15/04/2026
Unaepuka kuongea karibu na watu? Au unajikuta una-cover mdomo kila mara? 😔
Harufu mbaya kinywani, fizi kutoa damu au meno kufa ganzi vinaweza kukuondolea confidence kabisa!
🔍 Je, unajua unaweza kuzuia haya kwa:
✔ Kusafisha meno angalau mara 2 kwa siku
✔ Kutumia mouthwash sahihi
✔ Kunywa maji ya kutosha
✔ Kuepuka bacteria wanaojificha kwenye fizi
✨ Lakini k**a tayari unapata dalili hizi, unahitaji suluhisho la uhakika zaidi… na hapa ndipo bidhaa hii inakusaidia!
💰 Bei kuanzia 28,000/= TSH
🚚 Usafirishaji kuanzia 5,000/= TSH (mikoani)
Usiache hali iendelee… anza kujisitiri na kurejesha confidence yako leo!
📲 Niandikie inbox ( ORDER ) au WhatsApp sasa uweke order yako