Afya na Dr.Neema

Afya na Dr.Neema Tunafanya vipimo vya mwili mzima pamoja na matibabu kwa Ushauri call 0797208354

GCAT HEALTH CARE CLINIC KUTOKA CHINA.πŸ‘‡TUNAKULETEA  WATAALAMU WA UPIMAJI WA MAGONJWA YOTE SUGU YASIYOAMBUKIZA K**A VILEπŸ‡ ...
12/03/2026

GCAT HEALTH CARE CLINIC KUTOKA CHINA.πŸ‘‡
TUNAKULETEA WATAALAMU WA UPIMAJI WA MAGONJWA YOTE SUGU YASIYOAMBUKIZA K**A VILE
πŸ‡ π—žπ—œπ—¦π—¨π—žπ—”π—₯π—œ
πŸ‡ 𝗣π—₯π—˜π—¦π—¦π—¨π—₯π—˜
πŸ‡ 𝗣𝗨𝗠𝗨
πŸ‡ π— π—œπ—™π—¨π—£π—”
πŸ‡ π— π—œπ—¦π—¨π—Ÿπ—œ
πŸ‡ π— π—œπ—¦π—›π—œπ—£π—”
πŸ‡ 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗒
πŸ‡ π—žπ—”π—‘π—¦π—”
πŸ‡ π—œπ—‘π—œ
πŸ‡ 𝗣.π—œ.𝗗
πŸ‡π—§π—˜π—­π—œ π——π—¨π— π—˜
πŸ‡π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 𝗠𝗒𝗬𝗒
πŸ‡π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 π—™π—œπ—šπ—’
πŸ‡π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 π—¨π—­π—”π—­π—œ
(wanaume, wanawake)
πŸ‡π—¨.𝗧.π—œ π—¦π—¨π—šπ—¨
πŸ‡π—™π—”π—‘π—šπ—”π—¦π—œ π—”π—œπ—‘π—” π—­π—’π—§π—˜
πŸ‡π—©π—œπ——π—’π—‘π——π—” 𝗩𝗬𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗒
πŸ‡π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 π—‘π—šπ—’π—­π—œ
KIPIMO HIKI KITA SCAN MWILI WAKO WOTE KWANZIA KICHWANI HADI MIGUUNI,, HIVYO BASI HAKUNA UGONJWA WOWOTE UTAKAOJIFICHA
π—¨π—¦π—œπ—›π—”π—‘π—šπ—”π—œπ—žπ—˜ TENA
NJOO UPATE SULUHISHO LA AFYA YAKO,
KIPIMO HIKI SI CHA WAGONJWA TU BALI NI MTANZANIA YOYOTE ANAETAKA KUJUA UNDANI WA AFYA YAKE
𝗧𝗨𝗑𝗔𝗭𝗒 𝗗𝗔π—ͺ𝗔 𝗭𝗔 π—žπ—¨π—§π—’π—¦π—›π—” ZENYE UWEZO WA JUU SANA KUWEZA KUTATUA CHANGAMOTO YAKO YOYOTE

WAHI SASA NDANI YA MWEZI HUU KWA SIKU 15 TU

HII OFA ISIKUPITE PIGA SIMU/TUMA SMS AU WHATSAPP KWA NAMBA 0797208354
Tunapatikana Dar es Salaam na Mikoani kote.

1. Maelezo ya changamoto za kubeba mimbaChangamoto za kubeba mimba humaanisha hali ambayo mwanamke hashiki mimba baada y...
04/03/2026

1. Maelezo ya changamoto za kubeba mimba
Changamoto za kubeba mimba humaanisha hali ambayo mwanamke hashiki mimba baada ya kujaribu kwa mwaka mmoja au zaidi (au miezi 6 kwa mwanamke mwenye umri wa zaidi ya miaka 35) bila kutumia njia za uzazi wa mpango. Tatizo linaweza kumhusu mwanamke, mwanaume, au wote wawili.
2. Dalili (Ishara)
Wakati mwingine hakuna dalili wazi, lakini dalili zifuatazo zinaweza kuashiria changamoto:
Kukosa au kutopata hedhi mara kwa mara
Hedhi nyingi sana au chache sana
Maumivu makali wakati wa hedhi
Maumivu ya tumbo la chini au nyonga
Kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kuongezeka au kupungua sana kwa uzito
Kuota nywele nyingi usoni/kifuani (ishara ya mabadiliko ya homoni)
Chunusi kali (acne) au mabadiliko ya ngozi
3. Sababu za kawaida
Changamoto za kubeba mimba kwa mwanamke zinaweza kusababishwa na:
a) Matatizo ya homoni
PCOS (Polycystic O***y Syndrome)
Tezi (thyroid) kufanya kazi kupita kiasi au chini
Kukosa ovulation (yai kutotolewa)
b) Matatizo ya mfuko wa uzazi
Fibroids (uvimbe wa mfuko wa uzazi)
Maambukizi ya mfuko wa uzazi
Uharibifu wa mirija ya uzazi (fallopian tubes)
c) Maambukizi ya muda mrefu
Magonjwa ya zinaa (k**a klamidia, kisonono)
PID (Pelvic Inflammatory Disease)
d) Mtindo wa maisha
Msongo wa mawazo kupita kiasi
Unene au upungufu mkubwa wa uzito
Matumizi ya pombe, sigara, au dawa za kulevya
4. Tiba na ushauri
Tiba hutegemea chanzo cha tatizo:
a) Tiba za hospitali
Dawa za kurekebisha homoni
Dawa za kusaidia ovulation
Tiba ya maambukizi
Upasuaji mdogo (kwa fibroids au kuziba kwa mirija)
Teknolojia za uzazi k**a IVF (ikiwa inahitajika)
b) Mabadiliko ya mtindo wa maisha
Kula lishe bora
Kufanya mazoezi ya wastani
Kupunguza msongo wa mawazo
Kuacha pombe na sigara
c) Ushauri wa kitabibu
Kufanya vipimo vya uzazi
Mume pia apimwe, kwani tatizo linaweza kuwa upande wake
5. Hitimisho
Changamoto za kubeba mimba zinaweza kutibika, hasa zikigundulika mapema. Ni muhimu mwanamke kumwona daktari wa uzazi kwa uchunguzi sahihi badala ya kujitibu mwenyewe.https://wa.me/message/ZEZEE5NT2CKZP1

16/02/2026

*WANAWAKE _MSIACHE_KUSOMA_MTANISHUKURU* πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kuna mda k**a mwanamke unatamani kushiriki tendo la ndoa na unakubali kulishiriki na mwanaume wako

Lakini ukifika mda wa kitendo chenyewe, hata uandaliwe kwa namna gani

Uchi wako hautoi ushirikiano kabisa yaani unabaki kua mkavu

Mwanaume wako uvumilivu unamshinda kwa sababu amekuandaa mda mrefu lakini haoni ukilowa

Anajaribu kukuingilia labda utalowa mbele ya safari

Unaanza kujuta maana unapata maumivu na karaha tele sio raha tena kwako na hisia zako zinapotea kabisa

Unaamua kuvumilia kufanya ili kumridhisha mwanaume wako tu huku ukiumia wakati mwingine unapatwa na michubuko

Kadri siku zinavyokwenda, Mwanaume wako anashangaa yeye ndie wa kuomba mchezo kila wakati wewe humwombi kwa sababu unajua taabu unayoipata

Baadae unaamua kutumia vilainishi ukeni, mara wakati wa tendo unapakaa mate mara mafuta ili mradi utelezi upatikane upunguze maumivu labda utahisi raha hata kwa mbali

Unakuja kushtuka umeanza kutokwa na uchafu ukeni unaotoa harufu mbaya na kali mithili ya kitu kilichooza

Usijue ulikua unajiangamiza kwa kutumia vilainishi mara mate mara mafuta ukeni kumbe unakaribisha maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D) kwa kasi zote…..

Hujakaa sawa mara kiuno na nyonga vinauma kuliko kawaida, hedhi yako haieleweki mara upate mara ukose mzunguko haueleweki kabisa

Ukiingia hedhi maumivu ya hedhi yanazidi kipimo ulichozoea, chini ya kitovu unahisi maumivu panauma utadhani pananyofolewa hutamani kuingia hedhi tena ila basi tu

Maji yanakufika shingoni unaamua kufika hospitali. Vipimo vinaonesha una P.I.D, Mvurugiko wa homoni na U.T.I sugu

Unarudi na rundo la madawa kutoka duka la dawa. Unatumia lakini huoni mabadiliko yoyote maana tatizo linajirudia vilevile

Unahisi kuchoka, unakosa amani na unahisi kukata tamaa kabisa maana safari hii hutaki mwanaume wako akuguse kwa sababu harufu unayotoa haivumiliki na maumivu unayopata hayaelezeki

Binafsi nikwambie tu usikate tamaa, usivunjike moyo wala usipoteze amani yako kwa sababu nipo hapa kukusaidia kwa kutumia njia mbadala

Ndio!

Ndio njia yako pekee na sahihi uliyobakiwa nayo ambayo itakusaidia kumaliza changamoto zote unazopitia kwa pamoja.

Hakika utakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja maana utaanza kupata hisia za tendo k**a wanawake wengine

Hutohisi maumivu tena wakati wa tendo maana utalowa na kua na utelezi wa kutosha, utarifurahia tendo sasa na safari hii mwanaume wako atashangaa maana utaanza kumwomba mchezo wewe mwenyewe kila mara

Ukiingia hedhi hutahisi maumivu makali tena. Hutohofia kuingia hedhi tena wala tumbo la chini ya kitovu halitauma wala hutohisi k**a linanyofolewa

Hedhi yako itaeleweka, uteute wa uzazi unapokua siku za hatari utauona na itakua rahisi kwako kuweza kunasa ujauzito

Utajihisi mwanamke aliekamilika sasa maana kila kitu kwako k**a mwanamke kitakua ni safi tu

Yaani uchi msafi, hedhi safi, tendo safi kazi itakua kwako kua tayari kuchangia kazi ya kuijaza dunia😜

Cha kufanya sasahivi ni hiki: Andika namba yangu nipigie nieleze shida yako nami nikusaidie k**a navyowasaidia wanawake wengine wenye changamoto k**a yako benny ana jari afya yako pia nina kipimo cha kupima mwili mzima pamoja na mfumo wote wa uzazi kwa ghalam ya elfu30 kwa maelekezo zaidi nipigy cm 0797208354

🌿✨ ONDOA SUMU ZOTE, OKOA INI NA FIGO βœ¨πŸŒΏπŸ‘‰ Je, unahangaika na:βœ”οΈ Shida za ini au figoβœ”οΈ Uzito mkubwa unaokataa kushukaβœ”οΈ M...
26/01/2026

🌿✨ ONDOA SUMU ZOTE, OKOA INI NA FIGO ✨🌿

πŸ‘‰ Je, unahangaika na:
βœ”οΈ Shida za ini au figo
βœ”οΈ Uzito mkubwa unaokataa kushuka
βœ”οΈ Mafuta mabaya mwilini
βœ”οΈ Presha isiyodhibitika
βœ”οΈ Madhara ya pombe na sigara

Detoxilive ni suluhisho lako la asili (100% Natural) linalosaidia kusafisha mwili na kurejesha afya njema kwa siku 21 tu!

πŸ”₯ OFA MAALUM:
πŸ’΅ Bei: Tsh 65,000/= tu

πŸ“ž Agiza sasa kwa kupiga sim:0797208354

🌍 Dr. Neema– Health Foundation

19/01/2026
GCAT HEALTH CARE CLINIC KUTOKA CHINA.πŸ‘‡TUNAKULETEA  WATAALAMU WA UPIMAJI WA MAGONJWA YOTE SUGU YASIYOAMBUKIZA K**A VILEπŸ‡ ...
19/01/2026

GCAT HEALTH CARE CLINIC KUTOKA CHINA.πŸ‘‡
TUNAKULETEA WATAALAMU WA UPIMAJI WA MAGONJWA YOTE SUGU YASIYOAMBUKIZA K**A VILE
πŸ‡ π—žπ—œπ—¦π—¨π—žπ—”π—₯π—œ
πŸ‡ 𝗣π—₯π—˜π—¦π—¦π—¨π—₯π—˜
πŸ‡ 𝗣𝗨𝗠𝗨
πŸ‡ π— π—œπ—™π—¨π—£π—”
πŸ‡ π— π—œπ—¦π—¨π—Ÿπ—œ
πŸ‡ π— π—œπ—¦π—›π—œπ—£π—”
πŸ‡ 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗒
πŸ‡ π—žπ—”π—‘π—¦π—”
πŸ‡ π—œπ—‘π—œ
πŸ‡ 𝗣.π—œ.𝗗
πŸ‡π—§π—˜π—­π—œ π——π—¨π— π—˜
πŸ‡π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 𝗠𝗒𝗬𝗒
πŸ‡π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 π—™π—œπ—šπ—’
πŸ‡π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 π—¨π—­π—”π—­π—œ
(wanaume, wanawake)
πŸ‡π—¨.𝗧.π—œ π—¦π—¨π—šπ—¨
πŸ‡π—™π—”π—‘π—šπ—”π—¦π—œ π—”π—œπ—‘π—” π—­π—’π—§π—˜
πŸ‡π—©π—œπ——π—’π—‘π——π—” 𝗩𝗬𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗒
πŸ‡π— π—”π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ 𝗬𝗔 π—‘π—šπ—’π—­π—œ
KIPIMO HIKI KITA SCAN MWILI WAKO WOTE KWANZIA KICHWANI HADI MIGUUNI,, HIVYO BASI HAKUNA UGONJWA WOWOTE UTAKAOJIFICHA
π—¨π—¦π—œπ—›π—”π—‘π—šπ—”π—œπ—žπ—˜ TENA
NJOO UPATE SULUHISHO LA AFYA YAKO,
KIPIMO HIKI SI CHA WAGONJWA TU BALI NI MTANZANIA YOYOTE ANAETAKA KUJUA UNDANI WA AFYA YAKE
𝗧𝗨𝗑𝗔𝗭𝗒 𝗗𝗔π—ͺ𝗔 𝗭𝗔 π—žπ—¨π—§π—’π—¦π—›π—” ZENYE UWEZO WA JUU SANA KUWEZA KUTATUA CHANGAMOTO YAKO YOYOTE

WAHI SASA NDANI YA MWEZI HUU KWA SIKU 15 TU

HII OFA ISIKUPITE PIGA SIMU/TUMA SMS AU WHATSAPP KWA NAMBA 0616246907 Tunapatikana Dar es Salaam na Mikoani kote.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Dr.Neema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share