Afya Smart

Afya Smart Tujenge Afya bora kila siku

Eternal supplements
20/10/2025

Eternal supplements

20/10/2025
📌 ACID REFLUX – Ugonjwa wa Kimya Kimya Unaovuruga Mwili Nzima🔷 Huhisi kwamba ni matatizo ya moyo? Au pumu? Hebu soma hii...
14/07/2025

📌 ACID REFLUX – Ugonjwa wa Kimya Kimya Unaovuruga Mwili Nzima

🔷 Huhisi kwamba ni matatizo ya moyo? Au pumu? Hebu soma hii kwa makini...

Wengine huhisi kifua kinabana, moyo unadunda kwa kasi au pumzi imepungua — wakadhani ni changamoto ya moyo au mapafu.
Lakini baada ya kufanya vipimo vyote vya moyo na mfumo wa upumuaji, majibu yote yanakuja vizuri — hakuna tatizo lolote!

👉 Ukweli ni kwamba, mara nyingine ni Acid Reflux — hali ya asidi ya tumboni kupanda hadi kwenye koo au kifua — ambayo hujificha k**a ugonjwa mwingine.

---

⚠️ Dalili za Acid Reflux ni pamoja na:

• Kukosa pumzi
• Kifua kubana au kuungua (heartburn)
• Maumivu ya koo au kikohozi kisichoisha
• Mapigo ya moyo kwenda mbio
• Kukosa hamu ya kula
• Tumbo kujaa gesi, kukosa choo
• Kuota ndoto mbaya, kushtuka usingizini
• Kizunguzungu, mwili kuchoka bila sababu

---

💡 Unapaswa kufanya nini?

Tafuta elimu sahihi

Pata ushauri wa kiafya

Kula vyakula vinavyosaidia usagaji wa chakula

Epuka msongo wa mawazo, kula vyepesi usiku

Fuata Afya Smart kwa mwongozo wa kila siku

---

📲 Afya Smart – Elimu ya Afya Kila Siku
💬 Bonyeza WhatsApp kwenye ukurasa wetu kwa msaada zaidi.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 16:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Smart posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram