Afya Ushauri Tiba Na Lishe Dr Junior

Afya Ushauri Tiba Na Lishe Dr Junior Ni jambo jema kuwa na afya bora katika maisha maana maisha bora afya bora maana hata kuwa na afya bila afya ni bure

To women with unceasing UTI, itches, and PID, fungus You hove never conceived welcome and we give u the best Kwa wanawak...
13/04/2023

To women with unceasing UTI, itches, and PID, fungus
You hove never conceived welcome and we give u the best

Kwa wanawake Ambao Wana UTI isiyo Isha, miwasho, na magonjwa ya mlango, fungus na Ambao hawajawai pata mimba karibuni tulipe kilicho Bora kabisa
0787873707

*HORMONE IMBALANCE, HEDHI NA UZAZI WA MPANGO*Ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanam...
04/10/2022

*HORMONE IMBALANCE, HEDHI NA UZAZI WA MPANGO*

Ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika.

*DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI*
⚫️Ukavu ukeni
⚫️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
⚫️Kutoa jasho usiku
⚫️Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
⚫️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
⚫️Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
⚫️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
⚫️Uchovu wa mara kwa mara
⚫️Hasira za mara kwa mara⚫️Kukosa usingizi
⚫️Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
⚫️Mzio wa vyakula (Allergie), kuchaguachagua vyakula
⚫️Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
⚫️Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
⚫️Maumivu ya viungo
⚫️Upungufu wa nywele kichwani.
⚫️Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
⚫️Kuwa na hamu ya kula vyakula au vinywaji vya viwandani.
⚫️Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
⚫️Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
⚫️Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
⚫️Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
⚫️Kusinyaa na kupauka kwa
ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
⚫️Maumivu ya kichwa mara kwa mara
⚫️Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
⚫️Kutokupata choo kwa wakati
⚫️Misuli hudondoka

*MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI*
👉Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
👉Mimba kuharibika mara kwa mara
👉Kukosa mtoto au Ugumba
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
👉UTI (Urinary Tract Infection)
👉Kuzeeka mapema
👉Kuziba kwa mirija ya uzazi
👉Uvimbe (Fibroids and Cysts).

10/06/2022

Watu Wana sumu nyingi mwilini watu wanateseka Kwa shida za mmeng'enyo watu wanateseka Kwa gesi tumboni watu wanateseka na kushika Kwa Kinga na vidonda visivyopona nk.......

Nipigie simu upate huduma au bidhaa au ushauri au vyote Kwa wakat mmoja
Dr Jr
0787873707

Uvimbe wa Fibroid umegawanyika katika makundi matatu kulingana na maeneo ambapo uvimbe hujitokeza, nayo yako k**a ifuata...
13/04/2022

Uvimbe wa Fibroid umegawanyika katika makundi matatu kulingana na maeneo ambapo uvimbe hujitokeza, nayo yako k**a ifuatavyo:

a) Intramural Fibroid: Ni uvimbe ambao huonekana katikati ya misuli ya ukuta wa kizazi(uterus).

b) Subserosal Fibroids: Ni uvimbe ambao hujitokeza nje ya tumbo lako la uzazi(uterus), ambazo hujulikana kwa jina la serosa.

c) Submucosal Fibroids : Ni uvimbe ambao hujitokeza katika tabaka la kati la ukuta wa kizazi.

d) Pendunculated submucosal: Ni uvimbe unaoota kwa matawi ndani ya tumbo la uzazi na unaweza kusababisha maumivu makali kwenye nyonga.

2. Vivimbe Kwenye Vifuko Vya Mayai(Ovarian Cysts)

Vivimbe kwenye vifuko vya mayai huwa ni vifuko vilivyojaa majimaji ambavyo vinaweza kukua ndani au nje ya kifuko cha yai(o***y). Vinaweza kuota kimoja kimoja au kwa mafungu mafungu na wala visisababishe maumivu. Vinaweza hata kutoweka vyenyewe tu pasipokutumia tiba.

Aina mbili kuu za uvimbe kwenye vifuko vya mayai ni k**a hzi zifuatazo:

a) Follicle cysts: Hizi huendelea kukua pindi vifuko vya o***y vinaposhindwa kupasuka na kutoa yai ambalo kwa kawaida lingetolea.

b) Corpus luteum cysts: Hali hii hutokea pale Corpus luteum(ambayo hujengeka wakati follicle zinapojifunika zenyewe baada ya kuachia yai) inapojaa majimaji ambayo husababisha kutuna.

Kwa mawasiliano zaidi
0787873707
0756338855

16/02/2022

K**a umetumia sindano za uzazi wa mpango haupati hedhi haupati mimba kubadirika kwa hormone na kubadirika Kwa siku za hedhi karibu kwa ushauri nakuondoka tatizo Hilo
0787873707
0756338855

K**a wewe ni dada umekata tamaa ya kupata ujauzito hakika nakwambia ondoa wasiwasi karibu kwa ushauri na Tiba  Amini kuw...
26/09/2021

K**a wewe ni dada umekata tamaa ya kupata ujauzito hakika nakwambia ondoa wasiwasi karibu kwa ushauri na Tiba
Amini kuwa kila mwanamke atambeba mtoro wake 0756338855

Tuepuke vidonge vya uzazi wa mpango
16/09/2021

Tuepuke vidonge vya uzazi wa mpango

Soma madhara ya kutumia dawa za kuzuia mimba na uchukue hatua
07/05/2021

Soma madhara ya kutumia dawa za kuzuia mimba na uchukue hatua

Tusome madhara ya sindono za uzazi wa mpango K**a umewahi tumie nitafute kwa ushauri 2021Watu wengine Wanajifungua kwa o...
08/03/2021

Tusome madhara ya sindono za uzazi wa mpango
K**a umewahi tumie nitafute kwa ushauri
2021

Watu wengine Wanajifungua kwa operation kisa uzazi sa mpango
Wanawake wanapata madhara mengi kisa uzazi wa mpango

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ushauri Tiba Na Lishe Dr Junior posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share