16/02/2026
⚠️ Dalili na Madhara ya Acid RefluxDalili Kuu 1. 🔥 Kuhisi moto kifuani (heartburn) — hasa baada ya kula au wakati wa kulala. 2. 😖 Maumivu ya kifua yanayofanana na ya moyo. 3. 😷 Kukohoa mara kwa mara hasa usiku bila mafua. 4. 🗣️ Koo kuwasha au kuuma, sauti kubadilika au kukauka. 5. 👅 Ladha ya asidi au chungu mdomoni. 6. 🍽️ Kuhisi chakula kinapanda kurudi kooni baada ya kumeza. 7. 😫 Tumbo kujaa au gesi nyingi baada ya kula.⸻Madhara (k**a haitatibiwa mapema) 1. 🩸 Vidonda kwenye koo au umio (esophagus ulcers) kutokana na kuchomwa na asidi. 2. ⚠️ Kuvimba kwa umio (esophagitis) — huleta maumivu makali wakati wa kumeza. 3. 🧬 Barrett’s esophagus — mabadiliko ya seli kwenye umio ambayo yanaweza kuongeza hatari ya cancer. 4. 😮💨 Shida ya kupumua — kutokana na asidi kufika kwenye mapafu (asthma-like symptoms). 5. 💤 Usumbufu wa usingizi — kwa sababu ya maumivu au kukohoa usiku. 6. 🍔 Kupoteza hamu ya kula au kupungua uzito kwa muda mrefu.+255746702872