25/01/2026
*ETERNAL TOOTHPASTE*
HII NI DAWA YA MENO NA KINYWA KWA UJUMLA NA PIA NI DAWA YA NGOZI
Hii ni dawa ya meno inayotokana na mimea tiba ya asili ambayo imechanganywa kwa pamoja na kuifanya kuwa ni dawa yenye nguvu zaidi na bora kuliko zote.
Kutokana na aina ya mimea tiba iliyotumika dawa hii imekuwa na matumizi mbalimbali.
Dawa hii haina fluorine.
*KAZI YA DAWA HII:-*
🌿Husafisha Meno Vizuri
🌿Hutibu Vidonda Mdomoni
🌿Humaliza Harufu mbaya kinywani
🌿Hulinda Meno dhidi ya Fizi
🌿Hudhibiti athari ya sukari
🌿 Hupunguza ganzi ya Meno
🌿Hutibu michubuko kinywani
🌿Huimarisha Afya ya kinywa
🌿Huzuia kutoboka kwa meno
🌿Hufanya meno kuwa meupe
🌿Inauwa bakteria wanaoeneza maradhi ya kinywa na meno
*PIA DAWA HII INAHUSIKA NA NGOZI*
➖Inatibu chunusi na fangasi
➖Inatibu afya ya ngozi
➖Huondoa makovu
➖Pia inatibu tumbo na kusaidia kufunga kwa tatizo la kuhara.
➖Inatibu mafindofindo
➖Pia inawasaidia wenye manyama ya pua
➖Inatibu mapunye na muwasho,
➖Pia inakausha damu kwa mtu aliepata jeraha
K**A UNA MATATIZO HAYO NA MENGINEYO KARIBU KWA USHAURI NA TIBA....