
24/09/2023
BFSUMA TZ๐น๐ฟ.
BFSUMA ni Kampuni inayo jihusisha na Uzalishaji na Usambazaji wa bidhaa za VIRUTUBISHALISHE .Bidhaa hizi huzalishwa katika nchi za MAREKANI ๐บ๐ธ HongKong ๐ญ๐ฐ na GERMANY ๐ฉ๐ช
*** Unaweza KUJISAJILI na Kua WAKALA WA BFSUMA Kwa MTAJI WA Laki moja na Hamsini Elfu ( Tsh 150,000/=)
โขFAIDA za kuwa WAKALA wa BFSUMA
1)UBORA WA BIDHAA,bidhaa zetu ni bora kwa kuwa na matokeo mazuri kwa kila mtumiaji
2)BEI YA BIDHAA,tuna bidhaa nyingi za Bei ya chini Ambazo watu Wengi wana Mudu hivyo itakurahisishia kufanya biashara kwa watu wa matabaka/level zote
3)NAMNA YA KUANZA BIASHARA,ni rahisi kuanza biashara na BFSUMA kwani MTAJI unaohitajika ni (Tsh 150,000/=)Ambayo watu Wengi wana mudu
...Uta Chukua bidhaa ambazo una mteja anaihitaji au unazohitaji kuzitumia
4)MPANGO MASOKO BORA NA UNAOTEKELEZEKA,mpango masoko wa BFSUMA ni rahisi kwa kila Mwenye kujituma katika kufanya kazi hivyo huwezesha WAGAVI/MAWAKALA Kupata BONUS KILA MWEZI,ku QUALIFY SAFARI NA MAGARI
5) UWEPO WA BIDHAA NYINGI Aina TOFAUTI TOFAUTI , HII inakusaidia wewe Mgavi/Wakala KUKUA KI BIASHARA Kwani unakua na Wigo mpana wa SOKO .
Pia Kampuni Ya BFSUMA huzalisha BIDHAA zake zote Yenyewe kitu kinachoiwezesha Kampuni ku Control UBORA WA BIDHAA , Tofauti na Makampuni mengine ambayo huingia Ubia/Mikataba na Viwanda/Wazalishaji ili kuweza kuzalishiwa bidhaa kwa brand/Majina yao.
**FIKIRIA CHUKUA HATUA**
KILA KITU KINAWEZEKANA
JIUNGE NASI TUTAKUWEZESHA KUYAFIKIA MALENGO YAKO
Wasiliana nasi : 0652 92 90 98