Festo health care

Festo health care Health Care

Alie seme twende bega kwa bega yeye kaenda kichwa kichwa
01/11/2023

Alie seme twende bega kwa bega yeye kaenda kichwa kichwa

09/05/2023

*DALILI YA KUZIDI ASIDI TUMBONI*

*Sababu ya Acidity*
• Uvutaji wa sigara kwa wingi
• Kunywa pombe kupita kiasi
• Vidonda vya tumbo
• kuzidi kwa asidi ya tumbo
• Kutokula kwa wakati
• Kula chakula cha kukaanga na viungo mara kwa mara
• Matatizo katika utendaji wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni
• Kukaa na njaa kwa muda mrefu au kuto kula chakula cha Asubuhi
• Kula vyakula vingi vya mafuta, k**a chocolates
• kuwa na Mimba kunasababisha asidi pia.
• kuzeeka
• Muafaka wa chakula tabia
• kuwa na hisia mbaya
• Udhaifu wa mishipa ya mwilini

*Dalili ya Acidity*
• Mchomo au maumivu katika tumbo, 1-4 masaa baada ya mlo
• maumivu ya kifua
• Kiungulia cha Muda mrefu
• Uvimbe katika kifua
• Kuhisi njaa mara kwa mara
• Daima maumivu katika tumbo la juu
• Kucheua
• Kichefuchefu
• Kuona Uchungu ladha katika kinywa
• Kupoteza hamu ya kula
• Kutapika
• Kukohoa
• Sauti ya mabadiliko na malezi ya kidonda katika umio (tube kuunganisha kinywa na tumbo)
• Maumivu ya sehemu za misuli ya mwili
• Maumivu katika masikio

Mgonjwa anae sumbuliwa na asidi mara kwa mara unakuta sphincter imedhuhurika Sana kiasi kwamba kiasi kwamba inaruhusu asidi kupanda juu wakati usioruhusiwa

*Madhara ya asidi*
✍️Kupata SARATANI YA koo
✍️Sauti kubadilika kuwa k**a mkwaruzo
✍️Masikio kuuma
✍️Kubeuwa mara kwa mara asidi kali Sana k**a inaunguza
✍️ Kiungulia cha mara kww mara
✍️KIFUA kuuma/kuwaka moto
✍️Maumivu ya mgongo na KIUNO
✍️Kuishiwa Nguvu kwenye joint na mwili kudhoofika
✍️ Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara
✍️ Ugonjwa wa ASID usipo patiwa matibabu unaweza kupoteza maisha KABISA ( kufa)

NB: Binadamu ni lazima uwe na asidi Tumboni kwani asidi ndio inatusaidia kumeng'enya chakula ivyo mtu akikosa ASID yupo hatarini kupoteza maisha pia kwani asidi isipo kuwepo chakula akiwezi kumeng'enywa ila asidi inapo zidi na kuunguza Sphincter mara kwa mara hapo ndipo huleta madhara mwilini

UGONJWA WA Asidi unatokea tumboni ivyo mtu yoyote anae sumbuliwa na asidi ajue kuwa ana tatizo tumboni

UGONJWA huu unatibika na kupona kabisa ila baada ya kutambua chanzo cha tatizo lako Endapo ugonjwa utakuwa umeshakomaa Sana chanzo kitatibika tofauti na asidi itatibika tofauti

05/05/2023
04/04/2023

Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini

NJIA 16 ZA KUONDOA SUMU MBALIMBALI MWILINI
Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku. Sumu au taka pia zinaweza kuingia mwilini kupitia dawa mbalimbali hasa za kizungu tunazotumia kujitibia magonjwa mbalimbali.

Mwili huzalisha hizi sumu au takataka (free radicals) kila mara kunapofanyika mmeng’enyo wa chakula mwilini mwako.

Ishara zitakazokuonyesha mwili wako una sumu nyingi:

-Uchovu sugu
-Maumivu ya maungio
-Msongamano puani
-Kuumwa kichwa kila mara
-Tumbo kujaa gesi
-Kufunga choo au kupata choo kigumu
-Kukosa utulivu
-Matatizo mbalimbali ya ngozi ikiwemo chunusi
-Pumzi mbaya
-Mzunguko wa hedhi usio sawa
-Kuishiwa nguvu
-Kushindwa kupungua uzito
-Kupenda kula kula kila mara

Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini

1. Fanya mlo wako mmoja wa siku kuwa ni matunda pekee
Amua moja ya mlo wako kwa siku uwe ni matunda pekee bila chakula kingine zaidi. Unaweza kuamua ama chakula cha asubuhi au cha jioni kuwa ni matunda pekee, ndiyo kwenye sahani yako unajaza matunda tu mbalimbali sahani ijae na ule hayo tu k**a ndiyo mlo wako ukimaliza unaweza kunywa juisi ya matunda au maji pekee.

2. Kula vyakula vya asili zaidi kuliko vya viwandani
K**a unataka kuepuka sumu au takataka nyingine kirahisi kuingia katika mwili wako basi pendelea zaidi kula vyakula vya asili vinavyopikwa nyumbani kuliko kula vya kwenye makopo au vya dukani au vya kwenye migahawa (fast foods).

3. Fanya masaji
Kwa bahati mbaya waTanzania wengi hawajuwi kuwa masaji ni sehemu ya tiba au ni dawa pia kwa magonjwa mengine mengi mwilini. Wengi tunaichukulia masaji k**a kitu cha starehe tu (relaxation) lakini unaweza kutumia masaji k**a njia mojawapo ya kuondoa sumu mwilini na utafanikiwa kwa muda mfupi sana.

4. Kunywa maji mengi kila siku
Sababu kubwa ya watu wengi kutengeneza sumu au taka mwilini mwao ni kutok

Kwa ushauri na tiba piga namba 0748722040
03/04/2023

Kwa ushauri na tiba piga namba 0748722040

Njia Rahisi ya kutatua tatizo la kukosa nguvu za kiume.Ifahamike kwamba tatizo la nguvu za kiume sio ugonjwa ila tu ni n...
01/04/2023

Njia Rahisi ya kutatua tatizo la kukosa nguvu za kiume.

Ifahamike kwamba tatizo la nguvu za kiume sio ugonjwa ila tu ni namna mwaume anakosa uwezo wa kushiliki tendo la ndoa kiukamilifu.

Anaweza akawa anawahi kufika kileleni, Anashindwa kurudia tendo, Au kushindwa kusimamisha uume vizuri au kushindwa kabisha kusimamisha uume.

Tatizo hili limekuwa likiwapa shida sana wana ume wengi

Mbaya Zaidi limewaondolea hari ya kujiamini kwa wenza wao na kuwa fanya wawe na mawazo sana juu ya tatizo hilo

Cha kusitikisha zaidi wengine heshima ya ndoa zao zimekuwa ziki shuka kwa sababu ya tatizo hili.

Wengi wamekuwa wakitafuta suruhisho la tatizo hilo kwa njia nyingi.

Wengine wamekuwa wakitumia dawa za kuboost nguvu za kiume ilimladi waweze kushiliki katika tendo la ndoa

sasa hizo dawa zimekuwa sio suluhisho la moja kwa moja la tatizo hilo tena mbaya zaidi ndo zinaongeza tatizo baada ya apo

Yote hayo wamekuwa wakifanya hivyo nikutafuta suluhisho la tatizo hilo

Basi Nina habari Nzuri kwako leo

Nimekuandalia Makala Maalum itakayokuonyesha njia rahisi na salama hatua kwa hatua jinsi ya kutatua na kutokomeza tatizo hili moja kwa moja kwa kipindi kifupi tu, hata k**a ushahangaika kwa muda mrefu bila mafanikio,basi suluhisho limekuja

Na hii Makala Nitakutumia kwenye WhatsApp yako.

Ili kupata Makala hii Sasahivi kwa urahisi save hii namba0789481381*(Sir phesto maswaga)* kwenye simu yako kisha tuma ujumbe WhatsApp *(Makala)* na utatumiwa Makala yote Bila gharama yeyote.

P.S Tangazo hili halitokuwepo hewani Muda wote, Ili upate njia rahisi na salama ya kutokomeza tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume mara moja na usisumbuke tena Sasahivi Save namba hii 0789481381)*(Sir phesto maswaga)* kwenye simu yako Kisha tuma ujumbe WhatsApp (Makala) na utatumiwa video mala moja.!

Au Piga Simu 0789481381

31/03/2023

~VYANZO VYA TATIZO HILI LA KUKOSA hedhi ikiwa pamoja na.

👉kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni ya prolactin katika damu (PROLACTINEMIA)
(proclatin ni homoni inayochochea uzalishaji wa maziwa wakati wa kunyonyesha hivyo Hali ya kuwa proclatin nyingi katika damu husababisha kukosa hedhi

👉kuwa na msongo wa mawazo ni hatari

👉kuziba kwa utando unaozunguka uke (H***N) hivyo kukosekana tundu la kupitishia damu (IMPERFORATE H***N)

👉 Mazoezi makali ya mwili na ulaji mdogo wa Chakula, tabia hii hushusha homoni ambayo inahusika na kuweka siku zako katika Hali nzuri yani hufanya leptin kuwa katika kiwango cha chini sana hivyo ni hatari

👉ugonjwa wa kurithi wa GALACTOSEMIA unaoambatana na kuwa na kiwango kidogo cha sukari aina ya GALACTOSE katika damu

👉baadhi ya magonjwa ya viungo vya Uzazi yamekua yakiambatana na kusimama kwa hedhi mfano wa magonjwa hayo ni POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROME

👉MENO PAUSE ~hii ni hali ambayo hutokea kipindi cha miaka 42_55 homoni zinazohusika na kupata hedhi huwa Kwenye kiwango cha chini sana kiasi hufanya haziwezi kufanya Kazi sawasawa

DALILI ZA TATIZO HILI
👉Mwanamke kuwa na vinyweleo vingi na kuota ndevu hii inamaanisha na kuashiria kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni za kiume za ANDROGEN

👉kuongezeka uzito kupita kiasi

👉matiti kutoa maziwa wakati mwanamke si mjamzito wala hanyonyeshi

👉mwanamke kuwa na mhemko kuliko Kawaida

👉 uke kuwa mkavu

👉kutokwa jasho sana wakati wa usiku

👉mabadiliko katika kupata usingizi vinaweza kuashiria kuwepo kwa tatizo katika ovaries

👉kutokupata hedhi katika mpangilio

MATIBABU
NA JINSI YA KUJIKINGA NA TATIZO HILI
matibabu ya kukosa hedhi yanaweza kutibiwa hospital kutokana na chanzo cha tatizo ambapo huwa ni kupewa dawa au kufanyiwa upasuaji pale patapobidi

Mawasiliana nasi (WhatsApp 0789481381 )au piga 0748722040

31/03/2023

~VYANZO VYA TATIZO HILI LA KUKOSA HEDHI KWA MWANAMKE ASIE NA UJAUZITO
Vyanzo vya tatizo hili vyaweza kuwekwa katika Makundi makuu matatu ambayo ni vile vinavyohusisha matatizo katika mfumo wa homoni, vile vinavyohusisha matatizo katika tezi ya pituitar, mfumo wa Uzazi na vile vinavyohusisha mabadiliko katika mwili wa mwanamke visababishi hivyo ni ÷
👉matatizo katika hypothalamus ambapo matatizo haya husababisha ÷uvimbe katika ubongo karibu na tezi ya pituitar, ukosefu au upungufu wa homoni zinazochochea kukua na kufanya kazi kwa via vya Uzazi,

👉uzito mdogo kuliko Kawaida

👉pituitar kushindwa kufanya Kaz vzur baada ya seli zake kufa hii ni iwapo mama alipoteza damu nyingi wakati wa kujifungua

👉kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni ya prolactin katika damu (PROLACTINEMIA)
(proclatin ni homoni inayochochea uzalishaji wa maziwa wakati wa kunyonyesha hivyo Hali ya kuwa proclatin nyingi katika damu husababisha kukosa hedhi

👉kuwa na msongo wa mawazo ni hatari

👉kuziba kwa utando unaozunguka uke (H***N) hivyo kukosekana tundu la kupitishia damu (IMPERFORATE H***N)

👉 Mazoezi makali ya mwili na ulaji mdogo wa Chakula, tabia hii hushusha homoni ambayo inahusika na kuweka siku zako katika Hali nzuri yani hufanya leptin kuwa katika kiwango cha chini sana hivyo ni hatari

👉ugonjwa wa kurithi wa GALACTOSEMIA unaoambatana na kuwa na kiwango kidogo cha sukari aina ya GALACTOSE katika damu

👉baadhi ya magonjwa ya viungo vya Uzazi yamekua yakiambatana na kusimama kwa hedhi mfano wa magonjwa hayo ni POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROME

👉MENO PAUSE ~hii ni hali ambayo hutokea kipindi cha miaka 42_55 homoni zinazohusika na kupata hedhi huwa Kwenye kiwango cha chini sana kiasi hufanya haziwezi kufanya Kazi sawasawa

DALILI ZA TATIZO HILI
👉Mwanamke kuwa na vinyweleo vingi na kuota ndevu hii inamaanisha na kuashiria kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni za kiume za ANDROGEN
👉kuongezeka uzito kupita kiasi
👉matiti kutoa maziwa wakati mwanamke si mjamzito wala hanyonyeshii

Address

Festo Maswaga
Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255748722040

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Festo health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram