18/08/2025
ZAWADI NZURI NA BORA YA KUIPA FAMILIA YAKO.
K**a kuna zawadi nzuri na bora ya kuichukulia Familia yako,basi ni hiki kitabu,kinapatikana kwa nakala laini kwa tsh.elf 4,kupitia link hii.....
https://www.getvalue.co/prod/hazina_yako_na_kizazi_chako
Na nakala ngumu kwa tsh.elf 10,mikoani tunatuma kwa ghalama zetu@Menaeh Bookshop and Resource Centre(MBRC)Dodoma HQ.
"Unaweza ukafanikiwa kuwaachia watoto wako mashamba,magari,viwanja na hata pesa lakini ukashindwa kuwaachia 'wewe' Wakatumia kila ulichoacha,wakamaliza na kuendelea kuwa si chochote. Hapo umefeli.
K**a unajivunia ulivyo,kama una ujasiri mbel za Mungu kuwa wewe ni mume,mke,baba au mama bora basi tamani zaidi kuwaachia ulichonacho ndani yako.tamani kuwaachia 'WEWE' Alisema Dr.Chris Mauki.
KITABU HIKI KINA MBINU BORA KABISA ZA NAMNA YA KUWA 'WEWE'NA UNAWEWEZA KUWATENGENEZA WATOTO WAKO WAWE 'WEWE' baada yako.
ya Mahusiano, Ndoa na Familia kila siku ya Jumatatu.
Karibu sana.
0768383818