25/04/2025
Njia 5 za Kupata Wazo Zuri la Biashara (Kwa Waajiriwa)
1. Chunguza matatizo ya watu wanaokuzunguka
2. Tumia kile unachopenda kufanya (passion) k**a chanzo cha wazo
3. Angalia vitu vinavyotrend mitandaoni
4. Sikiliza hadithi za waliofanikiwa na soma vitabu vya biashara
5. Fanya utafiti mdogo wa soko lako
Leo Tuangalie Njia ya Pili: “Tumia Passion Yako”
Kuna kitu ndani yako kinachoweza kugeuka kuwa biashara k**a ukiamua.
Passion yako ni k**a mbegu: huwezi kuvuna mazao bila kuipanda na kuimwagilia.
Mfano halisi:
Ukipenda kupika, unaweza kuanza kwa kuandaa chakula cha ofisi jirani au hata kufundisha mitandaoni.
Ukipenda urembo, unaweza kuanza kushauri watu mitandaoni au kuuza bidhaa unazozijua kwa undani.
Hii siyo fantasy ni uhalisia unaowezekana kwa mtu yeyote anayeamua kutumia kile alicho nacho.
Lakini...
Changamoto kubwa kwa waajiriwa wengi siyo kukosa passion, bali ni kutojua jinsi ya kuigeuza kuwa chanzo cha kipato.
Wanabeba vipaji vyao kila siku kazini, lakini mwisho wa mwezi bado wanategemea mshahara mmoja usiotimiza ndoto zao.
Wengine wanaandika vizuri, lakini hawajui waandike nini.
Wengine wanajua mitindo, lakini hawajui waanze vipi.
Wengine wanajua kupika, lakini hawajui hata wazo la kuanza nalo.
Na ndiyo maana niliamua kuandika ebook ya WAZO LA MILIONI siyo tu kitabu cha kusoma, bali ni ramani ya kutoka kuwa mtu mwenye ndoto hadi kuwa mtu mwenye kipato kupitia kile unachopenda.
Kwa sababu najua si kila mtu ana muda wa kuanza kusoma vitabu vingi au kutazama video 100 YouTube.
Unahitaji kitu kilichoandaliwa mahsusi kwa mtu anayefanya kazi kazini lakini anataka kuanzisha kipato cha pili bila kuathiri kazi yake ya ofisini.
Hii Ndio Ofa ya Leo:
Pata ebook ya WAZO LA MILIONI kwa TSH 4,999 tu
Na utapewa BONUS ya ebook ya MONEY HUSTLE bure kabisa!
Kitabu hiki cha bonus kinakuonyesha mbinu za kutengeneza kipato cha pili kwa kutumia simu yako, bila kuacha kazi yako ya sasa.
Jinsi ya Kupata:
Tuma ujumbe WhatsApp wenye maneno:
“Nataka Wazo la Milioni” kwenda
0712 910 941
Usinunue kwa sababu umesukumwa... nunua kwa sababu unajua:
Mwaka huu hauwezi kuwa wa matumaini tu ni mwaka wa matokeo.
Na matokeo huanza kwa hatua moja tu sahihi.