30/01/2026
KARAFUU INA MAAJABU YAKE
1. K**a uke wako unatoa harufu mbaya chemsha karafuu na kunywa kabla hujala chochote asubuhi na jioni tena .Endelea tatizo lako litakwisha.
2. K**a una matatizo ya tumbo ikiwemo mvurugiko wa tumbo tafuna karafuu kwenyetumbo wazi yani kabla hujala chochote au chemsha na unywe chai yake asubuhi na jioni utaoa mabadiliko.
3. Wale wenye mikunjo kunjo usoni chemsha kwenye maji acha ipoe kisha tumia pamba paka usoni maji hayo ,utaona mabadiliko usoni kwako.
5. Kwa madonda ya kooni (kwenye koo) ,pondaponda karafuu upate unga wake kisha chemsha kwenye maji kunywa chai yake asubuhi mchana na jioni,weka kijiko kimoja cha asali original kwenye chai yako. Waweza pia kulamba asali kijiko kimoja na karafuu unga kijiko kimoja kumaliza tatizo lako wakati huo huo ukiendelea na chai yako.
6. Wale wanaovuta sigara na walevi ,chemsha karafuu unywe asubuhi na jioni kusafisha mapafu yako na Ini lako .fanya mara 3 kwa siku au mara 2 kila siku utaona mabadiliko.
7. K**a mwili wako unakosa nguvu mara kwa mara ,kazi kidogo tu unachoka , basi kunywa chai ya karafuu na asali mara mbili kwa siku kila siku.Fuata maelekezo k**a hapo juu.
8. Karafu husafisha mwili .Ili kuamini hilo unapoanza tu dozi ya chai ya karafuu chunguza mkojo wako utaona uchafu mwingi ukitoka kupitia kwenye mkojo.