
15/01/2025
HIJAMA NI NINI (Cupping therapy) : ni sayansi ya kufyonza, kuvuta, kunyonya kutoka ndani ya mwili damu chafu na vyote visivyotakiwa kuishi ndani ya mwili.
Kinga za mwili huanza kufanya kazi kwa nguvu mpya na kwa kasi ya ajabu siku moja baada ya mtu kufanya hijama.
Tiba hii imeshangaza wengi kwa matokeo yake ya ajabu kwa kutibu magonjwa yasiyoonekana, magonjwa sugu na maumivu ya mwili.
Unaweza kuitumia hijama k**a kinga ya afya yako, lakini pia k**a tiba ya magonjwa yanayokuandama.
Inafahamika kwa lugha ya kiarabu k**a HIJAMA, Kiingereza k**a CUPPING THERAPY na kiswahili k**a KUUMIKA / KUPIGA CHUKU.
FAIDA ZA HIJAMA :
🟡 Inasaidia kuongeza mzunguko wa damu katika mwili (BLOOD CIRCULATION).
🟡 Inaondoa sumu katika mwili (DETOXIFICATION).
🟡 Inaongeza kinga ya asili katika mwili dhidi ya maradhi mengi (NATURAL IMMUNITY).
🟡 Inasaidia changamoto za uzazi (FERTILITY).
🟡 Inasaidia kuondosha maumivu kwenye viungo (PAIN THRESHOLD).
🟡 Inasaidia kuuweka sawa mfumo wa limfu katika mwili (LYMPHATIC SYSTEM).
🟡 Inapunguza kuvimba kwa mwili kuliko pitiliza (INFLAMMATION).
🟡 Inasaidia kuzalishwa kwa wingi kwa seli nyekundu za damu (RED BLOOD CELL).
NB: "The red blood cell's main function is to carry oxygen from the lungs and deliver it throughout our body".
"Kazi kubwa ya seli nyekundu za damu ni kuichukua hewa ya oksijeni kutoka kwenye mapafu na kuisambaza katika maeneo mbali mbali katika mwili kwa ajili ya matumizi ya mwili".
🟡 Inaondoa lehemu (CHOLESTROL) mwilini.
Kiwango kikubwa cha CHOLESTROL mwilini hupelekea madhara kwenye mishipa ya moyo, shambulio la moyo (heart attaker), pressure pamoja na kisukari.
🟡 It encourage whole-body comfort and relaxation.
Hijama husaidia kuufanya mwili uwe mwepesi sanaaa, na huu ni ushuhuda ambao huutoa kila mwenye kufanya hijama na mara tu baada ya kumaliza kufanya hijama.
# Dr. Muhammad HIJAMA THERAPIST (C.E.O MUU HIJAMA).
Kindly call 📞 : 0683 474 744
Follow us on Instagram, & Tiktok as muu_hijama_tz