
18/12/2024
Kongosho Ni Nini?...
Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo
wa chakula ambayo hutoa
Insulin hormone ambacho ni kichocheo Au homoni ambayo kazi yake ni kuondoa glucose katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini na hutumika k**a nishati mwilini....
Kwa Maan Nyingine Kongosho ni Organ Ambayo huusika na regulation au Kuratibu Sukari Mwilini ...
Kongosho hutoa Chemical iitwayo Insulin Hormone Ambayo huusika na Kubalnce sukari mwilini....
Hivyo changamoto ya kisukari Huaanzia Pale insuline hormone inapotolewa kwa uchache kwenye mwilini...
Okey Subiri Nikuonyeshe Kiundani hii huwa Ndani ya kongosho kuna Aina mbili ya cells Ambazo ni beta cells Na alpha cells...
Mara nyingi Kinachotokea Nini Cells hizi hushindwa kufanya kazi vizuri Na mara nyingi kupelekea kiasi cha insuline hormone kuzalisha kwa kiasi kidogo kwenye kongosho...
Twende Kiundani zaidi👇
Beta cells are cells that make insulin, a hormone that controls the level of glucose (a type of sugar) in the blood...
Maan yake Ni kwamba Beta cells kwa asilimia kubwa ndiyo Muhusika mkuu wa Kusaidia uzalishaji wa insuline hormone kutolewa kwa Ufasaha...
Swali Je ni kiasi gani Cha insuline hormone kinachoitajika kutolea na kongosho?...
Kitaalamu kiasi cha Insuline kinacho hitajika kutolewaa na kongosho kwa siku ni 0.2- 0.5 U/Kg/day Yaan kila siku...
Hapo Huenda Hujanielewa sana ila Hicho kiwango mara nyingi ukiwa na changamoto ya kisukari Huwa Akifikiwi na Huwa chini Apo....
Sasa Unapoenda kutibu Kongosho Maan yake ni Nini...
Ni kwamba Unaenda kusaidia uzalishaji wa Beta cells kwa Wingi kwenye kongosho....
Kila Mtu Atakuambia Nakupa Dawa Yakutibu kongosho Ebu muulize kutibu kongosho kwa Namna Gani...
Hapo Ndipo Tofauti huanza Wewe Mwenye ni shahidi ulipewa Dawa ya kutibu kongosho lakini mtaalamu Aliyekupa iyo dawa hakukupa maelekezo Akinifu ila alikuambia Inatibua kongosho Tumia utanipa majibu mwenywe....
Tuelewe ili Siyo kila Dawa ni kwaajili ya kutibu kongosho Jaribu ili unapataka Kuchukua