Dr.onesmo afya care

Dr.onesmo afya care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr.onesmo afya care, Doctor, Dar es Salaam.

Karibu kwahuduma sahihi za afya tunatibu �kisukari�Tezidume�presha�magojwa yote call 0756608261 whatsp 👉🏼https://wa.link/8v9oat Insta 👉🏼https://www.instagram.com/dr.onesm0?igsh=MWRwbzZscGlpdGc5cg== tiktok👉🏼 www.tiktok.com/.onesmo

  Sababu kuu zinazoweza kumfanya mwanaume mwenye tezi dume (prostate) kubwa au yenye matatizo (hasa BPH – Benign Prostat...
17/06/2025



Sababu kuu zinazoweza kumfanya mwanaume mwenye tezi dume (prostate) kubwa au yenye matatizo (hasa BPH – Benign Prostatic Hyperplasia au prostate cancer) kupata upungufu wa nguvu za kiume (erectile dysfunction) ni zifuatazo:

🔬 1. Mabadiliko ya homoni (hasa testosterone)
• Tezi dume inahusiana sana na homoni ya testosterone.
• Wanaume wenye matatizo ya tezi dume mara nyingi hupata kupungua kwa kiwango cha testosterone, ambacho huathiri hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kusimamisha uume.

💊 2. Matumizi ya dawa za kutibu tezi dume

Baadhi ya dawa za kutibu BPH au saratani ya tezi dume huathiri nguvu za kiume:
• Finasteride na Dutasteride (dawa za kupunguza ukubwa wa tezi dume) zinaweza:
• Kupunguza libido (hamu ya tendo la ndoa)
• Kulemaza nguvu za kusimamisha uume
• Kupunguza shahawa au kumfanya mwanaume kutopata kabisa
• Alpha blockers (k**a Tamsulosin) huathiri msukumo wa damu na uwezo wa kusimamisha uume kwa baadhi ya watu.

🧠 3. Msongo wa mawazo na hofu ya kiafya
• Mwanaume anayejua kuwa ana matatizo ya tezi dume, hasa kansa, anaweza kuingiwa na hofu, aibu, au huzuni (depression).
• Hali hii ya kisaikolojia hupunguza msisimko wa kingono.

💉 4. Upasuaji wa tezi dume
• Upasuaji k**a TURP (Transurethral Resection of the Prostate) unaweza kuharibu neva zinazohusika na kusimamisha uume.
• Baadhi ya wanaume huacha kuwa na nguvu kabisa au hupoteza uwezo wa kufika kileleni.

🩸 5. Matatizo ya mzunguko wa damu
• Tezi dume iliyovimba huweza kubana mishipa ya damu inayosambaza damu kwenye uume, jambo linalofanya kusimamisha uume kuwa ngumu au kutodumu.

Kwa ushauri na matibabu call ⁨0756 608 261⁩

Kisukari (Diabetes): Ni ugonjwa unaotokea pale ambapo kiwango cha sukari (glucose) katika damu kinakuwa juu kupita kiasi...
21/05/2025

Kisukari (Diabetes): Ni ugonjwa unaotokea pale ambapo kiwango cha sukari (glucose) katika damu kinakuwa juu kupita kiasi kutokana na upungufu wa insulini au mwili kushindwa kuitumia vizuri.

Hari hii inatokea pale kongosho
Yako inapo shindwa kufanyakazi vizuri

Aina Kuu za Kisukari:
1. Kisukari Aina ya 1 – Mwili hausproduci kabisa insulini. Huanzia utotoni.
2. Kisukari Aina ya 2 – Mwili hausitumii insulini ipasavyo. Huchangiwa na uzito mkubwa na mtindo wa maisha.
3. Kisukari ya Mimba (Gestational diabetes) – Hutokea wakati wa ujauzito.

Chanzo Kikuu:
• Urithi wa familia
• Unene kupita kiasi
• Kutofanya mazoezi
• Lishe isiyo bora
• Msongo wa mawazo (stress)
• Umri mkubwa

Dalili za Kisukari:
• Kukojoa mara kwa mara
• Kiu isiyoisha
• Uchovu wa mara kwa mara
• Kuona ukungu
• Vidonda kutopona haraka
• Kupungua uzito bila sababu
MADHARA YA KISUKARI
• Magonjwa ya moyo na kiharusi
• Upofu
• Uharibifu wa figo
• Kukatika kwa viungo (hasa miguu)
• Ulegevu wa neva (neuropathy)
• Maambukizi ya mara kwa mara
Sikari inatibika kabisa
Kwakutumia dawa zisizo na chemical
Wasiriana nasi +255756608261

16/05/2025
Tendo la ndoa nitendo muhimu sana katika mahusiano Tendo hili linaweza kua baraka na sehemu ya furaha kwawanandoa hasa l...
14/05/2025

Tendo la ndoa nitendo muhimu sana katika mahusiano

Tendo hili linaweza kua baraka na sehemu ya furaha kwawanandoa hasa linapo fanyika kwa kufurahishana na lina ongeza uhusiano wa kihisia na kujariana

Linapo kosekana tendo hili nadani ya ndoa au kufanyika chini yakiwango pasipo kumridhisha mwenza wako inaweza kuleta mafarakano yakimahusiano na migogoro ya ndoa

Ninajua unapitia wakati mgumu hasa unapo fahamu haunauwezo wakumridhisha mpenziwako kimapenzi

Najua unapitia hari yakuto kujiamini hasa unapo fahamu uwezo wako wakushiriki tendo la ndoa umeshuka na hauwezi mridhisha mke wako tena

Huenda unafikiri kwamba tendo la ndoa sio muhimu kwako tena kulingana na umri wako
Ikiwa una miaka 70 basi huenda tendo hili lisiwe muhimu kwako ila hatahivyo ikiwa mwenza wako anamiaka 60+ tendo hili linaweza lisiwela muhimu kwako

Naikiwa mwenza wako naumli wa miaka 40 hadi 50 bado tendo hili nimuhimu katika mahusiano yako
Kumbuka kwamaba tendo hili sikwaajiri yako wewe pekee ila nikwaaajiri ya mwenzawako pia

Unajukumu Lakuhakikisha mwenza wakao anafurahia tendo la ndoa kutoka kwako.

Usipo fanya hivyo unaweza zarisha migogoro na mwenza wako kutafuta michepuko

MWANAUME MWENYE TEZİ DUME
Anapitia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na tatizo lakushiriki tendo bila kufika kileleni

Inawezekana hari hii imekukosesha amani na unajiona haupo sawa
Inafijia wakati una dharauliwa una jibiwa vibaya na mwenza wako Ana kuita mwanaume suruale
Yote sababu ya udhaifu wa tendo

SABABU ZINAZO PELEKEA
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Mabadiliko ya homoni
Tezi dume huathiri uzalishaji wa homoni k**a testosterone, ambayo ina mchango mkubwa katika msisimko wa kingono. Upungufu wa homoni hii unaweza kusababisha kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa na ugumu wa kufikia kilele.

SABABU INAYO PELEKEA UNASHINDWA KUFIKA KILELENI

Damu kutofika vizuri kwenye uume (Erectile Dysfunction)
Tezi dume iliyotanuka huweza kubana mishipa ya damu au neva zinazohusika na kusimamisha uume, na pia kudhoofisha nguvu za misuli ya nyonga. Hii husababisha uume kushindwa kusimama kikamilifu au kwa muda mfupi, hivyo kuathiri kufikia kilele.

USHAURI
usitumie dawa za kuongeza nguvu za kiume
Tatizo hili siyo ugojwa ila nitaarifa ya ugojwa mwilini inapo tokea unaupungufu wa nguvu za kiume tambua kuna sababu
Nivyema ukatibu kwanza chanzo cha tatizo lako ndipo utibu tatizo
Vinginevyo utatumia dawa na tatizo litajirudia

SULUHISHO
ukweri nikwamba ikiwa unapitia tatizo hilo na unatatizo la tezi dume basi tibu kwanza tezi dume

Kwa zaidi ya miaka 3 nimekua nikiwasaidia wanaume Wenyenye tatizo k**a lako
Wamepona na ndoa zao zipo salama heshiama imerejea

Je unaitaji kupa suluhisho
K**a Jibu ni ndio basi
Njoo ini box +255756608261
Au unaweza kuni pigia 0756608261

06/05/2025

. Jeunapatashida ya kukojoa mara kwa Kibofu cha mkojo ni kiungo kinachohifadhi mkojo kabla ya kutoka mwilini. Tatizo la kibofu hutokea pale kunapokuwa na maambukizi, kuvimba, au misuli ya kibofu kushindwa kufanya kazi vizuri. Dalili ni pamoja na kukojoa mara kwa mara, maumivu wakati wa kukojoa, kushindwa kumaliza mkojo, au kutokwa na mkojo bila kujitambua. Sababu zinaweza kuwa maambukizi ya njia ya mkojo (UTI), uvimbe, mawe kwenye kibofu, au shinikizo kutoka kwenye tezi dume iliyovimba. Matibabu hutegemea chanzo cha tatizo, yanaweza kuwa dawa, mabadiliko ya maisha, pia unaweza wasiria nami call +255756608261

  nitezi ndogo iliopo chini ya kibofu cha mkojo Kazi za tezi dume 1:kuzalisha majimaji ya shahawa2:kusaidia utoaji wa sh...
12/04/2025

nitezi ndogo iliopo chini ya kibofu cha mkojo
Kazi za tezi dume
1:kuzalisha majimaji ya shahawa
2:kusaidia utoaji wa shahawa wakati wa tendo kupitia (urethra)
3:kuzuiya mkojoa kuingia kwenye (urethra)wakati wakumwaga shahawa

Hata hivyo tezi dume inaweza kupata maambukizi ya bacteria abayo sio saratani pia inaweza kutanuka Bening prostatic Hyperplasia (BPH) Utanukaji huu unaweza usiwe wa saratani pia tezi dume inaweza kupata saratani (metastasis)

Tatizo lakutanuka kwa tezi dume nitatizo linalo wapata wanaume wenye umri 40 na kuendelea

SABABU ZINAZOPELEKEA TEZI KUTANUKA

Umri mkubwa na mabadirikoya hormone (hormone changes)
Kadiri mwanaume anavyo zidi kukua hormone ya kiume (Testosterone hormone) huzalishwa kwa uchache huku hormone ya (Dihydrotestosterone DHT) huzalishwa kwa wingi Mabadiliko haya ya hormone hupelekea kuzaliwa kwakasi kwa seli za tezi dume ambazo zina pelekea tishu kuanza kututumka haliinayopelekea tezi kuanza kuvimba au kutanuka

NIZIPI DALILI ZAKU TANUKA KWA TEZI DUME

:kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
:mkojo kutoka bila nguvu
:hisia zakuto mariza mkojo
:kuhisi maumivu unapo kojoa
:kushindwa kuvumilia mkojo (unapo kubana ukichelewa kukojoa unatoka wenyewe)
:upungufu wa nguvu za kiume
:maumivu ya nyonga
:kuhisi maumivu chini ya kitovu au kujaa ges
: hisia za maumivu unapo kojoa

🚨DALILI ZA HATARI ZAIDI

Mkojo kuziba (kushindwa kukojoa)
-kukojoa damu
-kukojoa usaha
-maumivu makari wakati wakukojoa

HATAHIVYO DALILI HIZI ZINAWEZA ZISIAMBATANE ZOTE KWA PAMOJA
Nimuhimu kufanya uchunguzi wa ki dakitar mapema

MADHARA YA TEZI DUME

1:kuzuiya mkojo kushindwa kumariza mkojo inaongeza hatari ya maambukizi katika figo
2:figo failure kuzuiwa kwa mkojo mdamlefu inaweza sababisha kushindwa kwa figo
3:kushuka kwa nguvu za kiume
4:saratani ukuaji wa seli usio wakawaida kwenye tezi dume inaweza kusababisha saratani ta yezi dume
5:kifo endapo tezi dume haita tibiwa kwa wakati inaweza sababisha kifo

MATIBABU

Zipo njia kubwa 2 zakufanya matibabu ya tezi dume
1: operetion upasuaji madakitar wengi hupendekeza upasuaji
Hata hivyo inaweza ikarudia kutanuka tena
2:matibabi ya tezi dume biala upasuaji Maranyingi njia hii niyauhakika zaidi hasa unapo kutana na doctor sahihi anaweza kukupati adawa zilizo ithinishwa na mamraka husika k**a TMDA na TBS Ikiwa unahitaji huduma sahihi wasilian nasi 0756608261
DR ONESMO
Kwamuda mlefu temekua tuki wasaidia wanaume kupitia dawa zetu haijarishi umetumia dawa nyingi kiasi gani haujapata matokeo dozi yetu niuhakika niya siku 60 tu matokeo kuanzi siku 10 nakuendelea

 Mawe kwenye kibofu cha mkojo ni matatizo yanayosababishwa na mkusanyiko wa madini na chumvi kwenye kibofu. Tatizo hili ...
29/03/2025


Mawe kwenye kibofu cha mkojo ni matatizo yanayosababishwa na mkusanyiko wa madini na chumvi kwenye kibofu. Tatizo hili huwapata zaidi wanaume wenye umri mkubwa, hasa wale wenye matatizo ya tezi dume au wanaopata shida kukojoa.

Dalili za Mawe kwenye Kibofu cha Mkojo
• Maumivu chini ya tumbo au kwenye kibofu
• Maumivu wakati wa kukojoa
• Mkojo wenye damu au rangi isiyo ya kawaida
• Kushindwa kukojoa vizuri au mkojo kutoka kwa shida
• Kukojoa mara kwa mara hasa usiku
• Harufu mbaya kwenye mkojo

Sababu za Mawe kwenye Kibofu
• Mkojo kubaki kwenye kibofu kwa muda mrefu – husababisha madini na chumvi kujikusanya na kuunda mawe.
• Tezi dume kuvimba – husababisha kibofu kushindwa kutoa mkojo wote.
• Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) – yanaweza kusaidia kutengeneza mawe.
• Lishe duni – ulaji wa vyakula vyenye chumvi nyingi na maji machache unaweza kuchangia.
• Matumizi ya baadhi ya dawa – baadhi ya dawa huongeza mkusanyiko wa madini kwenye kibofu.

Matibabu ya Mawe kwenye Kibofu
• Kunywa maji mengi kusaidia kuyeyusha mawe madogo na kuyaondoa kupitia mkojo.
• Matibabu ya dawa kusaidia kupunguza maumivu na kudhibiti maambukizi.
• Upasuaji au kuvunjwa kwa mawe kwa kutumia mawimbi ya sauti (lithotripsy) au njia ya cystolitholapaxy.

Njia za Kuzuia Mawe kwenye Kibofu
• Kunywa maji ya kutosha kila siku
• Kudhibiti magonjwa yanayoweza kusababisha mawe k**a tezi dume na UTI
• Kula lishe bora yenye matunda, mboga, na nyuzi nyuzi
• Kuepuka vyakula vyenye chumvi nyingi na vyenye madini mengi ya oxalate
Pia unaweza kutupigia 0756 608 261

  Dr.onesmo afya careUkuaji wa saratani ya tezi dume mara nyingi huonyeshwa kwa mchoro wa hatua za saratani (prostate ca...
22/03/2025



Dr.onesmo afya care
Ukuaji wa saratani ya tezi dume mara nyingi huonyeshwa kwa mchoro wa hatua za saratani (prostate cancer stages). Hapa kuna muhtasari wa hatua zake kuu:

1. Hatua ya Kwanza (Stage 1)
• Saratani iko ndani kabisa ya tezi dume na haijasambaa.
• Haiwezi kuhisiwa kwa vipimo vya kawaida k**a daktari kugusa kwa kidole kupitia njia ya haja kubwa.
• Kiwango cha PSA ni cha kawaida au kimeongezeka kidogo.
• Kwa kawaida, hakuna dalili zinazoonekana.

2. Hatua ya Pili (Stage 2)
• Saratani bado iko ndani ya tezi dume lakini imekua zaidi.
• Inaweza kugunduliwa kupitia vipimo k**a DRE (Digital Re**al Exam) au MRI.
• Kiwango cha PSA kinaweza kuongezeka zaidi.
• Dalili k**a shida ya kukojoa zinaweza kuanza kujitokeza.

3. Hatua ya Tatu (Stage 3)
• Saratani imeanza kutoka nje ya tezi dume na inaweza kuenea hadi kwenye tishu za karibu, k**a vile kibofu cha mkojo.
• Inaweza kusababisha dalili kali zaidi k**a damu kwenye mkojo au maumivu ya nyonga.
• Kiwango cha PSA ni cha juu zaidi.

4. Hatua ya Nne (Stage 4 - Advanced Cancer)
• Saratani imesambaa hadi maeneo ya mbali k**a mifupa, mapafu, ini, au mfumo wa limfu.
• Dalili zinaweza kuwa kali, ikiwa ni pamoja na maumivu makali ya mifupa, uchovu, na kupungua uzito.

Kwa ujumla, kugundua saratani katika hatua za mwanzo huongeza nafasi ya mafanikio katika matibabu.
Ufahamu kua tatizo la saratani ikiwa lipo stage 1 had 2 inatibika kabisa /wasilina nasi kwaushauri na matibabu 0756 608 261 +255756608261

Dr.onesmo afya care Tezi Dume: Dalili, Madhara na-                               dume ni kiungo muhimu kwa wanaume, laki...
18/03/2025

Dr.onesmo afya care Tezi Dume: Dalili, Madhara na- dume ni kiungo muhimu kwa wanaume, lakini inapoanza kuvimba au kupata maambukizi, inaweza kusababisha changamoto kubwa za kiafya.Dalili za Tatizo la Tezi Dume:✔️ Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku✔️ Maumivu au kuungua wakati wa kukojoa✔️ Mkojo kutoka kwa shida au dhaifu✔️ Damu kwenye mkojo au shahawa✔️ Maumivu ya mgongo, nyonga au sehemu za chiniMadhara ya Kutotibu Tezi Dume Mapema:❌ Kupata matatizo makubwa ya kibofu❌ Kushindwa kabisa kukojoa (urinary retention)❌ Kushuka kwa nguvu za kiume❌ Hatari ya saratani ya tezi dumeTiba Bila Upasuaji:Sasa unaweza kutibu tezi dume kwa kutumia vidonge asilia yenye viambato vyenye nguvu vinavyosaidia:✅ Kupunguza uvimbe wa tezi dume✅ Kurejesha mkojo kuwa wa kawaida✅ Kuimarisha nguvu za kiume✅ Kuepuka hatari ya upasuajiUsisubiri tatizo likue! Pata suluhisho salama na la uhakika leo.Wasiliana nasi kwa WhatsApp/SIMU: [+255756608261]

18/03/2025

Dr.onesmo afya care Tezi Dume: Dalili, Madhara na- dume ni kiungo muhimu kwa wanaume, lakini inapoanza kuvimba au kupata maambukizi, inaweza kusababisha changamoto kubwa za kiafya.Dalili za Tatizo la Tezi Dume:✔️ Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku✔️ Maumivu au kuungua wakati wa kukojoa✔️ Mkojo kutoka kwa shida au dhaifu✔️ Damu kwenye mkojo au shahawa✔️ Maumivu ya mgongo, nyonga au sehemu za chiniMadhara ya Kutotibu Tezi Dume Mapema:❌ Kupata matatizo makubwa ya kibofu❌ Kushindwa kabisa kukojoa (urinary retention)❌ Kushuka kwa nguvu za kiume❌ Hatari ya saratani ya tezi dumeTiba Bila Upasuaji:Sasa unaweza kutibu tezi dume kwa kutumia vidonge asilia yenye viambato vyenye nguvu vinavyosaidia:✅ Kupunguza uvimbe wa tezi dume✅ Kurejesha mkojo kuwa wa kawaida✅ Kuimarisha nguvu za kiume✅ Kuepuka hatari ya upasuajiUsisubiri tatizo likue! Pata suluhisho salama na la uhakika leo.Wasiliana nasi kwa WhatsApp/SIMU: [+255756608261]

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255756608261

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.onesmo afya care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.onesmo afya care:

Share

Category