afya yetu

afya yetu karibu katika page yetu ya AFYA YETU tujifunze vingi kuhusu afya

Wanawake wengi hukutana na changamoto mbalimbali wakati wa hedhi si jambo geni, Bali ni sehemu ya mabadiliko ya mwili Ki...
23/10/2025

Wanawake wengi hukutana na changamoto mbalimbali wakati wa hedhi si jambo geni, Bali ni sehemu ya mabadiliko ya mwili

Kila mwezi , Miili yetu hupitia mabadiliko tofauti wengine huumwa mgongo au tumbo , wengine hupata uchovu au mabadiliko ya hisia, na kwa wengine , ngozi na nywele zao huathirika

Lakini jambo la muhimu ni kujijua na kujitunza ipasavyo. Pumzika unapohitaji, kunywa maji mengi , kula chakula chenye virutubisho na kumbuka hauko peke yako kwenye safali hii 👸.

Tuambie kwenye comment

Ni changamoto gani hukutana nayo zaidi wakati wa hedhi...?
A . Maumivu ya tumbo na mgongo
B . Mabadiliko ya hisia na uchovu
C . Kuhalibika kwa ngozi na nywele
D . Haupati changamoto yoyote

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram