24/06/2025
Ugonjwa wa Kisukari ni nini???
Kisukari ni ile hali ya kuwepo kwa sukari nyingi sana kwenye mfumo wa damu, pindi baada ya kula vyakula vya wanga k**a vile ( wali, ugali, chapati, maandazi n.k) ama vyakula vya sukari sukari mfano soda, juice na vingine k**a hvyo.
Sababu ya hali hii kutokea mwilini ni;
1. Uchakavu ama usugu wa seli kwa kimombo inaitwa cell resistance/ insulin resistance
2. Kudhoofu au kuzimia kwa kongosho
3. Uzito mkubwa mwilini
4. Tatizo la kukosa choo mara kwa mara kwa muda mrefu
5. Utumiaji wa sigara ama pombe kwa muda mrefu na sababu nyingine nyingi.
Angalizo: Hizi ni sababu za ugonjwa wa Kisukari mwilini ila sio CHANZO cha ugonjwa wa Kisukari mwilini.
Kwa muda mrefu sana watu wamekua wakitibu sababu hizi za ugonjwa huu mwilini.
Sababu za kitu kuwepo haimaanishi ndio chanzo chake. Embu tuchukulie mfano huu;
Mimi na wewe tunakutana hospitali wote tumeenda kutibiwa. Sababu zetu kuja hapo hospitali zinaweza kutofautina ila chanzo chetu sote ni kimoja ambacho ni hiyo Hospitali. Hivyo hyo hospitali isingekuepo wenda Mimi na wewe tusingekutana.
Karibu sana nkuhudumie mimi sijui unapitia changamoto gani kiafya sababu ya ugonjwa huu wa Kisukari ila nataka ujue kuwa Kisukari Kinatibika kabisa
kwa mawasiliano wa.me/255683822021