Mwita pharmacy Tz

  • Home
  • Mwita pharmacy Tz

Mwita pharmacy Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwita pharmacy Tz, Medical and health, .

LMIS
09/02/2025

LMIS

Pregabalin 75mg30 capsules / Gélules✅Hutumika kwa maumivu yanayotokana na matatizo ya neva.✅kama vile ugonjwa wa kisukar...
16/01/2025

Pregabalin 75mg
30 capsules / Gélules
✅Hutumika kwa maumivu yanayotokana na matatizo ya neva.
✅kama vile ugonjwa wa kisukari (diabetic neuropathy), maumivu baada ya kupona shingles (postherpetic neuralgia), au maumivu ya uti wa mgongo.
✅Husaidia kudhibiti degedege kwa kushirikiana na dawa zingine.
✅ Hupunguza maumivu ya misuli na uchovu unaotokana na hali hil.
✅Husaidia kudhibiti dalili za wasiwasi wa muda mrefu.

MADHARA YA PREGABALIN 75mg (Side Effects)
🚫Usingizi au kizunguzungu.
🚫Kupata uzito.
🚫Kinywa kuwa kikavu.
🚫 Kuvimba kwa miguu au mikono (edema).
🚫 Uchovu wa mwili.
🚫 Maumivu ya kichwa.
NB;USITUMIE HII DAWA BILA KWENDA HOSPITAL NA KUJUA SHIDA NI NINI DPM

23/08/2024
Huu ni uvimbe ambao ulitolewa kwa mwanamke ambaye alikuaanatafuta mimba kwa miaka mingiHistoria yake ni kwamba mwanzoni ...
05/07/2024

Huu ni uvimbe ambao ulitolewa kwa mwanamke ambaye alikua
anatafuta mimba kwa miaka mingi
Historia yake ni kwamba mwanzoni alikua anatumia P2 sana sanaa, Pia katika harakat za kutafuta mtoto alikunywa dawa mbalimbali za kisasa na za mitishamba, so kadri anakunywa dawa hizo zinazid kuchochea ukuaji wa uvumbe ;Mwanamke
huyu akawa anafurahia kuona tumbo linakua kubwa akizania
kua ni mjamzito kumbe ni uvimbe hnakua; Alipokuja
kuchunguzwa akakutwa na hill kitu; So wataalamu waliona ilikuokoa uhai wa dada huyu, Walitoa kizazi chote cha mwanamke;Ko akawa hana tena uwezo wa kupata
mtoto;USHAURI WANGU KWENU TUSITUMIE P2 K**A
KARANGA, PILI TUSIWE TUNAJINYWEA DAWA HOVYO BILA KUPATA USHAURI MURI KUTOKA KWA MTAALAMU, NA PIA
HAKIKISHA UNAPATA VIPIMO SAHIHI ILI UPATE DAWA NA TIBA ILIO SAHIHI ; DAWA ZA MITISHAMBA PIA TUWENAZO MAKINI SANA MAANA KUNAA DAWA ZINGNE BADALA YA KUTIBU ZINAINGEZA TATIZO





11/06/2024

28/05/2024

07/04/2024

03/04/2024

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwita pharmacy Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram