AFYA KWA WOTE

AFYA KWA WOTE Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA KWA WOTE, Medical and health, Mbezi, Dar es Salaam.

JE,UMEWAHI KUJUA HALI YAKO YA AFYA KABLA YA KUCHELEWA?Je wajuaMagonjwa sugu yasio ambukiza k**a🌧️Kisukari🌧️Bawasili🌧️Fig...
15/04/2025

JE,UMEWAHI KUJUA HALI YAKO YA AFYA KABLA YA KUCHELEWA?

Je wajua
Magonjwa sugu yasio ambukiza k**a
🌧️Kisukari
🌧️Bawasili
🌧️Figo
🌧️Moyo
🌧️PID
🌧️Ini
🌧️Mifupa
🌧️Tezi dume
🌧️Kansa
🌧️Fangasi
🌧️Allergy
🌧️Uvimbe
🌧️Uzazi Kwa wanawake na wanaume.

Ni magonjwa yanayoweza kuanza kimya kimya bila dalili,kupima afya mapema ni njia Bora ya kujikinga.

✅Njoo upate kipimo Cha mwili mzima Kwa magonjwa sugu yasio ambuliza

✅Pata ushauri wa kitaalam juu ya afya Yako na lishe Bora

✅Nunua virutubisho Kwa bei elekezi na upate PUNGUZO la 20%🎉

OFERTA:wateja wa kwanza 20 watapata punguzo la kipekee

📌Masharti ya OFA:

💥Punguza litapatikana Kwa watu watakao pima afya zao kwanza kabla ya kununua virutubisho

💥Ofa hii ni Kwa siku 12 tu

💥Punguzo hili ni Kwa virutubisho hivi👇
💊Vidonge vya omega..Kwa afya ya Moyo na ubongo.

🍇 Virutubisho vya Probiotics...Kwa mfumo wammeng'enyo wa chakula

💊Dawa ya kudhibiti shinikizo la damu

💊 Vidonge vya Callagen..Kwa ngozi nywele na biungo vya mwili

🍅 Multivitamin...madini muhimu mwilini

🍊 Virutubisho vya afya ya Tezi dume...kusaidia kuondoa maambukizi na kuimarisha Tezi dume

💊Dawa ya bawasili...kuondoa Uvimbe na maumivu ya bawasili

🍉 Virutubisho vya mfumo wa afya ya uzazi Kwa wanawake na wanaume...kuongeza nguvu za uzazi na afya ya via vya uzazi

🧅 Virutubisho vya vidonda vya tumbo...kuondoa vidonda vya tumbo na asidi tumboni.

↔️Malipo yafanyike siku hiyo hiyo ya kipimo ili kufaidika na punguzo.

📍Afya Yako ni kipaumbelele usisubiri Hali iwebaya ,wasiliana nasi kuweka miadi Yako
📞0754000413

---JE, UNAPANGA KUPATA MTOTO AU UMESHINDWA KWA MUDA MREFU?Usijali – suluhisho linaweza kuwa karibu kuliko unavyofikiria!...
15/04/2025

---

JE, UNAPANGA KUPATA MTOTO AU UMESHINDWA KWA MUDA MREFU?
Usijali – suluhisho linaweza kuwa karibu kuliko unavyofikiria!

Tunatoa uchunguzi wa kina wa mfumo wa uzazi kwa WANAWAKE na WANAUME, ili kusaidia wanandoa, wachumba au mtu binafsi kufahamu afya zao mapema.
Utapata huduma hizi kwa T sh 30,000/:
Huduma zetu ni pamoja na:

Kupima afya ya mirija ya uzazi (wanawake)

Kuangalia ubora wa mbegu za kiume (wanaume)

Ushauri wa kitaalamu kwa wenye changamoto za kupata ujauzito

Tiba lishe za kuimarisha uzazi

Elimu ya afya ya uzazi kwa wote wawili

Kumbuka: Changamoto za uzazi zinaweza kuanzia kwa mwanamke au mwanaume. Ni muhimu wote kupimwa!

Njoo uchunguzwe mapema – tambua hali yako, pata msaada stahiki.
Mahali: [G CAT -CLINIC]
Wasiliana nasi sasa: [0754000413 ]
Saa za huduma: [Andika muda wa kufunguliwa]

Afya ya uzazi ni hatua ya kwanza ya familia bora!

Kipimo Cha mwili mzima kwa bei  ya tsh 30,000 tu.Kipimo hiki kitakusaidia kujua chanzo Cha tatizo lako viashiria au dali...
15/04/2025

Kipimo Cha mwili mzima kwa bei ya tsh 30,000 tu.Kipimo hiki kitakusaidia kujua chanzo Cha tatizo lako viashiria au dalili za matatizo mengine.Kipimo chetu kinahusisha zaidi magonjwa sugu k**a vile
KISUKARI
PRESHA
VIDONDA VYA TUMBO
BAWASIRI
PUMU
KUPOOZA
MARADHI YA MOYO
MARADHI YA FIGO
MATATIZO YA MAPAFU
MATATIZO YA INI
MATATIZO YA NGOZI
CHANGAMOTO ZA MAUMIVU YA VIUNGO NA GANZI
UTI
PID
FANGASI SUGU
TEZI DUME
CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME
UVIMBE NA MENGINEYO. Tunatibu maradhi yote haya kwa bei nafuu kabisa.Tunapatikana dar es salaam majumba sita(Mbezi magufuli) tegeta na mikoani,kwa mawasiliano 0754000413. Karibu sana.

Address

Mbezi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA KWA WOTE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram