Uzazi kwa Wanaume na
Wanawake) kwa kutumia TIBA LISHE (Supplements).

16/04/2025

Karibu ujionee maajabu ya Tiba lishe zetu na zitakutibu kwa haraka zaidi, Kumbuka hazina chemical hata kidogo.

Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa magonjwa sugu  yasiyoambukiza. Ugonjwa huu una shika kasi kubwa kwa bara la Afrika.....
14/04/2025

Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa magonjwa sugu yasiyoambukiza. Ugonjwa huu una shika kasi kubwa kwa bara la Afrika.. ●Kisukari (Diabetic) husababisha madhara makubwa mwilini ,moja kati hayo ni kupunguza au kuua kabisa nguvu za kiume. Na hali hii humfanya mwanaume kutohimili kabisa tendo la ndoa. Je unasumbuliwa au una dalili za kisukari, na unahisi kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu zako za kiume? Acha kuteseka, Suluhisho lipo na la kudumu. Wasiliana nasi kwa 0784729907 &women #

UBORA WA MBEGU ZA KIUME NA VIRUTUBISHO NA VYAKULA MAALUMU VINAVYOBORESHA MBEGU ZA KIUME.  🖊Katika mada hii nitaongelea v...
13/04/2025

UBORA WA MBEGU ZA KIUME NA VIRUTUBISHO NA VYAKULA MAALUMU VINAVYOBORESHA MBEGU ZA KIUME. 🖊Katika mada hii nitaongelea virutubisho ama vijalizo (suppliments) na ambavyo ni maalumu na mahususi kwa wanaume wanaotafuta watoto, virutubisho/vijalizo vinavyosaidia kuongeza wingi wa mbegu za kiume, Virutubisho vinavyosaidia kuzipa uwezo mbegu za kiume kujongea na kulifikia yai. 🖊Vyakula muhimu kwa uboreshaji wa mbegu za kiume. 👉Katika ubora wa mbegu tunaangalia vitu vifuatavyo. ♦️ Kiasi cha(ujazo) mbegu katika mshindo mmoja.( S***m Count), ♦️Mjongeo wa mbegu (s***m motility), ♦️Umbo /umbile la mbegu( S***m morphology). 👉Kiasi, mjongeo na umbo la mbegu za kiume ni vitu muhimu katika kupima sababu ya ugumba kwa mwanaume. 👉KIASI CHA MBEGU: Kwa kawaida mbegu za kiume kwa kipimo cha mililita 1(1mls) lazima iwe kati ya milioni 20 na zaidi ya miliion 200. Zikiwa chini ya hapo inamaana mtu anazalisha mbegu chache(low s***m count) na inaathiri uwezo wa kutungisha mimba(infertility/ugumba). 👉MJONGEO WA MBEGU: Katika kuanga

13/04/2025

Karibu UPUNDA AFYA TIPS kwa huduma nzuri za tiba
Tupigie +255784729907

VIRUTUBISHO VINAVYOSAIDIA KUBORESHA MBEGU ZA KIUME.01: ZINCHiki ni kijalizo muhimu sana kwenye mfumo wa uzazi  kwa mwana...
13/04/2025

VIRUTUBISHO VINAVYOSAIDIA KUBORESHA MBEGU ZA KIUME.

01: ZINC
Hiki ni kijalizo muhimu sana kwenye mfumo wa uzazi kwa mwanaume. Humpa uwezo wa kutungisha mimba. Zinc hufanya kazi zifuatazo.
📌Huongeza kiwango cha homoni ya testosterone.

📌Huongeza idadi ya mbegu za kiume.

📌Inahusika na kutengeneza ganda/layer inayozungula mbegu za kiume na mkia wake.

📌Huongeza uwezo wa mbegu za kiume kujongea.

VITAMIN C:
Hufanya kazi zifuatazo kwa mwanaume.

📌Kuzuia mbegu kushikamana au kugandamana hivyo kuweza kujongea vizuri.

📌Husaidia mbegu za kiume kukua na kukomaa vizuri

📌Husaidia kuongeza kasi ya mbegu kulifikia yai.

📌Husaidia kurekebisha umbo la mbegu za kiume.. Upungufu wa vitamini chupelekea mbegu kuwa na umbo lisilo la kawaida(morphology abnormality)

03:Coenzyme Q10

Kurutubisho hiki hufanya kazi ndani ya seli (mitochondrial energy) na kuwezesha yafuatayo;

📌Huongeza hamu ya tendo la ndoa
📌Kuongeza idadi ya mbegu za kiume.
📌Husaidia kuongeza kasi ya mbegu za kiumbe kujongea.
📌Huhusika katika utengenezaji wa layer inayozinguka mbege za kiumw na mkia wake.

04: VITAMIN E
📌Hii inasaidia kuongeza idadi ya mbegu kukomaa na kuongeza uwezo wa kujongea.
📌Huiongezea mbegu ya kiume uwezo wa kupenya kuingia kwenye yai

📌Husaidia kuzikinga mbegu na radikali huru (free radicals) zisiziharibu.

05: VITAMIN D.
📌Husaidia kutengenezwa vizuri kwa nuclea (kiini) ya mbegu za kiume. K**a tunavyojua hii ndo sehemu ya mbegu inayobeba kinasaba cha DNA.
📌Huongeza idadi ya mbegu.

06: SELENIUM(Sodium Selenate).
Hii inafanya kazi zifuatazo:.
📌Inasaidia mbegu kukomaa.
📌Inaongeza idadi ya mbegu
📌Inaimarisha kuta za sehemu mbegu zinapohifadhiwa wakati zinapotengenezwa(epididymis)

07: VITAMIN B12 (Methylcobalamin):.
📌Inasaidia utengenezwaji wa nucleaus ya mbegu za kiume.
👉Upungufu wa kirutubisho hiki husababisha kasoro kwenye vinasaba.

08: FOLIC ACID
Hii inasaidia ;
📌kuongeza kiwango cha mbegu na kuziwezesha kutembea/kujongea.

09:Manganese
📌Inaongeza uwezo wa mbegu na kupenya kwenye yai.

👉Kwa ushauri na suluhisho au kupata virutubishohivi
Piga/whatsapp 0765729907.

@2025

SAFISHA MWILI WAKO SASA, kwa kutumia bidhaa kutoka Upunda Afya Tips, Bidhaa zisizotumia chemical hata kidogo bali hutumi...
09/04/2025

SAFISHA MWILI WAKO SASA, kwa kutumia bidhaa kutoka Upunda Afya Tips, Bidhaa zisizotumia chemical hata kidogo bali hutumia virutubisho vya asilia kabisa, visivyo na madhara hata kidogo,

karibu utupigie simu au Whatsapp tukuhudumie🙏

Tiba lishe zetu hazina chemicals hata kidogo ni pure asilia🙏
09/04/2025

Tiba lishe zetu hazina chemicals hata kidogo ni pure asilia🙏

01/04/2025

Karibuni Sana kwa huduma zetu nzuri na bora zaidi👇👇👇👇👇

Watoa huduma za afya kwa magonjwa yasiyo ambukiza (Kisukari, Tezi dume , Stroke, Afya ya Uzazi kwa Wanaume na
Wanawake) kwa kutumia TIBA LISHE (Supplements).

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam
12123

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upunda AFYA TIPS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share