TRUST Trust is a DKT International Tanzania family planning brand.The Trust brand promise is building successful, healthier and wealthier families.

KWA MAFANIKIO YAKO

With our different contraceptive methods, you can have CONTROL over when to start a family, and decide what PLANS and DREAMS you want to pursue in the meantime. We aspire to become the one stop shop family planning brand of choice i.e. the most comprehensive brand with the most extensive range of innovative, exciting family planning services and products in Tanzania. Trust products and services can be accessed at clinics, pharmacies and private health facilities.

Kwa njia bora na salama za uzazi wa mpango, Trust Contraceptives zinapatikana kwa urahisi kila mahali. Tuma DM upate mae...
16/07/2025

Kwa njia bora na salama za uzazi wa mpango, Trust Contraceptives zinapatikana kwa urahisi kila mahali. Tuma DM upate maelezo zaidi kuhusu chaguo sahihi kwa ajili yako.โ€‹

Jambo Lakuzingatia: Injecta -Fem sio kwa ajili ya kila mtu. ukiwa na matatizo ya kiafya, Tafadhali zungumza na Daktari w...
26/06/2025

Jambo Lakuzingatia: Injecta -Fem sio kwa ajili ya kila mtu.
ukiwa na matatizo ya kiafya, Tafadhali zungumza na Daktari wako ili aweze kukusaidia na mpango unao kufaa zaidi. ๐Ÿ’™

-Fem ana mipango

18/06/2025

Unataka kujua ni vipi Injecta-Fem inavyofanya maajabu yake? ๐ŸŒŸinaachisha yai lisi pevuke na kusababisha utelezi wa ukeni uwe mzito ili Mbegu za mwanaume zisilifikie.๐Ÿ˜Š baada ya hapo ni Utamu tuu bila hofu.๐Ÿ˜‹Pata ushauri wa daktari kufahamu k**a ni njia sahihi kwako.

-Fem ana mipango

Hebu fikiria, Miezi mitatu bila hata kuwaza uzazi mpango wa kila siku..Utamu Tuu. Uhuru kipenzi uhuruuu!๐ŸŽ๐Ÿ˜œMuulize Daktar...
13/06/2025

Hebu fikiria,
Miezi mitatu bila hata kuwaza uzazi mpango wa kila siku..
Utamu Tuu.
Uhuru kipenzi uhuruuu!๐ŸŽ๐Ÿ˜œ
Muulize Daktari wako k**a InjectaFem inakufaa.

-Fem ana mipango

Eid Al-Adha Mubarak kutoka DKT!Tunawatakia sikukuu yenye baraka, amani, Vaa kwa fahari, sherehekea kwa moyo.
07/06/2025

Eid Al-Adha Mubarak kutoka DKT!Tunawatakia sikukuu yenye baraka, amani, Vaa kwa fahari, sherehekea kwa moyo.

Injecta-FemInaweza kuwa kwa ajili yako k**a wewe ni mwanamke wa umri wowote ule ikiwemo mzazi uliotoka kujifungua k**a h...
04/06/2025

Injecta-FemInaweza kuwa kwa ajili yako k**a wewe ni mwanamke wa umri wowote ule ikiwemo mzazi uliotoka kujifungua k**a haunyonyeshi..
Mzazi unae nyonyesha itakua salama kwako na mtoto baada ya wiki sita za kujifungua,ย  na wanawake wengine wote ambao hawawezi kutumia mipango ya uzazi yenye homoni ya estrogeni.
Tafadhali zungumza na Daktari wako ili kuwa na uhakika.
ย  -Fem ana mipango

Mipango ya maisha yako haitakiwi kuwa k**a vita. Hii Mei 28, Tunapaza sauti zetu: Binti Ana Mipango Na Uwezo.
30/05/2025

Mipango ya maisha yako haitakiwi kuwa k**a vita. Hii Mei 28, Tunapaza sauti zetu: Binti Ana Mipango Na Uwezo.

Mwisho wa siku, ukweli mmoja unabakia,Hatutanyamaza kuhusu afya ya mwanamke,Tutailinda, tutaifanya jambo la kawaida na k...
29/05/2025

Mwisho wa siku, ukweli mmoja unabakia,
Hatutanyamaza kuhusu afya ya mwanamke,
Tutailinda, tutaifanya jambo la kawaida na kuisherekea.

Maarifa siyo ya kuyaonea aibuMipango siyo ya kuionea aibuMatumizi ya njia za uzazi wa mpango siyo ya kuyaonea aibuNi mud...
29/05/2025

Maarifa siyo ya kuyaonea aibu
Mipango siyo ya kuionea aibu
Matumizi ya njia za uzazi wa mpango siyo ya kuyaonea aibu
Ni muda wa kutokukaa kimya

Leo, tunapaza sauti kwa ajili ya kila binti aliyewahi kunyamazishwa kuhusu mwili wake.Afya ya mwanamke ni haki yake
29/05/2025

Leo, tunapaza sauti kwa ajili ya kila binti aliyewahi kunyamazishwa kuhusu mwili wake.
Afya ya mwanamke ni haki yake

Nini Tunachokipendea Injecta-Fem?- Miezi mitatu ya kujiamini na ulinzi ulio salama. - Hamna vidonge vya kumeza kila siku...
23/05/2025

Nini Tunachokipendea Injecta-Fem?
- Miezi mitatu ya kujiamini na ulinzi ulio salama.
- Hamna vidonge vya kumeza kila siku
- Na, ni Faragha .
Yani Siri yako wewe na daktari wako tuu.
Kataa hofu na wasiwasi kila unapotaka kustarehe...jiachie.
Wakati ni sasa, zungumza na Daktari wako leo uone k**a inakufaa.

-Fem

Weeeh!!.. hivi umeskia kuhusu Injecta-Fem?๐Ÿค” ni kisindano Kidogo cha mpango wa uzazi unachokipata kila baada ya miezi mit...
16/05/2025

Weeeh!!.. hivi umeskia kuhusu Injecta-Fem?๐Ÿค” ni kisindano Kidogo cha mpango wa uzazi unachokipata kila baada ya miezi mitatu.. ni rahisi na chenye ufanisi.๐Ÿฅบ

-Fem ana Mipango

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TRUST posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to TRUST:

Share