
04/04/2025
๐ฆ๐๐ฅ๐๐ง๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ (๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐):
Homa ya ini husababishwa na maambukizi ya virus vya Hepatitis lakini pia homa ya ini inaweza kusababishwa na mabadiliko ya mtindo wako wa maisha.
Virus vya hepatitis B vinasambazwa na kuambukizwa kupitia njia mbali mbali k**a vile:
- kujamiana na mtu mwenye kuishi na maambukizi ya virusi vya homa ya in.
- Kushika maji maji yatokayo mwilini mwa mtu mwenye maambukizi k**a jasho, mkojo, mate manii na damu.
- Mama mjamzito anaweza kumuambukiza mtoto katika kipindi cha ujauzito au kujifungua.
- Kuchangia damu na mtu mwenye tatizo hili.
- kuchangia vifaa vyenye ncha kali.
- Kuvaliana nguo.
๐๐๐ฉ๐๐ฅ ๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐ข๐ฆ๐๐ฆ - ๐ฆ๐๐ฅ๐๐ง๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐:
Homa ya ini aina ya Hepatitis hupitia hatua kuu tano hadi ini kuacha kufanya kazi kutokana na uwepo wa maambukizi ya muda mlefu pasipo kutibiwa, na maranyingi sana tatizo hili hutibika moja kwa moja ikiwa katika ๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฎ๐๐ฎ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐น๐ถ๐๐ฒ๐ฟ ๐ถ๐ป๐ณ๐น๐ฎ๐บ๐บ๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป ๐ป๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฝ๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐๐ฒ๐ฟ ๐๐ถ๐ฏ๐ฟ๐ผ๐๐ถ๐ kwasababu hatua hizi maranyingi sana ini linakuwa bado halijashambuliwa vizuri na kuchoka, Ini linakuwa bado lipo safi na salama na kazi zake.
Hatua ya kwanza na hatua ya pili mgonjwa hupitia dalili nyepesi nyepesi na sio za kudumu zinazo kuja na kupotea, mfano wa dalili hizi ambazo sio za moja kwa moja kwa hatua hii ya kwanza na hatua ya pili.
- Miwasho ya ngozi.
- Kupungua uzito.
- Kukojoa mkojo wa njano pindi mgonjwa asipo kunywa maji mengi.
- Maumivu ya tumbo upande wa kulia upande wa ini au upande wowote.
- Kupoteza hamu ya kula na kuhisi kichefuchefu.
- Kuwa na msongo mkubwa wa mawazo.
- Tumbo kujaa gesi na kuhisi kushiba mara kwa mara.
- kuwa na wasi wasi kwa mgonjwa.
Lakini ๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ ๐น๐ถ๐๐ฒ๐ฟ ๐ฐ๐ถ๐ฟ๐ฟ๐ต๐ผ๐๐ถ๐
na ๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ป๐ป๐ฒ ๐๐ฎ ๐น๐ถ๐๐ฒ๐ฟ ๐ฐ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ฒ๐ฟ huwa hakuna matibabu ya moja kwa moja ya kumaliza tatizo hili, kwasababu kupitia hatua ya tatu maranyingi sana ini linakuwa tayari limeshakuwa na ๐๐ถ๐ฟ๐ฟ๐ต๐ผ๐๐ถ๐ hatua hii huwa hakuna matibabu isipokuwa mgonjwa anahitajika kwenda kufanya ๐น๐ถ๐๐ฒ๐ฟ ๐ง๐ฟ๐ฎ๐ป๐๐ฝ๐น๐ฎ๐ป๐ ๐ธ๐๐ฝ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐ธ๐ถ๐๐ฎ ๐ถ๐ป๐ถ ๐ท๐ถ๐ฝ๐๐ฎ.
Cirrhosis ni hatua ya tatu ya homa ya ini ambayo ndio chanzo kikuu cha saratani ya ini yani ๐๐ฒ๐ฝ๐ฎ๐๐ผ๐ฐ๐ฒ๐น๐น๐๐น๐ฎ๐ฟ ๐ฐ๐ฎ๐ฟ๐ฐ๐ถ๐ป๐ผ๐บ๐ฎ saratani ya ini husababisha ini kusinyaa na kushindwa kufanya kazi (๐๐ถ๐๐ฒ๐ฟ ๐ณ๐ฎ๐ถ๐น๐๐ฟ๐ฒ๐) ini lina sinyaa na kuacha kufanya kazi kabisa.
Kupitia hatua ya tatu ya homa ya ini mgonjwa anapata dalili kubwa kubwa na hatarishi k**a vile.
- Tumbo kujaa maji (Ascites).
- Miguu na sura kuvimba.
- Kukojoa mkojo wa njano au kahawiya iliyo kolea sana.
- Vidonda sugu vya tumbo na tumbo kujaa gesi.
- kupoteza hamu ya kula na kuhisi kichefuchefu cha mara kwa mara.
- Macho na ngozi hubadilika rangi na kuwa na rangi ya njano.
- Miwasho sugu ya ngozi hasa majira ya jioni.
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ, ๐ธ๐๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ถ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐.