AFYA BORA

AFYA BORA Afya bora kwa watu wote

ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATU.Maalim Uthmaan Bin Ally Al Badawy pamoja na Maalim Shaaban Kigo tunapenda kuw...
26/02/2025

ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATU.
Maalim Uthmaan Bin Ally Al Badawy pamoja na Maalim Shaaban Kigo tunapenda kuwatangazia wale wote wanaohitaji visomo vya dua iliyo maqbuur na dua zenye majibu kwa haraka sana dua tunazosoma ni kwa ajili ya kutatua matatizo yafuatayo.
1. Kurudisha uadui kwa maadui zako
2. Kuvuta rizki ya mchumba yaani kuoa au kuolewa.
3. Matatizo ya majini na mashetani
Kusumbuliwa na uchawi na wachawi
4. Kuvunja kesi mahak**ani
5. Kuwahamisha watu wabaya katika mji, kijiji, mtaa na hata nchi
6. Kuwasomea maharusi na eneo la harusi
7. Watoto wenye ufahamu mdogo
8. Jini yeyote mbaya anayesumbua
9. Mikosi iliyokupata katika maisha
10. Nuksi mbalimbali ndoa na kazi
11. Kukidhiwa haja yoyote ya kheri
12. Kuomba toba na kusamehewa madhambi
13. Kuondosha hasadi na kufungua vifungo vya kichawi
14. Kuomba riziki ya halali
15. Kutoelewana mke na mume
16. Maradhi mbali mbali yaliyoshindikana hospitalini k**a vile kisukari, presha, kansa, vidonda vya tumbo, homa tunakusaidia kwa dua maalum
17. Kuomba kinga
18. Kutibu maradhi ya kurogwa na yasio ya kurogwa
19. Kuangamiza maadui
20. Kuita mke au mume aliyeitrlekeza familia/mpenzi
21. Kufukuza majini katika mwili au mji
22. Kuhudhurisha kiumbe yeyote umtakae
23. Mvuto wa mwili pamoja na biashara
24. Kufarakanisha wazinifu
25. Kuvunja ahadi zisizo timia katika maisha yako
Na matatizo mengine mengi karibu tukuhudumie tunapatikana Dar es salam Jeti lumo barabara ya kuelekea buza ukifika lumo mwanzo piga simu
Maalim Uthmaan
+255 711 730 025 Whatsapp
+255 793 258 840 Whatsapp
+255 687 794 846
+255 693 477 951

Maalim kigo
+255 713 613 440 Whatsapp
+255 693 596 100
+255 756 058 998
(Na mwezi huu wa ramadhani tumuombeni sana Allah atuondolee shida tulizo nazo kwa qur~an na kwa majina yake matukufu)
ANGALIZO.
K**A UPO MBALI NA OFISI HUWEZI KUFIKA BASI GHARAMA ZA SISI KUTOKA HUKU MAPAKA ULIPO ZITAKUWA JUU YA MTEJA TUNAKUJA MPAKA MIKOANI.
KARIBUNI SANA NYOTE MNAKATIBISHWA.

NINI CHANZO CHA MIGUU KUWAKA MOTOKatika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhi...
20/02/2025

NINI CHANZO CHA MIGUU KUWAKA MOTO
Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa kitaalamu Nervous System, ambapo katika mifumo hii kuna mfumo mkuu, central nervous system (ubongo na uti wa mgongo) na pia kuna mfumo wa pembezoni ambao ni kazi za mwili mbali na ubongo na uti wa mgongo (peripheral nervous system), mfumo huu wa pembezoni hujumuisha kazi za misuli, mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula tumboni, uwezo wa kuhisi baridi au joto, kugusa vitu na kujua ukali wa ncha ya kitu na kadhalika.
Matatizo haya ya kiafya (miguu au mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo:
1. Mtu kuhisi ganzi
2.Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni au mikononi,
3. Kuhisi k**a umevaa soksi au gloves wakati hujavaa,
4. Kuhisi k**a kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,
5. Kushindwa kushika au kunyanyua kitu,
6. Kuchoka kwa misuli na kadhalika.
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo naomba uyafahamu:
1. Kupungua kwa virutubisho mwilini, katika hili tunamaanisha mwili kutokuwa na vitamini vya kutosha na hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).
2.Matumizi ya dawa, mtu kuwa katika matumizi ya baadhi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi huweza kumsababishia mtumiaji matatizo ya neva.
3. Uzito mkubwa wa mwili: Hali hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo lionekane tofauti na ilivyo kawaida, kubadilika huku husababisha baadhi ya neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na misuli au uzito wa mwili na hivyo kusababisha neva hizo zishindwe kufanya kazi vizuri, matokeo yake ni wewe kuanza kuhisi maumivi au kufa ganzi kwa miguu.
4. Ugonjwa wa kisukari: Mtu mwenye tatizo la kisukari huwa hatarini zaidi kuugua au kupata matatizo ya neva, (diabetic polyneuropathy).
Shinikizo la damu: Mtu kuwa na shinikizo kubwa la damu (High blood pressure) pia ni kihatarishi kinachoweza kumfanya mtu apate ugonjwa huu wa neva.
Baadhi ya vitu hatarishi vinavyoweza kumfanya mtu apate matatizo haya, vinaweza kuepukika kwa mtu kuyabadili maisha yake mfano, k**a ulikuwa hufanyi mazoezi ya mwili, basi ujitahidi kuupa mwili mazoezi ili kupunguza uzito wa mwili, kuepuka magonjwa ya kisukari na kuepuka kuwa na shinikizo kubwa la damu, kula chakula chenye virutubisho vya kutosha k**a vile PHYTOGUARD, NEOTONIC, nk.
K**a UKIMWI , PRESSURE, KISUKARI, KANSA, MATATIZO YA UZAZI,........ na mengine mengi tu.
Piga, Whatsapp 0793258840

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram