Tiba smart

Tiba smart Tunajali Afya yako ;Huduma za tiba,kinga na ushauri wasiliana nasi moja kwa moja 0692903503

Je! wajua Miiracell Products ni Bidhaa pekee za stem cell za mimea zenye uwezo wa kupona Changanoto sugu za kiafya?Bidha...
12/04/2026

Je! wajua Miiracell Products ni Bidhaa pekee za stem cell za mimea zenye uwezo wa kupona Changanoto sugu za kiafya?

Bidhaa hizi ni suluhisho kwa magonjwa sugu bila kujali yamekuwa mwilini kwa muda mrefu au mfupi k**a vile;

▪️ Kisukari
▪️ Presha
▪️ Kiharusi
▪️ Sickle cell
▪️ Pumu /Asthma
▪️ Saratani aina zote
▪️ Matatizo ya Mifupa
▪️ Homa ya ini
▪️ Tezi dume
▪️ Presha ya Macho
▪️ Uvimbe kwenye kizazi
▪️ Vidonda vya tumbo
▪️ Matatizo ya Mapafu
▪️ Matatizo ya Moyo
▪️ Matatizo ya Figo
▪️ Uvimbe kwenye Ovari
▪️ Kupoteza kumbukumbu
▪️ Matatizo ya Mgongo
▪️ Matatizo kwenye Ngozi
▪️ Matatizo ya Misuli
▪️ Kutomudu tendo la ndoa
▪️ Homa ya mapafu kwa watoto
▪️ Kuongeza CD4 /Kinga ya mwili
▪️ Na Magonjwa mengine mengi n.k

Usiendelee kuteseka wala kuona ndugu yako anateseka, mjulishe hizi Habari Njema. Wengi wamepata matokeo ndani ya siku 21 mpaka 90

Maelezo zaidi au ushauri piga namba +255 692903503

Hivi uliwahi kujiuliza utaishi mpaka lini na ugonjwa wa kisukari?.Pressure yako itakusumbua mpaka lini?.''Utachoma Sinda...
12/04/2026

Hivi uliwahi kujiuliza utaishi mpaka lini na ugonjwa wa kisukari?.

Pressure yako itakusumbua mpaka lini?.

''Utachoma Sindano Mpaka lini''?.

''Utakunywa madwa ya kila siku mpaka lini kwa mgonjwa sukari''?.

''Maumivu ya ganzi yatakusumbua mpaka Lini''?.

''Mwili kuchoma choma na kuwaka moto mpaka lini''?.

''Upungufu wa nguvu za kiume'' utakusumbua mpaka lini ulio sababishwa na kisukari cha kila siku.

Sasa basi yote hayo nimekuandalia darasa litakalo kusaidia kuondokana na hizo chamoto zote ukiwa nyumbani kwa kula vyakula vya asili pekee

Utapona na itabaki baki kua historia tu.

FAHAMU KUHUSU BAWASIRI  MIWASHO, VIMBE NA MAUMIVU WAKATI WA KUJISAIDIABawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa kuwa...
12/04/2026

FAHAMU KUHUSU BAWASIRI

MIWASHO, VIMBE NA MAUMIVU WAKATI WA KUJISAIDIA

Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa kuwa na uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana k**a haemorrhoids au piles.
Ugojwa wa hemorrhoids (uwepo wa nyama) katika haja kubwa, ni changamoto sana siku hizi. Ugonjwa huu uwapata watoto hata na watu wazima

Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza kutibika ama kwa upasuaji ama kwa matumizi ya tiba mbadala kwa kipindi kirefu wiki hata 6 au hata zaidi kutegemea ilikuwa imejijenga kiasi gani.

NINI HUSABABISHA BAWASIRI

Hakuna sababu ya moja kwa moja inayojulikana kisayansi kwamba ndiyo husababisha bawasiri, bali mambo yafuatayo yanaweza kupelekea wewe kupatwa na bawasiri:

1. Kukosa haja kubwa au kupata choo kigumu kwa muda mrefu.

2. Ujauzito – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa.

3. Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile.

4. Uzee – kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.

5. Sababu za kurithi – baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.

6. Kuharisha sana kwa muda mrefu
7. Kutumia vyoo vya kukaa

8. Kunyanyua vyuma vizito
9. Mfadhaiko / msongo wa mawazo
10. Uzito na unene kupita kiasi

DALILI ZA BAWASIRI

1. Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa.

2. Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia.

3. Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa.

4. Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa.

5. Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote.

JE UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI AU UNA BABA/MAMA/ DaDa/ BIBI/ KAKA/BABU MWENYE SHIDA HII?

Zipo bidhaa ambazo zinasaidia mtu ambaye mwenye matatizo haya au anasumbuliwa na matatizo haya mara kwa mara. Bidhaa hizi si dawa lakini humsaidia mtumiaji katika:-

√ Kusafisha mfumo mzima wa chakula: hivyo utapata choo vizuri na kujiepusha usipate bawasiri na k**a unayo kupungua.

√Kuongeza lishe na mboga mboga katika mlo wake ili kuzuia usipate choo kigumu.

√ Kusaidia kuondoa maumivu yatokanayo na bawasiri.

√Kumuongezea fiber mwilini hivyo usipate tatizo la kupata choose kigumu.

Bidhaa hizi hazina kemikali hivyo zinafaa kwa matumizi kwa watu wazima ili kuzuia na hata walioathirika na tatizo hili.

Kwa mahitaji ya bidhaa hizi

wasiliana nasi kupitia namba;

0692903503

Call/ text / WhatsApp

UTAISHI NA KISUKARI NA PRESHA MPAKA LINI?Na je  utamia dawa za chemikali na  sindano mpaka Lini?Sasa soma hapa Watu weng...
11/04/2026

UTAISHI NA KISUKARI NA PRESHA MPAKA LINI?

Na je utamia dawa za chemikali na sindano mpaka Lini?

Sasa soma hapa Watu wengi hawajui kuwa:

Afya ya kongosho ndio njia peke na kubwa katika udhibiti kisukari ndan ya mwili hivyo basi.

*kupitia programu yetu*

✔️ Tunatoa darasa la kongosho na virutubisho lishe vya kutibu kongosho.

✔️ Tunatoa mwongozo wa sahihi wa vyakula Bora ukiwa NYUMBANI kwako.

✔️Tutakupa muongozo na ratiba sahihi ya vyakula kwa mgonjwa wa Kisukari na presha BURE

✔️ Pia Tutakupa mbinu za kitaalamu za kumaliza tatizo la ganzi, nguvu za kiume, macho kuona ukungu, Figo na moyo kufeli, jinsi ya kutibiti PRESHA ya kupanda na kushuka, uchovu kichoka kusivyo elezeka. Nk..

*Lengo letu ni kukupa tiba na kupona ili uanze kuishi maisha yako ya mwanzo*

Bonyeza neno JIUNGE hapa chini Sasa hivi kabla darasa hailija jaa.

🩺 Maana ya Ugonjwa wa Kisukari (Diabetes Mellitus)Ugonjwa wa kisukari ni hali ya kiafya ambapo kiwango cha sukari (gluco...
10/04/2026

🩺 Maana ya Ugonjwa wa Kisukari (Diabetes Mellitus)

Ugonjwa wa kisukari ni hali ya kiafya ambapo kiwango cha sukari (glucose) kwenye damu kinakuwa juu kuliko kawaida. Hii hutokea kwa sababu mwili hauzalishi kabisa homoni ya insulini au hauitumi ipasavyo.

🔬 Kazi ya Insulini ni nini?

Insulini ni homoni inayozalishwa na kongosho (pancreas).

Kazi yake kuu ni kusaidia sukari kutoka kwenye damu kuingia ndani ya seli ili kutumika k**a chanzo cha nishati (energy).

Bila insulini ya kutosha au ikiwa mwili hautumii vizuri insulini, sukari hubaki kwenye damu → hivyo kiwango cha sukari huongezeka.

⚙️ Aina Kuu za Kisukari

1. Kisukari aina ya 1 (Type 1 Diabetes)

Mwili hauzalishi kabisa insulini.

Hutokea zaidi kwa watoto na vijana.

Wagonjwa hutegemea insulini kwa sindano maisha yote.

2. Kisukari aina ya 2 (Type 2 Diabetes)

Mwili hutengeneza insulini, lakini haiwezi kutumika vizuri (insulin resistance).

Hutokea zaidi kwa watu wazima, wenye uzito mkubwa au wasiokuwa na mazoezi ya kutosha.

Dawa za kumeza, lishe bora na mazoezi husaidia kudhibiti.

3. Kisukari cha mimba (Gestational Diabetes)

Hutokea wakati wa ujauzito, na mara nyingi hupotea baada ya kujifungua.

Hata hivyo, kinaweza kuongeza hatari ya mama kupata kisukari aina ya 2 baadaye.

⚠️ Kwa Nini Kisukari ni Tatizo?

Kiwango cha sukari kikiwa juu kwa muda mrefu huathiri mishipa ya damu na viungo muhimu, na kusababisha matatizo k**a:

Upofu

Figo kushindwa kufanya kazi

Vidonda kwenye miguu vinavyoshindikana kupona

Kiharusi au shambulio la moyo

💡 Kwa ufupi:

> Kisukari ni ugonjwa wa muda mrefu unaosababishwa na upungufu au utendaji hafifu wa insulini, unaopelekea sukari nyingi kwenye damu.

0692903503

TINDIKALI ASILI MWILINI*( *ACIDITY)* PH potential of hydrogen ( *uwezo wa hadrojeni)* PH inayotakiwa mwilini mwa mwanaum...
10/04/2026

TINDIKALI ASILI MWILINI*

( *ACIDITY)*
PH potential of hydrogen ( *uwezo wa hadrojeni)*

PH inayotakiwa mwilini mwa mwanaume ```3.4_7.0mg```
PH kwa mwanamke ```2.4_6.0mg```

_PH inapimwa kwenye damu_ , ~_mate na mkojo_

*SABABU YA TINDIKALI* *KUZIDI MWILINI*
📌uvutaji sigara kwa wingi
📌unywaji wa pombe kwa sana
📌vidonda vya tumbo
📌 kutoka kula kwa wakati{kukaa na njaa mda mrefu}
📌udhaifu wa mishipa mwilini
📌ulaji wa vyakula venye mafuta mengi {haswa wapenzi wa nyama nyekundu}
📌Unywaji wa vinywaji vya viwandani k**a juice soda
📌Kuvuna kwa asid tumboni
📌 Matumizi ya dawa za muda mrefu
📌 Matumizi ya vyakula vyenye asid nyingi
📌Kutokunywa MAJI ya kutosha

*DALILI ZAKE*
🙌 kichefuchefu Cha mara kwa mara
🙌Kifua kubana (chembe ya moyo)
🙌 maumivu ya viungo
🙌Ganzi za mara kwa mara
🙌kichwa kuuma, kuhisi wenge,
🙌mapigo ya moyo kwenda Kasi
🙌 constipation {choo kigumu}au kuharisha
🙌uchovu wa mara kwa mara
🙌tumbo kuwaka moto
🙌Tumbo kujaa gesi
🙌Harufu mbaya kinywani
🙌Utando mweupe mdomoni
🙌Kuhisi kitu kukwama kooni
🙌 Kucheuwa ladha ya uchungu au uchachu(kiungulia)
🙌 Maumivu katikati ya Kifua hadi mgongoni
🙌 Makohozi au mafua yasiyoisha kinywani

MADHARA YA ACID REFLUX

Kwa muda mrefu ikiwa asidi haijatibiwa, reflux inaweza kusababisha uharibifu wa umio. Hali hii husababisha (kutokwa na damu na vidonda kwenye umio), Strictures (ugumu wa kumeza).
📌 Saratani ya koo
📌 Vidonda vya tumbo
📌 Uharibifu wa njia ya hewa na mapafu
📌 Uharibifu wa mfumo wa fahamu yaani Neva na misuli ya moyo,na macho
📌 Uharibifu wa mifupa
📌 Husababisha ganzi
📌 Husababisha Maumivu ya chembe ya moyo na Kifua kubana
📌 Uharibifu wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
📌 Husababisha mafua na Kikohozi sugu yaani kisichoisha
📌 Husababisha makohozi mdomoni
📌 Husababisha harufu mbaya kinywani
📌 Husababisha Maumivu ya Mgongo na kichwa
📌 Husababisha Figo isifanye kazi kwa ufasaja
📌 Husababisha mtu kupata choo ngumu au ya kuharisha
📌 Husababisha vidonda vya tumbo
Karibuni sana kwa suluhisho na ushauri namna ya kuondoa tatizo hili 0692903503
#

🩺 OFA MAALUM YA VIPIMO VYA MWILI MZIMAKwa gharama ya Tsh 30,000 tu, pata nafasi ya kujua hali ya afya yako mapema kabla ...
09/04/2026

🩺 OFA MAALUM YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA

Kwa gharama ya Tsh 30,000 tu, pata nafasi ya kujua hali ya afya yako mapema kabla ya tatizo halijawa kubwa.

Tunapima magonjwa yasiyoambukiza (Non-Communicable Diseases) k**a vile:

1. Kisukari (Diabetes)

2. Shinikizo la damu (BP)

3. Saratani mbalimbali (Cancer screening)

4. Magonjwa ya figo

5. Magonjwa ya ini

6. Magonjwa ya moyo

7. Cholesterol (mafuta mwilini)

8. Uti wa mgongo na maumivu ya viungo

9. Uzito uliopitiliza/Obesity

10. Magonjwa ya mapafu

🌍 Huduma zinapatikana msasani

📞 Wasiliana nasi sasa: 0692903503

PRESHA NA MOYOJe unasumbuliwa na presha ?Au una tatizo la moyo?Wasiliana nasi sasa uweze kumaliza changamoto hizi kwa mu...
09/04/2026

PRESHA NA MOYO

Je unasumbuliwa na presha ?
Au una tatizo la moyo?

Wasiliana nasi sasa uweze kumaliza changamoto hizi kwa muda mfupi kabisa bila kutumia vidonge

■BAADHI YA DALILI ZA PRESHA
●Maumivu ya kifua
●moyo kwenda mbio
●kizunguzungu
●kutokwa jasho jingi hasa usiku
●kupata ganzi mikononi au miguuni
●mwili kuishiwa nguvu n.k
Tujitibu kwa mimea

Piga simu au tuma sms 0692903503
es alaam

Maana ya Rheumatoid Arthritis (RA) • Ni ugonjwa wa kinga ya mwili (autoimmune) ambapo mwili hushambulia maungio yake • H...
08/04/2026

Maana ya Rheumatoid Arthritis (RA)
• Ni ugonjwa wa kinga ya mwili (autoimmune) ambapo mwili hushambulia maungio yake
• Husababisha maumivu, uvimbe, na uharibifu wa viungo
• Huathiri zaidi maungio ya mikono, miguu, magoti n.k.

⚠️ Sababu 8 za Rheumatoid Arthritis
1. Mfumo wa kinga kushambulia maungio (autoimmune)
2. Urithi (genetics)
3. Maambukizi fulani (bakteria/virusi)
4. Kuvuta sigara
5. Homoni (huonekana zaidi kwa wanawake)
6. Msongo wa mawazo (stress)
7. Uzito mkubwa (obesity)
8. Mazingira (uchafuzi wa hewa/kemikali)

Dalili 8 za Rheumatoid Arthritis
1. Maumivu ya viungo
2. Kuvimba kwa maungio
3. Kukak**aa asubuhi (zaidi ya dakika 30)
4. Uchovu wa mwili
5. Homa ndogo ndogo
6. Kupungua nguvu ya kushika vitu
7. Viungo kuwa na joto (warm joints)
8. Kupungua uzito bila sababu

❗ Madhara 6 ya Rheumatoid Arthritis
1. Ulemavu wa viungo
2. Kupinda kwa vidole/mikono
3. Kupoteza uwezo wa kufanya kazi
4. Uharibifu wa kudumu wa maungio
5. Magonjwa ya moyo
6. Kupungua ubora wa maisha

08/04/2026
06/04/2026

*𝐓𝐔𝐌𝐈𝐀👉"MIIRALIFE na MIIRACELL"👉𝐊𝐈𝐁𝐎𝐊𝐎 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐅𝐔𝐏𝐀, 𝐌𝐀𝐔𝐍𝐆𝐈𝐎 𝐍𝐀 𝐌𝐈𝐆𝐔𝐔 𝐊𝐔𝐖𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐎𝐓𝐎👈.*

Miiraseli na miiralife ni 𝐭𝐢𝐛𝐚 ya kudumu inayotibu na kutokomeza kabsa *𝐌𝐚𝐭𝐚𝐭𝐢𝐳𝐨 𝐬𝐮𝐠𝐮 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐠𝐮𝐮 kuwaka 𝐦𝐨𝐭𝐨, 𝐤𝐮𝐟𝐚 𝐠𝐚𝐧𝐳𝐢, 𝐦𝐢𝐟𝐮𝐩𝐚, 𝐯𝐢𝐮𝐧𝐠𝐨 𝐤𝐮𝐬𝐚𝐠𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐩𝐢𝐬𝐡𝐚𝐧𝐨 𝐰𝐚 𝐩𝐢𝐧𝐠𝐢𝐫𝐢 𝐳𝐚 𝐮𝐭𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐠𝐨𝐧𝐠𝐨.*

*𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐊𝐔𝐔 𝐙A MIIRA SELI NA MIIRALIFE👇👇*
●Huboresha viungo na kuponesha sehemu zilizoumia kwenye viungo
*●𝐍𝐢 𝐤𝐢𝐛𝐨𝐤𝐨 𝐲𝐚 𝐭𝐚𝐭𝐢𝐳𝐨 𝐥𝐚 𝐦𝐢𝐠𝐮𝐮 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐢𝐠𝐮𝐮 𝐤𝐮𝐟𝐚 𝐠𝐚𝐧𝐳𝐢.*
*●Hufufua Neva za fahamu zilikufa Kwa sababu ya kisukari, pressure, na uzito mkubwa.*
*●𝐇𝐮𝐨𝐧𝐝𝐨𝐚 𝐦𝐚𝐮𝐦𝐢𝐯𝐮 𝐲𝐚 𝐮𝐠𝐨𝐧𝐣𝐰𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐢𝐟𝐮𝐩𝐚 (𝐨𝐬𝐭𝐞𝐨𝐚𝐫𝐭𝐡𝐫𝐢𝐭𝐢𝐬) 𝐧𝐚 𝐮𝐜𝐡𝐚𝐤𝐚𝐯𝐮 𝐰𝐚 𝐦𝐢𝐟𝐮𝐩𝐚.*
●Huimarisha mupishano mzuri wa mifupa kwenye viungo wakati wa kutembea
*●𝐇𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐳𝐚 𝐯𝐢𝐫𝐮𝐭𝐮𝐛𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐦𝐡𝐢𝐦𝐮 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐢𝐟𝐮𝐩𝐚 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐮𝐧𝐠𝐨* ●Husaidia kulainisha sehem za viungo
*●𝐇𝐮𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐦𝐚𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐭𝐢𝐬𝐬𝐮𝐞
viungo

05/04/2026

Sababu 10 za pumu

1. Kurithi (genetics)
• Historia ya familia kuwa na pumu au mzio
2. Mzio (allergens)
• Vumbi, poleni, manyoya ya wanyama, ukungu

3. Moshi wa sigara
• Kuvuta sigara au kuvuta moshi wa watu wengine
4. Uchafuzi wa hewa
• Moshi wa magari, viwandani, na taka

5. Maambukizi ya njia ya hewa
• Mafua, kikohozi, au virusi

6. Hali ya hewa
• Baridi kali au mabadiliko ya ghafla ya hali ya hewa

7. Mazoezi makali
• Hasa kwa watu wenye “exercise-induced asthma”

8. Msongo wa mawazo (stress)
• Hofu, hasira au msongo huweza kuchochea shambulio
9. Harufu kali na kemikali
• Manukato makali, dawa za kusafishia, rangi (paint)
10. Vyakula au dawa fulani
• Baadhi ya vyakula au dawa (k**a aspirin kwa baadhi ya watu) vinaweza kuchochea pumu
0692903503
#

Address

Msasani Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba smart posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram