Dr. Khalfan Tiba Asilia

  • Home
  • Dr. Khalfan Tiba Asilia

Dr. Khalfan Tiba Asilia Ukijiona una-tatizo la kiafya Magonjwa Mwilini. Tafuta Bidhaa zetu Muundo wa Syrup, Mafuta & Sabuni.Dawa Mbadala kwa kutibu Magonjwa mengi.

Jiunge nasi upate habari zaidi na uweze kujipatia bidhaa mbalimbali kumaliza Matatizo yako✨

   ...💪💪💪  ..!💥💥💥Umejiandaa!   ukiwa Afya Bora!!💥💥Vijana wa siku hizi tunapiga kazi… lakini pia tunapiga mwili!Tunakunyw...
08/02/2026

...💪💪💪 ..!💥💥💥

Umejiandaa! ukiwa Afya Bora!!💥💥

Vijana wa siku hizi tunapiga kazi… lakini pia tunapiga mwili!
Tunakunywa pombe mara kwa mara, kuvuta sigara na sh**ha, kula fast food. Na yote haya yanaumiza ini bila sisi kujua!

Virutubisho vya mimea ya Msoni, Msomvi, Nolo, Sanino, Vombo, Dondo, Gonji, inasaidia kusafisha na kulinda ini kutokana na madhara ya pombe, mafuta na kemikali mwilini.

Husaidia kuondoa sumu mwilini na kuboresha afya ya figo pamoja na mapafu.

Ukilinganisha na lifestyle ya sasa , mwili wako unahitaji kinga mathubuti kupigana magonjwa yanakukabili.Tumia lishe hii kila siku ili kulinda ini mapema kabla matatizo hayajaanza.

Pia hii itakusaidia kwa..
1.Presha & kisukali
2.Magonjwa ya Moyo
4.Bawasiri Sugu
5.Magonjwa ya Ngozi
6.Uvimbe kizazi ( )
7.Vidonda vya Tumbo
8.Kifua cha Pumu
9.Hedhi bila mpangilio
10.Acidity Reflux
11.Magonjwa ya Macho
12.Ganzi mwilini & Maumimivu ya kifupa
13.NGUVU ZA KIUME.
14.KUTOKWA UCHAFU UKENI & HARUFU MBAYA

Tumekuandalia kwa pamoja Mimea hii na kuipata Jina Kila chupa ni kwa week mmoja, lakini unapoinunua chupa 2 unapata punguzo la 15%.

DOZI: 60000Tsh Weka X sema nina 45000Tsh chupa 2.
: TSH 10,000 kwa Dar / Tunatuma Nchi Nzima. Malipo ni kabla nje ya Dar (ODA KABLA YA SAA 4 ASH)
Tunapatikana Manzese, Mkunguni DSM.
Masaa: 8AM - 5PM, Jumatatu - Jumamosi.
W/A au Piga Simu: +255 684 765 575

  💥 Sisi k**a sisi ni watu wa kutoa Afya kwako tu! Ushindwe wewe katika msimu huu tunakupa hadi Asilimia 15% ya punguzo ...
08/02/2026

💥 Sisi k**a sisi ni watu wa kutoa Afya kwako tu! Ushindwe wewe katika msimu huu tunakupa hadi Asilimia 15% ya punguzo la bei kwenye bidhaa zetu zote..!

Sisi hatukati Lawama na wewe.. 😎
PIA TUNA ZAWADI SPESHO kutoka kwetu.. ukinunua utapata asilia na Mafuta Asilia kwa ngozi yako💥💥. Anza kupanga Afya yako kwa kuchagua chakula asilia na halisi kwa 100%.

Uko na BAWASIRI? Huna NGUVU ZA KIUME? PUMU YA NGOZI?( upele, Muwasho, majipu, mba mwilini)😫

Sasa TOP SYRUP, BAWASIRI SYRUP & POWER RIJAAL punguzo la 15%.. Sio tena 60000Tsh ni 45000Tsh kwa dozi kamili.

✔️USIBAKI NA KIBAMIA KUZA UUME MPAKA INCH-12 NA POWER RIJAAL WAKATI NDIO HUU USHINDWE WEWE TU!💥

Furahia punguzo la asilimia 15% ya LISHE ZETU katika Mwezi huu FEBRUARY NI WAKO WAHI WAPEMA💥💥

Chakufanya Piga/ Whatsapp 0758 673 897 LOC. MANZESE DSM
DOZI ZOTE: 45000TSH.






Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!, Faraja Joram, Ayubu Sambala, Saumu Abdallah, Distensi Sope, Mamu Actress, Jean Paul

  UFALME CHUMBANI Tambua utakapo kunywa Dozi kamili ya POWER RIJAAL chupa 1 hadi 2,  Kunarudisha na kutibu tatizo la mfu...
09/01/2026

UFALME CHUMBANI Tambua utakapo kunywa Dozi kamili ya POWER RIJAAL chupa 1 hadi 2, Kunarudisha na kutibu tatizo la mfumo mzima wa nguvu za kiume.. Pia huchochea hormones za ukuaji wa uume na kurudisha uimara wako chumbani haraka zaidi kwa 99.99%.

Pia husaidia kurudia haraka zaidi tendo la ndoa pale utapo-maliza roundi moja kwenda nyingine. Ni Lishe nzuri ya tatizo la ngiri na maradhi nyemelezi kwenye mfumo wa nguvu za kiume

: Ukitaka kuwa imara chumani tumia POWER RIJAAL ni heshima ya ndoa yako. Mkubwa wa ulingo ni POWER RIJAAL🧏‍♂️

Kwa gharama ya kununua POWER RIJAAL dozi kamili dukani kwetu kwa package ya 500gm/500ml ni 60,000Tsh. Ni nzuri nimeifadhiwa kwenye package nzuri kwa matumizi.

Ndoa Bila  ?  !! Ndoa huku una  ? Hapo hakuna Furaha ndani ya Familia.. MAIGIZO😂😂😂Ndoa Lazima uwe na Nguvu za kiume na U...
06/01/2026

Ndoa Bila ? !! Ndoa huku una ? Hapo hakuna Furaha ndani ya Familia.. MAIGIZO😂😂😂

Ndoa Lazima uwe na Nguvu za kiume na Uwe Uume inch 7 mpaka 12 kamili..💪💪 ☄️☄️☄️ ndio Maana Power rijaal inakuza uume na kuongeza nguvu za kiume kikamilifu haraka zaidi.

Hii sio booster 😢 ni Tiba mujaranu Asila 100% 💥 imejaraibiwa na nzuri kwa kuimarisha Afya wa mwanaume chumbani..
Dhamira yetu ni moja, kuendelea kuwa mshirika sahihi wa watanzania kwa kuunga mkono heshima chumbani, Kwa kuimarisha Uume na kukimbia na Fedhea chumbani, Hakika hii ni HESHIMA YA NDOA💛💙

🌐MATUMIZI YA POWER RIJAAL :
🔥Tumia kijiko cha chakula 2 X 2 kwa siku
(KABLA YA KULA CHOCHOTE TULIA DAKIKA 10-15)
🔥Huchanganyi na chochote unatumia k**a ilivyo kwa siku 15
🔥Dozi ni siku 15 Tu (inategemea na ukubwa wa tatizo lako kuongezeka)
🔥Matokeo yanaweza kuwa haraka au mpaka mwisho wa dozi kutegemea na Hormonal reaction ya mwili wako
🔥Tingisha Chupa ya dawa vizuri kabla ya kutumia hakikisha inachanganyika vizuri

: K**a umekunywa POWER RIJAAL saa 1:00am asubuhi hakikisha unakunywa POWER RIJAAL saa 1:00 pm usiku.

DOSES: TSH.60,000, / WEEK-2 DELIVERY 10000 KWA DAR / MKOANI TUNATUMA. TUNAPATIKANA MANZESE MIDIZINI ROAD, DSM. MUDA WA KAZI; 8AM TO 5PM, MON-SAT. W/A OR CALL +255 0684 765 575 .

| | | | | | | |

Bawasiri  ☄️ Tena!!UNAIJUA HIYO!!  !!  🙇Ona umekaa Upande Upande! Hupati choo mara kwa mara! Choo chako kigumu, Maumivu,...
06/01/2026

Bawasiri ☄️ Tena!!
UNAIJUA HIYO!! !!
🙇Ona umekaa Upande Upande! Hupati choo mara kwa mara! Choo chako kigumu, Maumivu, Milenda, Kinatoka na damu?. Pia unapata Muwasho mkali na sugu kwenye njia ya haja kubwa kupelekea uvimbe na kuziba kwenye njia ya haja? Upo katika hali moja wapo una bawasiri..

Sasa umeanza kuona vinyama ( uvimbe) kwenye tundu la haja kubwa? !! Bawasiri sio tatizo tena na tena! Hakuna sababu ya kuteseka na bawasiri Tumia itakusaidia kumaliza changamoto zote haraka zaidi.

✔️. Hutibu tatizo la bawasiri
kuanzia kwenye mfumo wa
chakula (mmeng'enyo)
✔️. Huondoa Uvimbe wa ndani /
nnje (vinyama)
✔️. Huondoa muwasho na choo
kigumu/ cha damu
✔️. Huziba mpasuko wa bawasiri
✔️. Hutibu dalili za vidonda vya
tumbo

: Bawasili syrup tumia kijiko kikubwa cha chakula 2x2 kwa siku 7 mpaka 15 utapona haraka mno.
DOSES: TSH.60,000, / WEEK-2 DELIVERY 10000 KWA DAR / MKOANI TUNATUMA. TUNAPATIKANA MANZESE MIDIZINI ROAD, DSM. MUDA WA KAZI; 8AM TO 5PM, MON-SAT. W/A OR CALL 0758 673897.


Habari!! Leo, Mzee Almasi anatuelezea namna ya kukuza uume na kuweza kukimbia  ."Dhamani sisi kipindi tunapata jando tul...
06/01/2026

Habari!! Leo, Mzee Almasi anatuelezea namna ya kukuza uume na kuweza kukimbia .

"Dhamani sisi kipindi tunapata jando tulikuwa hatuendi hospital bali Ngariba anakupa jando akimaliza anakupakaa unga wa mbegu wa , mdinda dinda, Muegea pale pale kwenye kidonda inaingia ndani Pia unapewa unakunywa Uume ukikua unakuwa imara sana ni muhimu kwa kukuza uume unakuwa na kunenepa kwa uwiano sawa.."
-Mzee Almasi 💥

Tumia Virutubisho chetu cha POWER RIJAAL kimeandaliwa na Mbegy za msoniti kwa kwaajili kukuza uume haraka jaribu leo!✔️

Hakikisha haikupiti...💪
✅POWER RIJAAL inaongeza uume na kuwa mkubwa zaidi hakuna vibamia kabisa kwa 100% k**ata leo yako sasa..!!
✅POWER RIJAAL: inaongeza ubora wa manii( ) zinakuwa nyingi zaidi na uwezo wa kukimbia kwenye o***y haraka zaidi...k**a unataka mtoto ni muda wa kunywa POWER RIJAAL...!!!
✅POWER RIJAAL: inaongeza ufanisi wa tendo la ndoa yaani hakuna kuwahi kileleni k**a mwendokasi...!!!
✅POWER RIJAAL: dakika nyingi zaidi na kuweza kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi..!!
✅POWER RIJAAL: k**a huna hamu ya tendo la ndoa basi hii ndio hamu( ) yaani utapata msisimko zaidi na zaidi..🤸‍♂️

DOSES: TSH.60,000, / WEEK-2 DELIVERY 10000 KWA DAR / MKOANI TUNATUMA. TUNAPATIKANA MANZESE MIDIZINI ROAD, DSM. MUDA WA KAZI; 8AM TO 5PM, MON-SAT. W/A OR CALL +255 0684 765 575 .

| | | | | | | |

Una-Maumivu Kichwa, Misuli, Viungo, Kuchoka, GANZI!! Unajua Chanzo!    Uraji mbovu hupelekea mvurugiko wa homoni katika ...
06/01/2026

Una-Maumivu Kichwa, Misuli, Viungo, Kuchoka, GANZI!! Unajua Chanzo!
Uraji mbovu hupelekea mvurugiko wa homoni katika mwili na kuongezeka kwa uzito kupitiliza. Uzalishaji wa sumu nyingi zitokanazo na vyakula na madawa unayotumia bila mpangilio. Mfano Dawa za Maumivu, Moyo & Pressure k**a: , Beta blockers & Angiotensin.

Pia vyakula vya mafuta mengi hupelekea mishipa kubana kushindwa kupitisha damu vizuri hupelekea mwili kupata !!

Tatizo hili hupelekea blood pressure kuwa chini na msukumo mdogo wa oxygen kupita kwenye damu kwenda kwenye moyo na ubongo. Matokeo mwili hushindwa kufanya kazi na kupoteza nguvu hatimaye kupooza kabisa (kiharusi)


1.Tumia Ganzi oil kufanya masaji mwilini sehemu zenye tatizo.
2.Fanya mazoezi ya kutosha
3.Badili mfumo wa chakula (Epuka matumizi ya chumvi mbichi)
4.Punguza matumizi ya pombe na mafuta mengi

Endapo una-maradhi sugu hali ya miguu kuuma/kuwaka moto mfulilizo, Magoti kusagika/ kujaaa maji, Ganzi kuzidi mwili.

Sasa Kimbilio ni HALBAT ATHAUM utatumia kunywa kwa siku 15 na GANZI OIL chua kwenye tatizo kwa siku 15 utapona.

DOSES KAMILI TSH.55,000, / WEEK-2 DELIVERY 10000 KWA DAR / MKOANI TUNATUMA. TUNAPATIKANA MANZESE MIDIZINI ROAD, DSM. MUDA WA KAZI; 8AM TO 5PM, MON-SAT. W/A OR CALL 0758 673897.

Hapana Bana!!  🤗 Hiyo ni  !! Achana na mganga kimbia.. Jifunze namna inavyo athari mifumo ya mwili wako.Acid reflux ni t...
06/01/2026

Hapana Bana!! 🤗 Hiyo ni !! Achana na mganga kimbia.. Jifunze namna inavyo athari mifumo ya mwili wako.

Acid reflux ni tatzo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (Gastrointestinal system) na kuathiri mifumo mingine ya mwili

Mifumo ya mwili inayoathiriwa na ACID REFLUX ni k**a ifuatavyo:
✔️ Mfumo wa fahamu (Central nervous system)
✔️ Mfumo wa moyo (Cardiovascular system)
✔️ Mfumo wa upumuaji (Respiratory system)
✔️ Mfumo wa mifupa na misuli (Musculoskeletal system)
✔️ Mfumo wa pua,koo na masikio (ENT)

DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA FAHAMU UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX
✔️Kusahau mara kwa mara
✔️Macho kupunguza uwezo wa kuona
✔️Kupata ganzi kwenye vidole vya mikono na miguu
✔️Kuhisi kuchanganyikiwa (CONFUSION)
✔️ Mwili kuchoma choma
✔️Kuwa na wasiwasi na khofu bila sababu za msingi

DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MOYO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX
✔️Mapigo ya moyo kwenda mbio/kupaparika (Heart palpitations)
✔️ Presha kupanda (temporary hypertension)
✔️ Kupata Kizunguzungu
✔️Maumivu ya kifua
✔️ Kupata ganzi mkono wa kushoto
✔️ Kuhisi Mapigo ya moyo yapo chini sana

DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA UPUMUAJI UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX
✔️Kupumua kwa shida
✔️ Mafua ya mara kwa mara
✔️Kupata kwikwi za mara kwa mara
✔️ Mafua yasiyoisha
✔️ Kikohozi kisichoisha
✔️Maumivu makali ya kifua

DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA PUA, MASIKIO NA KOO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX
✔️ Maumivu makali ya koo
✔️ Kuhisi kitu kimekwama kooni
✔️ Kupata Tonsillitis (mafidofido) mara kwa mara
✔️ Kupata ugumu wa kumeza chakula
✔️Kuhisi masikio mazito
✔️Masikio kupiga kelele
✔️ Mafua yasiyoisha

💥Endapo umepima na kukutwa na dalili au tatizo la Presha sasa unaweza kuanza kutumia hii asilia HALBAT ATHAUM itakusidia kurudisha mfumo wa damu kuwa sawa pale utakapo tumia mara kwa mara.

Fata ushauri wa mfumo chakula na mazoezi itakusaidia pia kurudi katika hali ya kawaida.

🌐MATUMIZI YA HALBAT ATHAUM :
🔥Tumia kijiko cha chakula 2 X 2 kwa siku
( KULA USHIBE NDIO KUNYWA DAWA)
🔥Huchanganyi na chochote unatumia k**a ilivyo kwa siku 15
🔥Dozi ni siku 15 Tu (inategemea na ukubwa wa tatizo lako kuongezeka)
🔥Matokeo yanaweza kuwa haraka au mpaka mwisho wa dozi kutegemea na Hormonal reaction ya mwili wako
🔥Tingisha Chupa ya dawa vizuri kabla ya kutumia hakikisha inachanganyika vizuri

: K**a umekunywa HALBAT ATHAUM saa 1:00am asubuhi hakikisha unakunywa HALBAT ATHAUM saa 1:00 pm usiku.

DOSES: TSH.60,000, / WEEK-2 DELIVERY 10000 KWA DAR / MKOANI TUNATUMA. TUNAPATIKANA MANZESE MIDIZINI ROAD, DSM. MUDA WA KAZI; 8AM TO 5PM, MON-SAT. W/A OR CALL +255 0684 765 575 .

| | | | | | | |

Muwasho (Pruritus) ni dalili ambayo inaweza kusababisha usumbufu mkubwa na ni moja ya sababu za kawaida za kutafuta ufum...
05/01/2026

Muwasho (Pruritus) ni dalili ambayo inaweza kusababisha usumbufu mkubwa na ni moja ya sababu za kawaida za kutafuta ufumbuzi. Hali ya kuwashwa husababisha kukwaruzika, ambayo inaweza kusababisha kuvimba, uharibifu wa ngozi, na uwezekano wa maambukizi ya ngozi.

Eneo la ngozi linaweza kuwa nene, gumu na mfano wa magamba (lichenified). Kuwashwa kunaweza kuchochewa na vichochezi mbalimbali dhidi ya mwili.

MAGONJWA YA NGOZI

Wajanja wakipata muwasho, upele, fangasi, utango tango na pumu ya ngozi hutumia Lishe ya Top-SYRUP!

Top-Syrup inaua bakteria wasababishao magonjwa na kuacha ngozi yako ikiwa na afya bora zaidi. Lishe tiba inayotibu magonjwa ya ngozi kuanzia kwenye chanzo cha tatizo kwenye damu. Inasafisha damu na kuleta ngozi yenye Afya zaidi.
• Huua bakteria magonjwa ya ngozi ndani ya mwili.
• Hupunguza muwasho wa ngozi
• Hupunguza uzalishaji mafuta kwenye ngozi
• Huondoa Aleji (mzio) mwilini
• Husafisha ngozi
• Huboresha afya ya ngozi

DOZI: 60000TSH-WEEK 2
MANZESE, DSM
WHATSAPP:+255 0684 765 575
Wasiliana nasi tukuhudumie, tunakufikia popote ulipo nchini:
0758 673 897 Kujipatia bidhaa bora na za uhakika kutoka kwetu.

 : Malengelenge (Dyshidrotic Eczema) ni upele unaowasha unaotokea kwenye mikono (kwa kawaida viganja na pande za vidole)...
05/01/2026

: Malengelenge (Dyshidrotic Eczema) ni upele unaowasha unaotokea kwenye mikono (kwa kawaida viganja na pande za vidole) na miguuni. Hujidhihirisha k**a malengelenge madogo, yanayowasha, yaliyojaa maji. Wakati mwingine malengelenge ni madogo sana, k**a ncha, na wakati mwingine ni makubwa, hufunika karibu kiganja au mguu mzima.

Ugonjwa husababisha hisia inayowaka, kuwasha na upele wa malengelenge. Malengelenge yanaweza kufunguka, kudondosha, na kutengeneza ukoko wa magamba. Kwa watu wengine, dalili zinaweza kuwa kali sana.

Sababu ya ugonjwa ni pumu ya ngozi (Atopic dermat**is), pamoja na Allergy za msimu.

Wajanja wakipata muwasho, upele, fangasi, utango tango na pumu ya ngozi hutumia Lishe ya Top-SYRUP!

Top-Syrup inaua bakteria wasababishao magonjwa na kuacha ngozi yako ikiwa na afya bora zaidi. Lishe tiba inayotibu magonjwa ya ngozi kuanzia kwenye chanzo cha tatizo kwenye damu. Inasafisha damu na kuleta ngozi yenye Afya zaidi.
• Huua bakteria magonjwa ya ngozi ndani ya mwili.
• Hupunguza muwasho wa ngozi
• Hupunguza uzalishaji mafuta kwenye ngozi
• Huondoa Aleji (mzio) mwilini
• Husafisha ngozi
• Huboresha afya ya ngozi

DOZI: 60000TSH-WEEK 2
MANZESE, DSM
WHATSAPP:+255 0684 765 575
Wasiliana nasi tukuhudumie, tunakufikia popote ulipo nchini:
0758 673 897 Kujipatia bidhaa bora na za uhakika kutoka kwetu.

Kuwasha kwa mat**i bila upele kunaweza kusababishwa na sababu nyingi, ikiwa ni pamoja na ukavu wa ngozi au mat**i kukua ...
05/01/2026

Kuwasha kwa mat**i bila upele kunaweza kusababishwa na sababu nyingi, ikiwa ni pamoja na ukavu wa ngozi au mat**i kukua kwa sababu ya kubalehe, kuongezeka uzito wa mwili au ujauzito. Wakati mwingine huwa ni athari za mzio (Allergic reactions). Inaweza kutokea katika t**i moja au yote mawili.

K**a ni Mzio..( Allergic Reactions) Wajanja wakipata muwasho, upele, fangasi, utango tango na pumu ya ngozi hutumia Lishe ya Top-SYRUP!

Top-Syrup inaua bakteria wasababishao magonjwa na kuacha ngozi yako ikiwa na afya bora zaidi. Lishe tiba inayotibu magonjwa ya ngozi kuanzia kwenye chanzo cha tatizo kwenye damu. Inasafisha damu na kuleta ngozi yenye Afya zaidi.
• Huua bakteria magonjwa ya ngozi ndani ya mwili.
• Hupunguza muwasho wa ngozi
• Hupunguza uzalishaji mafuta kwenye ngozi
• Huondoa Aleji (mzio) mwilini
• Husafisha ngozi
• Huboresha afya ya ngozi

DOZI: 60000TSH-WEEK 2
MANZESE, DSM
WHATSAPP:+255 0684 765 575
Wasiliana nasi tukuhudumie, tunakufikia popote ulipo nchini:
0758 673 897 Kujipatia bidhaa bora na za uhakika kutoka kwetu.

 : Kukauka mdomo kupita kiasi (xerostomia), kuhisi uvimbe au maumivu yasiyoeleweka kwenye mdomo, uso au shingo, kunapasw...
04/01/2026

: Kukauka mdomo kupita kiasi (xerostomia), kuhisi uvimbe au maumivu yasiyoeleweka kwenye mdomo, uso au shingo, kunapaswa kuchukuliwa hatua.

Watoto wenye sura zisizo za kawaida (na wanaoweza kuwa na matatizo ya meno yanayohitaji matibabu) wanapaswa kuchunguzwa Afya ya meno. Kwa watu wazee au wale wenye magonjwa ya fizi (periodontal disease), fizi hujiondoa kidogo na hivyo kuacha mzizi wa jino wazi karibu na sehemu ya juu ya jino. Husababisha mzizi huo kushambuliwa kwa haraka na kuoza.

K**a jino litaoza sana na kuhitaji kung’olewa, ule msukumo wa kawaida wa kutafuna ambao huisaidia mifupa ya taya kubaki imara hukoma. Hali hii husababisha mfupa wa taya kupungua na kudhoofika kwa sababu ya kukosa meno (senile atrophy).Mdomo kutoa harufu mbaya,Sababu kubwa hizi hapa:

- Kutokusafisha kinywa vizuri(Poor oral and dental hygiene), Hii ni miongoni mwa sababu kubwa ambazo hupekea kutoa harufu mbaya kinywani,

Mbali na kutoa harufu mbaya kinywani, kutokusafisha meno na kinywa vizuri hupelekea mabaki ya chakula kuganda kwenye meno, hali ambayo hupelekea watu wengi sana kuwa na matatizo ya Meno.

; Wataalam wa afya ya kinywa wanasema,miongoni mwa sababu kubwa za matatizo ya meno kwa wagonjwa wengi ambao wanawapata, ni kuganda kwa uchafu kwenye meno kutokana na meno kutokusafishwa vizuri.

- Maambukizi ya magonjwa kwenye meno,Fizi na kinywa, kuwa na shida ya FANGASI mdomoni au kwenye Ulimi, maambukizi ya bacteria, kidonda baada ya kutoa jino au meno,meno kuoza,vidonda mdomoni,n.k vyote hivi huweza kusababisha tatizo la kutoa harufu mbaya mdomoni.

- Uvutaji wa Sigara ikiwemo Tumbaku, mbali na kuwa kwenye hatari ya kupata magonjwa ya fizi(gum disease) na meno,wavutaji wa sigara ikiwemo tumbuku wapo kwenye hatari ya kupata shida ya kutoa harufu mbaya mdomoni

- Shida ya mdomo kuwa mkavu(Dry mouth), Mate husaidia sana kusafisha mdomo na kuondoa mabaki ya chakula(Food particles) ambayo huweza kusababisha harufu mbaya mdomoni,

Tatizo hili la mdomo kuwa mkavu yaani Dry mouth or xerostomia huweza kusababisha harufu mbaya kutoka kinywani kwa sababu ya upungufu mkubwa wa mate mdomoni.

- SUPER TEETH ina uwezo wa kusafisha kinywa na MENO KUNG'AA kuongeza uwezo mkubwa kuondoa fangasi, magonjwa ya meno kikamilifu.. Pigia mswaki kila siku asubuhi itaweza kumaliza tatizo la kinywa.

SUPER TEETH: 35000TSH-2WEEKS
WHATSAPP:+255 0684 765 575
LOCATION:MANZESE
|Ushauri Zaidi,Elimu na Tiba tuwasiliane.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Khalfan Tiba Asilia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram