18/03/2026
🦷 USIPUUZE AFYA YA MENO YAKO
Matatizo ya meno si maumivu tu… yanaweza kuathiri afya ya mwili mzima!
❗ Harufu mbaya ya mdomo
❗ Meno kuuma mara kwa mara
❗ Kuvimba fizi
❗ Kutokwa damu wakati wa kupiga mswaki
❗ Meno kuoza au kutoboka
👉 Hizi ni dalili hatari zinazohitaji uangalizi wa mapema.
Kumbuka;
Afya ya kinywa ni sehemu ya afya ya mwili wako. Usisubiri hadi maumivu yawe makali....
🔷Nimekuletea product ya Dr.Tts ambayo itaondoa changamoto zote za kinywa na ni kwa gh'arama ya bei nafuu kabisa ya Tsh35,000 hautakiwi kung'oa meno Yako Sasa.
📌 Fanya ukaguzi wa meno mara kwa mara
✨ Tabasamu lako ni thamani yako — litunze!
Dr.Maka Tanzania
Simu No. 0656515343