Pendo Amore Mtoto

Pendo Amore Mtoto Pendo Amore MTOTO AFYA tunajihusisha na masuala la Afya na Ustawi wa Mtoto kuanzia
Umri kuanzia miak

*KARIBU SANA🙏*

_*PENDO AMORE _MTOTO AFYA:*_

*TUNAPENDA KUWATAARIFU HUDUMA ZETU ZITAANZA TAREHE 1/02/2022.*

*KWA WIKI HII TUNASAJIRI MZAZI KULINGANA NAUMRI WA MTOTO WAKE.*

*HIVYO WASILIANA NAMI KWA NAMBA 0758585229,*
*KWA AJILI YA USAJIRI*

*RATIBA ZA HUDUMA NI KAMA IFUATAVYO.*

*WALENGWA:WAZAZI AU WANAOTARAJIA KUWA WAZAZI*

*CATEGORY 1:*
*🤱🏼MZAZI MWENYE MTOTO KUANZIA SIKU 0-28(Neonate).*

*CAT

EGORY 2:*
*👨🏻‍🍼MZAZI MWENYE MTOTO KUANZIA MWEZI 1-12 (INFANT).*

*CATEGORY 3:*
👨‍👩‍👦*MZAZI MWENYE MTOTO WA MWAKA 1-5 (TODDLER/PRESCHOOLER)*

*CATEGORY 4:*
*👩‍👦MZAZI MWENYE MTOTO MIAKA 5-9(SCHOOL AGE)*

*CATEGORY 5*
*MZAZI MWENYE MTOTO MIAKA 9-15 (TEENAGE/ADOLESCENT).*


*HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA:*

*1️⃣ELIMU YA UELEWA JUU YA AFYA,MALEZI NA MAKUZI YA MTOTO KWA NGAZI YA MZAZI.*

*2️⃣HUDUMA YA USHAURI KWA MASUALA YA AFYA(TATIZOLA AFYA),MALEZI,MAKUZI &SAIKOLOJIA YA MTOTO.*

*3️⃣HUDUMA (LINK) KIMATIBABU KWA MTOTO ATAKAYEKUWA NA TATIZO LA KIAFYA/SAIKOLOJIA*

*4️⃣USHAURI WA JUMLA KWA MASUALA YANAYOHUSU MTOTO NA MZAZI/WAZAZI,FAMILIA.*


🩺*KILA CATEGORY/GROUP LITAPATA SESSION/VIPINDI 3 KWA WIKI.*

🩺*HUDUMA ZINGINE ZITAPATIKANA MUDA WOTE KWA WIKI.*

*MPANGILIO WA HUDUMA UTAJIKITA KATIKA MAMBO MAKUU MATATU KULINGANA NA UMRI WA MTOTO.*

*1️⃣MATUNZO *
*2️⃣CHANGAMOTO ZA KIAFYA/MAGONJWA *
*3️⃣SAIKOLOJIA,MALEZI NA MAKUZI*

🩺_*GHARAMA YA KUJIUNGA KWA MWEZI MZIMA NA TSH 20,000/=*_


*📞WASILIANA NASI +255758585229 KWA MAELEKEZO ZAIDI*


*Pendo Masanja*
_[Pediatric Nurse Practitioner]_

Address

Nzunguni
Dodoma
656

Telephone

+255758585229

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pendo Amore Mtoto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Pendo Amore Mtoto:

Share