Eagle heathcare and medical supplies Karibu ellyz mobile health care, EMHC tunatoa huduma ya afya kupitia emhc app.
sasa unaweza kupakua app yetu playstore ili uweze kupata huduma za haraka na bora zaidi. Huduma ambazo utapata ni kuweka miadi na daktar wa mangojwa mbali mbali, kuomba vipimo vya maabara kwa haraka, huduma za kliniki na huduma za kujifungua popote ulipo Tanzania. karibu na twenzetu kidijitali
piga simu 0788571186 au 0620604729 kwa maelezo zaidi.
Be the first to know and let us send you an email when Eagle heathcare and medical supplies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Contact The Practice
Send a message to Eagle heathcare and medical supplies: