Tiba clinic center

Tiba clinic center Nasaidia watu wenye changamoto ya uzazi

💬Pelvic inflammatory disease ( PID)🗣️Pid NI bacteria infection  kushambulia za sehemu za viungo za chini ya tumbo na seh...
05/09/2025

💬Pelvic inflammatory disease ( PID)

🗣️Pid NI bacteria infection kushambulia za sehemu za viungo za chini ya tumbo na sehemu za Siri na kusambaa kuenea kwenye mirija ya uzazi , fuko la uzazi, yai la uzazi pamoja na mlango wa kizazi , kuzunguuka kuta za uzazi
🌹NI bacteria wabaya zinazoingia Kwa njia ya sehemu za Siri na kuenea sehemu ya kiuno

🌹Sababu zinazopelekea
Usafi wa sehemu za Siri
Magonjwa ya zinaa k**a gonorrhoea nk
Presha za maisha
Maradhi ya mda mrefu
Vimbe za fuko la uzazi
Infections za mkojo
Kutia kitanzi cha kuzia mimba nk

🌹dalili ya pid ni:-
Maumivu chini ya tumbo na kiunoni
kutoka uchafu sana sehemu za uke
Maumivu wakati wa tendo
Kutokwa na uchafu ukeni (njano au kijani ukeni)
kupata maumivu saa ya haja ndogo
maumivu ya period
Depression
kupata period nyingi
harufu mbaya ukeni
kuwa mchofu, homa, kizunguzungu na kutapika
Kuingia period mara 2 Kwa mwezi
Maumivu ya tumbo mara

🗣️Huu ugonjwa ukichukua mda mrefu bila kupona inaleta mazara makubwa Sana na kuweza kusababisha kifo ikiwa imeenea mpaka kwenye damu mwilini

🗣️Zingatio
Ugonjwa huu unadumu Kwa mda mrefu Sana Kwa hiyo mgonjwa anatakikana ashik**ane na tiba Kwa mda mrefu Sana
Utaona unapona baada ya muda inajirudia
Pia unapotumia dawa wiki au mwezi ukiona haijafaa usikate Tamaa endelea kutumia uchache wake ni miezi 3 mfululizo

Bonyeza hapo chini kutupata kwa haraka

wa.me/255622518251

wa.me/255695438425

05/09/2025

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba clinic center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram