Afya Na Bf Suma 2021

Afya Na Bf Suma 2021 KARIBU SANA KATIKA UKURASA WETU WA AFYA NA BF SUMA 2021

KARIBU KWA SULUHISHO LA MAGONJWA YA WATOTO
MAGONJWA YA UZAZI KWA AKINA MAMA NA AKINA BABA
MAGONJWA YA MIFUMO YA UZAZI
MAGONJWA YA MIFUPA NA MAUNGIO
MAGONJWA YA MZUNGUKO WA DAMU
MAGONJWA YA MENO NA FIZI
MAGONJWA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA N.K

FAHAMU UGONJWA WA PELVIC INFAMMATORY DISEASE (PID) NA JINSI YA KUJIKINGAPelvic inflammatory disease, ugonjwa huu unafaha...
29/03/2021

FAHAMU UGONJWA WA PELVIC INFAMMATORY DISEASE (PID) NA JINSI YA KUJIKINGA

Pelvic inflammatory disease, ugonjwa huu unafahamika k**a PID, ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke . PID ni miongoni kwa magonjwa hatari sana kwa mwanamke una madhara makubwa na unaambukizwa kwa njia ya kujamiiana.
Ugonjwa huu unaweza ukapelekea uharibifu mkubwa kwenye mfuko wa uzazi,mayai ,mirija ya uzazi au sehemu nyingine za uzazi wa mwanamke
Na pia Pid ni moja ya chanzo cha ugumba kwa mwanamke ambacho kinaweza kuzuilika.

TAKWIMU ZINAONESHA

Kila mwaka,zaidi ya wanawake milioni moja nchini marekani wanapatwa na ugonjwa huu wa PID,
Matokeo yake zaidi ya wanawake 100000 wanakuwa wagumba kila mwaka.
Zaidi ya hayo idadi kubwa ya mimba zaidi ya 100000 inatungiwa kwenye mirija ya uzazi(ectopic pregnancy) inahusishwa na tatizo hilo la PID.
Kiwango kikubwa cha maambukizi ni kwa wasichana wadogo

VISABABISHI VYA PID

Kwa kawaida mlango wa uzazi (cervix) inazuia bakteria ambao wameingia ukeni wasisambae sehemu zingine za ndani za uzazi
K**a mlango wa uzazi cervix umepatwa na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana k**a kisonono na/au clamydia
Mlango huo wa uzazi cervix unaathirika na unakuwa na uwezo mdogo
wa kuzuia kusambaa kwa bakteria sehemu za ndani za uzazi.
PID inatokea pale vimelea vya magonjwa vinaposafiri kutoka kwenye mlango wa uzazi cervix kwenda sehemu za juu za uzazi.
Aslimia 90 ya PID husababishwa na kutotibiwa ugonjwa wa kisonono na klamidia
Visababibishi vingine vya pid

👉Kutoa mimba
👉Kujifungua
👉Vipimo kwenye mlango wa uzazi

DALILI ZA PID

Dalili za PID zinatofautiana,zinaweza kuwa zifuatazo

👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida wenye rangi ya kijani au ya njano na wakati mwingine una harufu isiyo ya kawaida
👉Kichefuchefu na kutapika
👉Homa ya huu
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Maumivu sehemu ya kulia upande wa juu wa tumbo

MAMBO YANAYOWEZA KUMUWEKA HATARINI MWANAMKE KUPATA PID

Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinamuweka mwanamke katika hatari ya
kupata PID ni k**a vifuatavyo
1.Wanawake wenye magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana k**a kisonono na klaimidia wako hatarini sana kupata PID
2.Wanawake ambao waliwahi kupata PID wako hatarini kupata tena
3. Wasichana wadogo wapo hatarini kupata PID kuliko wazee.
4.Wanawake wenye wapenzi wengi wako katika hatari ya kupata magonjwa ya zinaa na PID
Baadhi ya tafiti zinaeleza uoshaji wa uke unachangia kupata PID.Kuosha uke( Douching) kunaweza pelekea kusukuma bakteria sehemu za juu za via vya uzazi na kuzuia kutoka kwa uchafu ambao mwanamke angeweza kutumia k**a ishara ya kwenda kuonana na wataalamu wa Afya mapema

MADHARA YA PID

Kutokea /kujirudia kwa PID kunaweza kusababisha
kutokea kuharibika mirija ya uzazi ambayo inaweza kupelekea
👉Ugumba
👉Mimba kutunga kwenye mirija ya uzazi(ectopic pregnancy)
👉Maumivu makali kwenye shingo ya kizazi
Kati ya wanawake nane (8) wanaougua PID mmoja(1) unakuwa mgumba

JINSI YA KUJIKINGA NA PID
PID
inaweza kuzuilika kabisa ,kisababishi kikubwa cha pid ni magonjwa ya zinaa Mambo ya kuzingatia ili uweze kujikinga na PID
👉Epuka kufanya mapenzi na watu wengi
👉Tumia njia za uzazi wa mpango(barrier) k**a kondomu
👉Tumia spermicides kwa kila tendo la ndoa hata k**a unameza vidonge vya uzazi
👉 Usitumie IUDs k**a unawapenzi wengi.
Note
IUDs ni vitu vinavyowekwa ndani ya uke kuzuia mimba
👉Wahi matibabu ukiona dalili zozote za PID au za magonjwa ya zinaa k**a kuto=
kwa na uchafu usio wa kawaida ukeni,maumivu kiunoni nk
👉Pia fanya uchunguzi wa afya ya uzazi mara kwa mara ili k**a kuna tatizo ligundulike na litibiwe kabla halijasambaa kwenda kwenye viungo vya ndani vya uzazi

MATIBABU YA PID

Antibiotics hutumika kutibu PID kwa awali na kwa matibabu ya PID ya awali antibiotics za kunywa hutumika.
K**a tatizo limekuwa kubwa mgonjwa atapewa antibiotics ya kunywa na pia ya sindano,k**a utagundulika na tatizo hili mwenza wako au wenza wako watibiwe hata k**a hawana dalili zozote vinginevyo tatizo litaweza kujirudia mtakaposhiriki tendo la ndoa
TATIZO LIKIZIDI LIKAWA KUBWA YANI USAHA UKAVIMBIA ITAKUBIDI UFANYIWE UPASUAJI

*PIA KWA KUWA CHEMICAL ANTIBIOTIC NYINGI UJENGA USUGU NA KUFANYA KUWA NA PID SUGU, WAWEZA KUTUMIA ANTI BIOTIC ZA ASILI AMBAZO UPAMBANA NA MAAMBUKIZI SUGU WAWEZA KUTUMIA YUZH CAPSULE, FEMICARE*

MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA 0622339278
WHATSAPP +255 622339278

Address

Dodoma

Telephone

+255622339278

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Na Bf Suma 2021 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Na Bf Suma 2021:

Share