28/08/2025
Vidonda vya tumbo(ulcers) ni ugonjwa hatari sana ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa kikubwa na kusababisha madhara makubwa ndani utumbo
ππππππ ππ π©πππ’π‘ππ π©π¬π π§π¨π ππ’ (π¨πΉπ°π²πΏπ)π
π Kichefu chefu hasa Wakati wa kula au baada ya kula
π Kupoteza Hamu ya kula na kubagua Vyakula
π Tumbo Kuwaka Moto
π Tumbo Kuunguruma
π Gesi nyingi Tumboni
π Kiungulia Mara Kwa Mara
π Tumbo Kuuma Ukichelewa kula au baada ya kula na hasa ukila vyakula vya Mafuta, kukaanga na fast food zote au vyenye viungo sana
π Kucheua sana hasa vitu vichachu au Vichungu
π Kukaukiwa sana maji kwenye Koo
π Kuishiwa Nguvu Unapokosana na vitu Fulani
π Kupoteza fahamu
π Kuumwa Kichwa mara kwa mara
π Macho kuuma na kupoteza uono
π Vichomi kifuani na kuumwa kifua
π Kubanwa pumzi
π Kukosa choo na kupata choo kigumu (Constipation)
π Kumwa Mgongo Upande wa Kushoto na Mbavu
π Moyo Kulipuka, Kuchoma, na Mapigo ya Moyo kwenda Mbio
π Kupata Hofu isiyo na Sababu Yoyote hasa Usiku
π Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa na Kushindwa Kuhimili vizuri Tendo kwa Jinsia Zote
ππͺπ π§πππ π‘π π¨π¦πππ¨π₯π πππππ
Karibu sana hospital kwetu
βοΈπΉπΏ0710246965
BAWASIRI ni ugonjwa unaotokea kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambapo mtu huwa na maumivu makali au kuota kinyama sehemu ya haja kubwa
*Madhara ya bawasiri*
βΆοΈ *grade 1*
Utaona bawasiri ipo kwa ndani ya tundu la haja kubwa, katika hatua hii anakua hajui k**a ana bawasiri
βΆοΈ *Grade 2*
Bado bawasiri haijatoka nje, ipo kwa ndani ila imeanza kukua
βΆοΈ *Grade 3*
Tayari Bawasiri imetoka nje ila kidogo, na hapa tayari mhanga ameanza kupata usumbufu wa hiki kinyama kujitokeza nje na kuleta maumivu
βΆοΈ *Grade 4*
Grade 4 utaona kinyama kimekua kirefu kutoka nje na kimekua kikubwa sana, katika Hali hii mtu hawezi kukaa kitako, inabidi akae upande upande,
*Madhara*
βΆοΈUsipopata tiba mapema unaweza kupata kansa
βΆοΈ Tatizo likiendelea kwa muda mrefu unaweza kupoteza Hali ya kuzuia kinyesi
βΆοΈ Changamoto za kisaikolojia
βΆοΈ Kuvuja damu Mara kwa Mara kupitia njia ya haja kubwa
βοΈ Wasiliana nasi kwa ushauri
*+255 710246965
https://wa.me/message/2K2AJTETNN7VI1