23/01/2026
🔴 Kwanini Wanawake Wengi Hutokwa na Uchafu Ukeni?
Kutokwa na uchafu ukeni ni hali ya kawaida ikiwa ni kidogo, haina harufu mbaya, na haina maumivu....
Lakini uchafu ukiwa mwingi, una harufu, rangi isiyo ya kawaida au unaambatana na maumivu hapo kuna tatizo...
📌 Sababu Kuu
Maambukizi ya Fangasi (Candida)
1.Kutokana na matumizi ya dawa za antibiotic
2.Sukari nyingi mwilini
au kinga ya mwili kushuka
3.Maambukizi ya Bakteria (Bacterial Vaginosis)
4.Kuosha uke kwa ndani
5.Kubadilisha sana wenza wa ndoa
6.Kutumia sabuni kali
7.Maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs)
Kisonono
Klamidia
Trichomoniasis
7.Mabadiliko ya homoni
Wakati wa ovulation
Ujauzito
Kabla au baada ya hedhi
8.UTI sugu
Maambukizi ya njia ya mkojo yanaweza kuathiri uke pia
9.Msongo wa mawazo (stress)
Husababisha homoni kuvurugika
⚠️ Dalili Hatari za Uchafu Ukeni
1.Uchafu wenye harufu kali au mbaya
Rangi ya njano, kijani, kijivu au kahawia
2.Kuwashwa, kuchoma au maumivu
3.Maumivu wakati wa tendo la ndoa
4.Maumivu ya tumbo la chini
5.Kutokwa damu bila sababu
6.Uchafu mzito k**a maziwa au maji maji sana
🚨 Madhara Hatari K**a utaendelea Kuvumilia Muda Mrefu
Kuvumilia uchafu ukeni bila tiba sahihi kunaweza kusababisha:
❌ UTI sugu
❌ Vidonda kwenye mfuko wa uzazi
❌ Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
❌ Kushindwa kushika mimba
❌ Mimba kutoka mara kwa mara
❌ Maambukizi kusambaa hadi kwenye mfuko wa uzazi na mirija ya uzazi (PID)
❌ Hatari ya saratani ya shingo ya kizazi (cervical cancer) kwa maambukizi ya muda mrefu
✅ Ushauri Muhimu
1.Epuka kuosha uke kwa ndani
2.Tumia chupi za pamba
3.Kunywa maji ya kutosha
4.Fanya vipimo hospitalini k**a dalili zinaendelea
5.Usitumie dawa bila ushauri wa mtaalamu
Kwa Huduma ya Ushauri na Matibabu Zaidi Kwa changamoto Sugu za Uzazi Kwa Mwanamke unaweza kuwasiliana na Dr wistedi 📞0792366539