03/04/2025
DALILI ZA MTU MWENYE UVIMBE KWENYE KIZAZI
1.Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
2.Kupata maumivu chini ya kitovu wakati wa haja ndogo na haja kubwa
3.Maumivu ya kiuno hasa upande mmoja wakati wa kutembea au kufanya shughuli yoyote.
4.kuhisi kitu kigumu Ndani ya tumbo upande wa Chini
5.Kupata Hedhi Nzito Yenye Mabonge Yenye Rangi Nyeusi
6.Kupata hedhi nyingi Sana Kwa Muda Mrefu isivyokawaida(inayozidi siku 7)
7.Mzunguko Wa Hedhi Kubadilika Sana,kwa mwezi kupata mara mbili au Zaidi, lakini pia inaweza kupita miezi kadhaa hujapata hedhi
8.kushindwa Kupata Ujauzito
NB;KUNA VIMBE ZA AINA 3
FIBROIDS -Ni uvimbe mgumu kwenye kuta za Kizazi unaweza kuwa na ukubwa wowote,unaweza kuwa zaidi ya mmoja
CYSTS -Ni uvimbe ambao mayai ya k**e hujaa Maji hivyo kuzuia kupata mimba
ENDOMETRITIS - Ni vimbe ndogo ndogo nyingi katika kuta Za uterus(njia za uzazi)
Je Uvimbe ulionao wewe Ni Upi?
Una dalili yoyote kati ya hizo hapo?
Umetumia dawa za uvimbe lakini bado dalili unazo ?
Nina suluhisho kwa Ajili Yako
Dozi zetu ni tibalishe na zinayeyusha uvimbe taratibu bila upasuaji wala madhara,hii ni kutokana na uwepo wa viambata vya polysaccharides
Zitakutibu lakini pia zitaku kinga usipate uvimbe siku za baadae
Dose ya uvimbe inatokana na ukubwa wa uvimbe wenyewe
KARIBU KWA USHAURI NA VIRUTUBISHO TIBA.