13/08/2025
TIBA-MAUMIVU YA MIFUPA NA JOINTS
Kutokana na sababu Mbalimbali, Watu wa jinsia zote Hupata Matatizo ya Mifupa Maungio na kadiri
umri unavyozidi kwenda ndio watu hupata udhaifu
wa mifupa na viungo kupelekea shida k**a gauti, arthritis, Osteoporosis n.k
DALILI ZA TATIZO
•Kupata Maumivu Ya
mgongo, Kiuno, Mabega, Magoti Au Shingoni
•Magoti Kupiga Kelele Ukinyoosha mguu sapou
Kuvimba Na Kuuma, Miguu Kufa ganzi
•Kushindwa Kutembea Au Kufanya shughuli Zako
SABABU ZA TATIZO
Kukosa ute ute(synovial fluid) kwenye joints kutokana kuwa na Uric Acid nyingi
Kuwa Na Uzani mkubwa kupelekea tishu K**a
Sponji zinazoitwa gegedu (cartilage kuzidiwa hivyo
kupelekea mifupa kusagika
•Upungufu wa madini muhimu Calcium Ambayo
hupelekea mifupa Kuwa na Uzani Mdogo
Kukoma Kwa Hedhi Kwa Akina Mama
Kufanya Mazoezi Ya Viungo Bila Kuzingatia Lishe nzuri
Wasiliana nasi kupata suluhisho ambapo utafanya vipimo kwa Tsh.30,000 tu na baada ya hapo utapata matibabu kumaliza changamoto yako
0752308536