20/01/2026
๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐๐ฆ๐จ๐๐๐ฅ๐ ๐ฃ๐๐ก๐๐ ๐๐ฆ๐๐ฃ๐ข ๐ง๐๐๐๐ช๐ ๐ก๐ ๐๐จ๐๐๐๐๐๐ง๐๐ช๐:
Kisukari (Diabetes Mellitus) ni ugonjwa wa kudumu unaotokea pale ambapo:
Kiwango cha sukari (๐ด๐น๐๐ฐ๐ผ๐๐ฒ) kwenye damu kinapanda kupita kawaida kwa sababu mwili hauzalishi au hautumii insulin vizuri.
Haya ndiyo ๐บ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ endapo haitatibiwa au kudhibitiwa vizuri:
1๏ธโฃ ๐ ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ถ๐๐ต๐ถ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐บ๐
โ๏ธ Kisukari cha muda mrefu husababisha madhara makubwa ya mishipa ya damu na moyo
โ๏ธ Kisukari husababisha kiharusi (stroke)
โ๏ธ Kisukari cha muda mrefu husababisha shambulio la moyo
โ๏ธ Kisukari cha muda mrefu husababisha shinikizo la damu
โ๏ธ Kisukari kisicho tibiwa husababisha mishipa ya damu kuziba
2๏ธโฃ ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐บ๐๐ฑ๐ฎ ๐บ๐ฟ๐ฒ๐ณ๐, ๐ต๐๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐๐ด๐ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ
โ๏ธ Macho kutokuona vizuri kwa matatizo ya mboni na mishipa midogo midogo ya samu
โ๏ธ Kutoona vizuri vitu vya karibu au vitu vya mbali
โ๏ธ Kupata retinopathy na ukavu macho
โ๏ธ Upofu kabisa (Kupoteza Nuru moja kwa moja)
3๏ธโฃ ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ธ๐ถ๐๐ถ๐ฐ๐ต๐ผ ๐๐ถ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ ๐ต๐๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ฏ๐ผ๐ป๐ด๐ผ
โ๏ธ Ubongo na mishipa ya fahamu
โ๏ธ Ganzi za mara kwa mara kwenye miguu na mikono
โ๏ธ Maumivu ya kuchoma choma k**a sindano au vichomi vya ndani
โ๏ธ Kupoteza hisia (hutambui umeumia) kwasababu ya ganzi kari
4๏ธโฃ ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐บ๐๐ฑ๐ฎ ๐บ๐ฟ๐ฒ๐ณ๐ ๐ต๐๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ ๐๐๐ด๐ ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ด๐๐
โ๏ธ Vidonda vya mara kwa mara visivyopona
โ๏ธ Maambukizi hatarishi ya mara kwa mara
โ๏ธ Kukatwa miguu au viungo vingine muhimu
โ๏ธ Kupata ulemavu wa viungo wa kudumu
5๏ธโฃ ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐บ๐๐ฑ๐ฎ ๐บ๐ฟ๐ฒ๐ณ๐, ๐ต๐๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐๐ฎ๐๐ถ ๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐บ๐ฒ
โ๏ธ Matatizo ya nguvu za kiume, ambayo husababishwa na uwepo wa kisukari cha muda mrefu
โ๏ธ Kupungua au kukosa nguvu za kiume kabisa hadi ugumba kwa mwanaume
โ๏ธ Kushindwa kusimamisha uume kwakukosa hisia kabisa
6๏ธโฃ ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ธ๐ถ๐๐ถ๐ฐ๐ต๐ผ ๐๐ถ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ, ๐ต๐๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐๐ด๐ ๐๐ฎ ๐ณ๐ถ๐ด๐ผ
โ๏ธ Husababisha figo kuferi au kufanya kazi kupita kiasi
โ๏ธ Figo kushindwa kufanya kazi kabisa
โ๏ธ Kuanza kusafisha figo kwakutumia mashine yani dialysis
โ๏ธ Figo kufa kabisa na mgonjwa kupoteza maisha
7๏ธโฃ ๐ ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐ป๐๐ฒ๐บ๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐๐ธ๐ถ๐๐ฎ
โ๏ธ Kisukari husababisha kushuka kwa kinga ya mwili
โ๏ธ Kuumwa mara kwa mara na magonjwa ya kuambukiza k**a vile malaria, hepatitis au HIV
โ๏ธ Vidonda mwilini kuchelewa kupona
โ๏ธ Maambukizi ya ngozi, njia ya mkojo n.k.
8๏ธโฃ ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ต๐๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐๐ด๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ป๐๐๐ฎ
โ๏ธ magonjwa ya kinywa yasiyo isha
โ๏ธ Magonjwa ya fizi kuvimba
โ๏ธ Magonjwa ya meno kuoza
โ๏ธ Mgonjwa kuwa na harufu mbaya ya kinywa
โ ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ธ๐ถ๐ธ๐ถ๐ณ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ ๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐ฎ:
โ๏ธ Koma (diabetic coma)
โ๏ธ Kifo kwa mgonjwa au mtu anae umwa kisukari
๐ ๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ป๐ท๐ฒ๐บ๐ฎ
๐ ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐๐ถ๐น๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ:
โ Sukari inatibiwa kabisa na kudhibitiwa kwa dawa salama za kisukari na lishe bora bila madhara yoyote
โ Unatumia dawa vizuri bila mashariti yoyote ya kula
โ Unafanya mazoezi pindi unapo pata nafasi
โ Unakula kwa mpangilio mnzuri bila hata kupata madhara yoyote
โ๏ธ Wasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp namba: 0796 639 430
๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
๐๐ผ๐๐ฝ๐ถ๐๐ฎ๐น๐ถ ๐๐๐ป๐ฎ๐ฝ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ Dar es salaam Mbezi luis jirani na stendi kuu.
๐๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐๐ผ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ธ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐ต๐๐๐ผ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐ฏ๐๐ฟ๐ฒ๐ฒ.
Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp: 0796 639 430 +255678311486
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข, ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ, ๐๐๐๐ก๐๐ข ๐ก๐ ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐:
ใviralใทfypใทใviralใทalใท