afya Equip

afya Equip Afya Equip Tanzania
✨Your Trusted Source for Medical Device Information
🏥 Medical Devices & Home Care
📍Lindi & Congo St, DSM Tanzani

15/04/2026

Transfer Chair Delivery
Hutachoka kumsaidia mpendwa wako!

Thank you for doing business with us
Tunapatikana kariakoo Lindi na Congo

Unaweza kuwasiliana nasi
+255 786 834 815.

Kwa wale wenye changamoto ya kutembea na wamekosa viti mwendo kwa sababu ya unene au uzito wao kuwa mkubwa....Tunakujali...
15/04/2026

Kwa wale wenye changamoto ya kutembea na wamekosa viti mwendo kwa sababu ya unene au uzito wao kuwa mkubwa....

Tunakujali wewe na afya yako
Sasa ile heavy-duty wheelchair inapatikana
Max 180kg.

Tunapatikana kariakoo mtaa wa lindi na congo
Wasiliana nasi sasa +255 786 834 815.

Waterproof Bedcovers Ni zile ambazo hazipitishi kimiminika cha aina yeyote Kwa wagonjwa wa muda mrefuWatoto wanaokojoa k...
14/04/2026

Waterproof Bedcovers
Ni zile ambazo hazipitishi kimiminika cha aina yeyote

Kwa wagonjwa wa muda mrefu
Watoto wanaokojoa kitandani
Na hata kwa kulinda Godoro lako

Unahitaji Waterproof Bedcover
Size zilizopo
5×6 bei 55,000Tzs
6×6 bei 65,000Tzs
4×6 bei 45,000Tzs

Karibu tukuhudumie
+255 786 834 815

14/04/2026

Kitendo cha kumbeba mpendwa wako kutoka kitandani kumweka kwenye kiti au kumpeleka chooni huwa ni kitendo cha hatari sana kwa mgonjwa...

Sasa tumekuletea transfer chair ambayo itamsaidia anaemsaidia mgonjwa kumtoa kitandani na kumpeleka sehemu nyingine

Na badala ya watu wawili au watatu wanaomsaidia mpendwa kunyanyuka ukiwa na hii mtu mmoja tu anatosha ☺️

Hizi zipo mbili tu
Wasiliana nasi sasa +255 786 834 815

Kiti  chenye choo (Commode Chair)Kwa wanaopata shida kujisaidia sasa tumekuja na suluhishoKiti hiki kinakuwezesha kujisa...
14/04/2026

Kiti chenye choo (Commode Chair)

Kwa wanaopata shida kujisaidia sasa tumekuja na suluhisho
Kiti hiki kinakuwezesha kujisaidia bila hata usumbufu

Kina tairi ya kukuwezesha kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine

Wasiliana naai sasa
+255 786 834 815

Restocked Wahi kabla ziishe
14/04/2026

Restocked

Wahi kabla ziishe

Inaitwa Raised Toilet Seat Imetengenezwa kwa ajili ya - Wazee- Wagonjwa majumbani na hospital - Wenye changamoto ya mago...
13/04/2026

Inaitwa Raised Toilet Seat

Imetengenezwa kwa ajili ya
- Wazee
- Wagonjwa majumbani na hospital
- Wenye changamoto ya magoti
- Kuongeza urefu wa sink la choo
- Kuweka mshikio ili mtumiaji ajishikize wakati wa kutumia

Sasa usisubiri mpaka ziishe
Wasiliana nasi +255 786 834 815

Tunapatikaka Kariakoo Lindi na Congo

Kile kiti kinachomsaidia kumhamisha mgonjwa, mzee au mtu yeyote asiyeweza kunyanyuka mwenyewe sasa kipo dukaniFaida zake...
11/04/2026

Kile kiti kinachomsaidia kumhamisha mgonjwa, mzee au mtu yeyote asiyeweza kunyanyuka mwenyewe sasa kipo dukani

Faida zake
- Itaondoa utegemezi wa watu kumsaidia mgonjwa akiwa kitandani
- Inarahisisha mtumiaji akitaka kujisaidia
- Inatumika pia kuogea
- Ina meza yake hivyo wakati wa kula mtumiaji hatapata shida

Tunapatikana kariakoo Lindi na Congo
Bei yake 1,500,000Tzs
Wasiliana nasi +255 786 834 815.

Kiti Chenye Choo chenye matumizi matatu yaaani (3 in 1)1. Unatumia Kujisaidia endapo choo chako ni cha kuchuchumaa maana...
10/04/2026

Kiti Chenye Choo chenye matumizi matatu yaaani (3 in 1)

1. Unatumia Kujisaidia endapo choo chako ni cha kuchuchumaa maana ina pot ya choo 😊

2. Unatumia kuogea maana ni waterproof na chuma zake hazipati kutu 💥

3. Unatumia kumpeleka mgonjwa, mzee au mtumiaji kujisaidia endapo anatumia choo cha kukaa bila kumhamisha kwenye kiti hivyo kuongeza usalama wa mtumiaji zaidi ❤️

Zaidi ni kiti imara kwa mtumiaji 🔥
🤑Bei yake 350,000Tzs tu
💨Fast Delivery Within Dar es Salaam City
🚚Mikoani tunatuma ndani ya masaa 24 unapokea

Tunapatikana kariakoo Lindi na Congo
Wasiliana nasi +255 786 834 815.

Foldable Stainless Steel Potty Seat*✔️ Foldabel – Rahisi kusafiri nayo✔️ Imara sana (stainless steel) ✔️ Inafaa kwa watu...
10/04/2026

Foldable Stainless Steel Potty Seat*
✔️ Foldabel – Rahisi kusafiri nayo
✔️ Imara sana (stainless steel)
✔️ Inafaa kwa watu wazima & wazee na wenye changamoto ya magoti inabeba mpaka kg 150
✔️ Inatumika juu ya choo cha kawaida
✔️ Rahisi kusafisha na kudumu muda mrefu
Bei 85,000Tzs

Wheelchair yenye meza sasa unaipata kwetuKwa mgonjwa au mtu asiyeweza kutembea ila mikono inaweza kufanya kazi basi Whee...
08/04/2026

Wheelchair yenye meza sasa unaipata kwetu

Kwa mgonjwa au mtu asiyeweza kutembea ila mikono inaweza kufanya kazi basi Wheelchair ataitumia kulia chakula, kusomea kwa wanafunzi

Karibu wasiliana nasi +255 786 834 815

Address

Congo & Lindi Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya Equip posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram