AFYA BORA HUB

AFYA BORA HUB Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA BORA HUB, Medical and health, Dar es Salaam.

🩺 Elimu ya Afya | Kinga | Vipimo
πŸ”¬ Tunakusaidia kujua hali ya afya yako mapema
πŸ§ͺ Upimaji kamili wa mwili mzima
⏱ Haraka β€’ Salama β€’ Nafuu
πŸ“² Wasiliana nasi kwa ushauri
πŸ‘‡ Follow kwa elimu ya afya kila siku

23/01/2026
22/01/2026

🚨 UKICHELEWA KUPIMA LEO, UTAJUTA KESHO
Je, unakumbana na mojawapo ya haya?
Hedhi zisizo za kawaida
Maumivu ya tumbo au kiuno yasiyoisha
Maambukizi ya mara kwa mara
Unajaribu kupata ujauzito bila mafanikio

⚠️ Usisubiri mpaka iwe kuchelewa.
⚑ Pata majibu papo hapo
πŸ’° Tsh 30,000 tu
πŸ“ž Pima afya yako sasa: 0747 352 608

🚨 UKWELI UNAOTISHA:πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania inapoteza ZAIDI ya watu 27,000 KILA MWAKA kwa SARATANI😒 Hii ni sawa na watu zaidi ya 70 K...
20/01/2026

🚨 UKWELI UNAOTISHA:
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania inapoteza ZAIDI ya watu 27,000 KILA MWAKA kwa SARATANI
😒 Hii ni sawa na watu zaidi ya 70 KILA SIKU
πŸ“Š Zaidi ya wagonjwa 40,000 wapya hugundulika kila mwaka

⚠️ Cha kuumiza zaidi?
πŸ‘‰ Zaidi ya asilimia 70 ya wagonjwa hugundulika wakiwa hatua ya mwisho
πŸ‘‰ Wengi husema: β€œNilikuwa najisikia sawa”
πŸ‘‰ Wengine: β€œNingepima mapema…” β€” lakini tayari ni kuchelewa πŸ’”

πŸ’” SARATANI HAIUMI MWANZO
Hainyemi, haipigi kelele
πŸ‘‰ Inakula mwili taratibu
πŸ‘‰ Inangoja uchelewe

πŸ“Œ Aina zinazoongoza kuua Watanzania:
πŸ”΄ Saratani ya mlango wa kizazi
πŸ”΄ Saratani ya matiti
πŸ”΄ Saratani ya tezi dume
πŸ”΄ Saratani ya ini

πŸ˜” Familia zinabaki na machozi
πŸ˜” Watoto wanabaki yatima
πŸ˜” Ndoto zinaishia hospitalini

---

βœ… SULUHISHO BADO LIPO, LAKINI MUDA NI SASA:
βœ”οΈ PIMA AFYA MAPEMA
βœ”οΈ Fanya cancer screening
βœ”οΈ Pata chanjo ya HPV
βœ”οΈ Usisubiri maumivu

⚠️ USIWE TAKWIMU INAYOFUATA
πŸ‘‰ Afya yako ni zaidi ya simu mkononi
πŸ‘‰ Maisha hayana β€œretry”

πŸ‘‡ CHUKUA HATUA LEO
πŸ“² Pima afya yako
0️⃣7️⃣4️⃣7️⃣ 3️⃣5️⃣2️⃣ 6️⃣0️⃣8️⃣

πŸ“Œ Tag mtu unayempenda aone hili

😰 Maumivu, presha, kisukari na matatizo ya tumbo HAVIJI GHAFULA.⚠️ Huanza kimya kimya… siku unakuja kuanguka ndipo unaju...
20/01/2026

😰 Maumivu, presha, kisukari na matatizo ya tumbo HAVIJI GHAFULA.
⚠️ Huanza kimya kimya… siku unakuja kuanguka ndipo unajua.
😴 Unachoka haraka?
🀒 Tumbo haliko sawa?
πŸ€• Kichwa kinauma mara kwa mara?
❀️ Moyo unadunda bila sababu?
🚨 USIPUUZIE DALILI HIZI.
⏱ Tambua afya yako kwa dk 15 tu
πŸ“„ Matokeo papo hapo
πŸ’° 30,000/=
πŸ“ž Usisubiri uumwe β€” piga simu sasa:
0747 352 608

UMESUBIRI UUMWE NDIO UCHUNGUZWE?Kwa dakika 15 tu, jua hali ya afya yako mapema.βœ” Matokeo papo hapoβœ” Ushauri wa kitaalamu...
19/01/2026

UMESUBIRI UUMWE NDIO UCHUNGUZWE?
Kwa dakika 15 tu, jua hali ya afya yako mapema.
βœ” Matokeo papo hapo
βœ” Ushauri wa kitaalamu
βœ” Gharama nafuu
Afya yako ni mtaji wako.
πŸ“ž 0747 352 608
USISUBIRI UUMWE β€” WASILIANA NASI SASA

Maumivu, presha, kisukari na matatizo ya tumbo HAVIJI GHAFULA.⚠️ Huanza kimya kimya… siku unakuja kuanguka ndipo unajua....
17/01/2026

Maumivu, presha, kisukari na matatizo ya tumbo HAVIJI GHAFULA.
⚠️ Huanza kimya kimya… siku unakuja kuanguka ndipo unajua.
Unachoka haraka?
Tumbo haliko sawa?
Kichwa kinauma mara kwa mara?
❀️ Moyo unadunda bila sababu?

🚨 USIPUUZIE DALILI HIZI.
⏱ Tambua afya yako kwa dk 15 tu
πŸ“„ Matokeo papo hapo
πŸ’° 30,000/=

πŸ“ž Usisubiri uumwe β€” piga simu sasa:
0747 352 608

πŸ›‘ UNAWEZA KUWA NA UGONJWA BILA DALILI!Moyo, kisukari, shinikizo la damu, ini, figo, tumbo au hata afya ya uzazi β€” mengi ...
16/01/2026

πŸ›‘ UNAWEZA KUWA NA UGONJWA BILA DALILI!
Moyo, kisukari, shinikizo la damu, ini, figo, tumbo au hata afya ya uzazi β€” mengi huanza kimya kimya πŸ˜”

⏱️ Dakika 15 tu zinatosha kujua hali ya mwili wako
πŸ“„ Matokeo papo hapo + ushauri wa kitaalamu
πŸ’° 30,000/= tu
πŸ‘‰ USISUBIRI UUMWE ndipo uanze kujali afya yako.
Leo chunguza, kesho uishi kwa amani πŸ’š

πŸ“ž Piga sasa: 0747 352 608
πŸ“ Afya yako, maamuzi yako.

πŸ›‘ UNAWEZA KUWA NA UGONJWA BILA DALILI!Moyo, kisukari, shinikizo la damu, ini, figo, tumbo au hata afya ya uzazi β€” mengi ...
14/01/2026

12/01/2026

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA HUB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram