EPM Health Clinic

EPM Health Clinic AFYA YAKO MIKONONI MWAKO

SULUHISHO LA UZAZI KWA WANAWAKE NA TIBA ZAKEwa.me/0786565165
06/08/2025

SULUHISHO LA UZAZI KWA WANAWAKE NA TIBA ZAKE
wa.me/0786565165

SULUHISHO LA BAWASIRI NA TIBA ZAKEwa.me/255786565165
20/06/2025

SULUHISHO LA BAWASIRI NA TIBA ZAKE
wa.me/255786565165

HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na k...
27/05/2025

HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)
Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.

VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE
👉Utoaji wa mimba
👉Uwepo wa sumu mwilini.
👉kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.
👉Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone
👉mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.
👉uzito mkubwa
👉Msongo wa mawazo.
👉Kutofanya mazoezi.
👉Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.
👉Kukoma kwa hedhi.

Dalili za kuvurugika kwa homoni
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
👉Kutoshika mimba.
👉Mzunguko wa hedhi kubadilika.
👉Kuongezeka uzito.
👉Kupungua hamu ya tendo la ndoa.
👉Kupoteza kumbukumbu.
👉Hasira za Mara kwa Mara.
👉Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge
👉Uke kuwa mkavu.
👉kutoka jasho jingi usiku.
👉maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
👉mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.

Madhara ya kuvurugika kwa homoni
👉kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.
👉Mimba kuharibika Mara kwa Mara.
👉Kuwa mgumba.
👉U.t.I Mara kwa Mara.
👉Uvimbe kwenye via vya uzazi wa mwanamke.(fibroids)
👉kuziba kwa mirija ya uzazi.
👉saratani.

▶️Hormone imbalance inatibika ondoa shaka, jcali afya yako.

👇
Msaada zaidi wasiliana moja kwa moja na mimi nikusikilize, tibu mapema tatizo lako wa.me/255786565165

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili MzimaJe,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi...
27/05/2025

Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima

Je,Unajiuliza Wapi,Utapata Huduma Ya Upimaji Wa Mwili Mzima kwa haraka Na gharama Rahisi Zaidi
Kumbuka Afya Yako Ndio Msingi Wa Mambo Yote....

Tumekuandalia OFA Maalumu Ya Upimaji Wa Mwili Mzima Kuelekea mwisho wa mwezi

utalipia TSH 30,000/= tu k**a nawe Utakuwa Miongoni Mwa Watu 20 Wa Mwanzo

Gharama Halisi za Vipimo ni 150,000/= Lakini k**a Utakuwa Miongoni Mwa Watu Hawa Ishirini Utalipia 30,000/= tu na utaokoa Zaidi Ya Tsh 120,000/= Nzima

Natumaini k**a ni Miongoni Mwa Watu wanaopenda Afya Zao Basi Huwezi Kukosa OFA hii

KIPIMO KINAONYESHA;

1.Tatizo husika
2.Chanzo Cha tatizo
3.Viashiria Vya tatizo lingine
Kipimo kinahusika zaidi na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya Vipimo vya Mwili mzima Katika Mifumo ifuatavyo;

1.Mfumo wa Ubongo
2.Mfumo wa Upumuaji
3.Mfumo wa Tumbo
4.Mfumo wa Ngozi
5.Mfumo wa Mifupa na Misuli
6.Mfumo wa Uzazi Kwa wanawake na wanaume
7.Mfumo wa Macho

Pia Tunatoa huduma ya MATIBABU Kwa Magonjwa sugu k**a Ifuatavyo
_Vidonda Vya Tumbo, Presha, Kisukari,
Moyo, Figo, INI, Cholesterol, Bawasili,
_Tezi dume, fangasi , Uzazi Kwa wanawake na wanaume, Figo, Macho, Allergy, Mifupa, Ngozi
Tunatibu Uvimbe Aina zote bila upasuaje, stroke (Kupooza),Miguu, Magoti, Ganzi,Uzito mkubwa na UneneUvimbe kwenye vyia vya Uzazi, Ukuaji mbovu Kwa watoto n.k

Ili OFA Hii Isikupite basi fanya hivi Piga Simu/Tuma Sms au WhatsApp inbox kwenda namba
0786565165
Tunapatikana Dar es salaam na mikoani gusa link apo
WhatsApp 👇👇👇

TUNA TIBU CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA WANAWAKE.Njoo tuongee wa.me/0786565165
27/05/2025

TUNA TIBU CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA WANAWAKE.
Njoo tuongee wa.me/0786565165

SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA WANAWAKE.Njoo tuongee wa.me/0786565165
12/04/2025

SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA WANAWAKE.
Njoo tuongee wa.me/0786565165

SULUHISHO LA KISUKARI NA TIBA YA SIKU 14 TU!Njoo tuongee wa.me/0786565165
11/04/2025

SULUHISHO LA KISUKARI NA TIBA YA SIKU 14 TU!
Njoo tuongee wa.me/0786565165

SULUHISHO LA U.T.I SUGU NA TIBA ZAKE. Njoo tuongee wa.me/0786565165
11/04/2025

SULUHISHO LA U.T.I SUGU
NA TIBA ZAKE.
Njoo tuongee wa.me/0786565165

SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO (ULCER)TIBA PAMOJA NA DAWA ZAKE. Njoo tuongee whatsap 0786565165
10/04/2025

SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO (ULCER)
TIBA PAMOJA NA DAWA ZAKE.
Njoo tuongee whatsap 0786565165

SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO (ULCER)TIBA PAMOJA NA DAWA ZAKE. wa.me/0786565165
10/04/2025

SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO (ULCER)
TIBA PAMOJA NA DAWA ZAKE. wa.me/0786565165

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EPM Health Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram