17/08/2023
🇹🇿🇺🇬🇹🇿🇺🇸🇰🇪🇹🇿🇺🇬
👇👇👇👇👇👇👇
1.PID(pelvic inflammatory disease) maambukizi kwenye via vya uzazi
▶️VYANZO
🔵magonjwa ya zina
🔵Kujamiana na watu wenye maambukizi
🔵Maambukizi baada ya kujifungua
🔵Kutoa mimba
🔵Vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi
🔵UTI SUGU inayojirudia rudia
DALILI ZA PID
⏩Kutokwa na uchafu mzito ukeni
⏩Uchafu ukeni wa rangi nyeupe au njano
⏩Uke kutoa harufu mbaya
⏩Kuwashwa sehemu za siri
⏩maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu
⏩Uke kuwa mlaini sana
⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa
⏩Kuvurugikwa kwa hedhi
⏩Kutokwa na majimaji ukeni kupita kiasi
⏩Maumivu wakati wa kukojoa
⏩Homa/uchovu na kuchoka
⏩kizungu zungu na n.k
🔴MADHALA YA KUTOKUDHIBITI PID NI MENGI MNO ILA BAADHI
1.Ugumba
2.mimba kutoka kabla ya wakati wake
3.hormone imbalance
4.Kunyemelewa na vimbe kwenye kizazi
5.Kunyemelewa na saratani ya kizazi na n.k
Jali afya yako PID inatibika
Wasiliana nasi kupitia namba
+255613614201
Au watsapp namba +255613614201
DR.Faidha
Katika
SHINIKIZO LA DAMU |VIDONDA VYA TUMBO |NGUVU ZA KIUME UZAZ