Afya Fitness

Afya Fitness Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la changamoto zote za kiafya

20/08/2025

TIBA-MAUMIVU YA MIFUPA NA JOINTS
Kutokana na sababu Mbalimbali, Watu wa jinsia zote Hupata Matatizo ya Mifupa Maungio na kadiri
umri unavyozidi kwenda ndio watu hupata udhaifu
wa mifupa na viungo kupelekea shida k**a gauti, arthritis, Osteoporosis n.k
DALILI ZA TATIZO

•Kupata Maumivu Ya
mgongo, Kiuno, Mabega, Magoti Au Shingoni
•Magoti Kupiga Kelele Ukinyoosha mguu sapou
Kuvimba Na Kuuma, Miguu Kufa ganzi
•Kushindwa Kutembea Au Kufanya shughuli Zako

SABABU ZA TATIZO
Kukosa ute ute(synovial fluid) kwenye joints kutokana kuwa na Uric Acid nyingi
Kuwa Na Uzani mkubwa kupelekea tishu K**a
Sponji zinazoitwa gegedu (cartilage kuzidiwa hivyo
kupelekea mifupa kusagika
•Upungufu wa madini muhimu Calcium Ambayo
hupelekea mifupa Kuwa na Uzani Mdogo
Kukoma Kwa Hedhi Kwa Akina Mama
Kufanya Mazoezi Ya Viungo Bila Kuzingatia Lishe nzuri

Wasiliana nasi kupata suluhisho ambapo utafanya vipimo kwa Tsh.30,000 tu na baada ya hapo utapata matibabu kumaliza changamoto yako , kwa whatsap gusa👇🏻 hapahttps://wa.me/message/DOMMCGBIZ2I3E1
Au Tupigie
0793687967

09/07/2025

KUMALIZA MWAKA PASIPO CHANGAMOTO ZA KIAFYA INAWEZEKANA...!

Hakuna aliyeumbwa ili kuteseka na changamoto za kiafya, na ndio maana kwa kutambua hilo taasisi ya Afya ya Gcat Health Clinic imeweka punguzo la vipimo vya mwili mzima (full body checkup) kwa wewe mwenye changamoto ya afya.....

Kwa Thamani Ya Tsh 30,000 Tu

(Elfu Thelathini Tu)

Wiki hii ya mwisho ya kumaliza mwaka.

Gcat health clinic ina madaktari bingwa wanaotoa suluhisho la maradhi sugu yote.....

Huduma zinazojumuishwa ni pamoja na uchunguzi wa;

✨Mfumo wa mishipa ya damu, moyo na ubongo
✨Mfumo wa maradhi ya mifupa
✨Mfumo wa mmeng'enyo na uyeyushaji wa Chakula
✨Afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
✨Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
✨Mfumo wa fahamu, jicho na maradhi ya macho
✨Mfumo wa upumuaji
✨Afya ya Kinywa na meno
✨Kisukari
✨Saratani/kansa
✨Shinikizo la damu/Presha
✨Tezi dume
✨Bawasiri
✨Ugonjwa wa kutetemeka
✨Fangas, U.T.I, P.I.D
✨Matatizo ya bandama
✨Kiharusi na matatizo ya moyo
✨Sikio na maradhi sugu mengineyo

Ili uweze kupata huduma hizi weka miadi ya kufanya vipimo hivyo kwa namba hizi hapa chini;0793687967
Kwa whatsap gusa hapa👇🏻https://wa.me/message/DOMMCGBIZ2I3E1

Sisi ni daraja la uponyaji wa afya yako. Tunaithamini sana afya yako kwani ndio msingi wa kuishi maisha ya furaha.

25/05/2025

MWANAMKE NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana kwenye vituo vyetu vya afya vya Gcat Health Clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15 Tanzania kupata suluhu la changamoto yako.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

👉 P.I.D
👉 Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
👉 Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
👉 Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
👉 Mvurugiko wa siku za hedhi
👉 Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
👉 Mimba kuharibika
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Mirija ya uzazi kuziba
👉 Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

👉 KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu thelathini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

SASA KUPATA SULUHISHO JUU YA CHANGAMOTO .
Kwa watsup gusa hapa👇🏽 https://wa.me/message/DOMMCGBIZ2I3E1
Wasiliana nasi kupitia Namba hii 0793687967

01/05/2025

Kwa watsup gusa hapa👇🏽 MWANAMKE NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU

08/04/2025

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Fitness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram