DFM Healthcare

DFM Healthcare Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DFM Healthcare, Dodoma.

DFM GROUP NI WAUZAJI WA KIRUTUBISHO (SUPER GRO)
UKITUMIA
TEGEMEA KUONGEZAKA KWA MAVUNO ×2 YA YALE ULIO KUA UNA VUNA MWANZO
TEGEMEA KUPUNGUZA GHARAMA KWA TUPIGIE WHATSAPP NAMBA
0742213864
0657046964

Deogratias Mwanaloga:Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake.Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhu...
26/12/2023

Deogratias Mwanaloga:

Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake.

January 7, 202312 Min Read10 Comments
Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu k**a Hormonal imbalance.
Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini kwa sasa kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi kuanzia miaka14.Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe (kuvunja ungo), hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.
Mvurugiko wa homoni kwa wanawake huweza kuchangiwa na kutokuwepo kwa usawa katika homoni zifuatazo; Estrogen, progesterone na testosterone ambapo kuzidi au kupungua kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko wa homoni kwa wanawake.
Homoni Ya Estrogen:
Hii ni homoni ya k**e muhimu zaidi ambayo hutunzwa kwenye ovari, ini na huwasaidia wanawake wajawazito, huwasaidia wasichana kwenye ukuaji, husaidia pia kwenye kipindi cha ovulasheni. Wakati wa hedhi kuisha kabisa kiwango cha estrogeni hushuka.
Kazi Za Homoni Ya Estrogen:
1) Hufanya uke wa msichana uwe umekomaa ili awe tayari kushiriki katika tendo la ndoa na pia kushika mimba.
2) Homoni hii huwafanya wasichana wapate uchu wa ngono, au ashiki ya mapenzi na kwa njia hii huonekana k**a homoni ya uzazi wa wanawake.
3) Estrojeni pia husaidia mama anapokuwa mjamzito ili matiti yake yawe tayari kutoa maziwa ya kunyonyesha mtoto.
4) Homoni ya estrojeni ikishirikiana na homoni ya ukuaji (human growth hormone) husaidia katika ubalehe wa wasichana ambapo matiti yao madogo huanza kunenepa na kuwa makubwa.
Upungufu Wa Homoni Ya Estrogen:
Hii ni aina ya mvurugiko wa homoni ambao hutokea sana kwa wanawake waliofikia ukomo wa kujifungua hasa kuanzia miaka 45 na kuendelea na hasa kwa wale waliofikia ukomo wa hedhi ambapo kwa kitaalamu huitwa menopause, kwa upande wa kimo wanawake wembamba uathiriwa zaidi kuliko wanawake wanene. zifuatazo ni dalili za mvurugiko wa homoni ya estrogen;

a) Kuwepo kwa ukavu ukeni.
Hii ni dalili mojawapo inayowapata sana akina mama wenye mvurugiko au upungufu wa homoni ya estrogen, kwenye uke kunakuwepo ukavu, hali hii husababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa na kukosa ute ukeni ambako husababisha mikwaruzo kwenye uke.
b) Maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
Kwa kawaida ili mwanaume aweze kushiriki na kufurahia tendo la ndoa inapaswa maandalizi kwa mwanamke yafanyike ili kupelekea uwepo wa ute kwenye uke wake ambao husaidia uboo kupita kwa urahisi, hiyo k**a ute haupo ukeni kutokana na upungufu wa homoni ya estrogen lazima mwanamke atapata maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
C) Kutokwa jasho wakati wa usiku.
Kwa sababu ya kuwepo kwa homa za vipindi kunatokana na upungufu wa homoni ya estrogen husababisha mama kutokwa na jasho wakati wa usiku, hata k**a Kuna baridi kiasi gani mwanamke mwenye upungufu wa homoni ya estrogen huisi joto wakati wa usiku.
d) Matatizo ya kupoteza kumbukumbu huweza kutokea.
Hii pia ni mojawapo ya dalili za upungufu wa homoni ya estrogen kwa wanawake na ndio maana utawakuta akina mama wengi wenye umri wa kuingia menopause Wana shida ya kusahau sana hii ni kwa sababu ya kupoteza homoni ya estrogen.
e) Kujisikia uchovu mara kwa mara hasa wakati wa kufanya kazi.
Upungufu wa homoni ya estrogen kwa mwanamke hupelekea mwanamke kujihisi mchovu mara kwa mara hasa wakati wa kufanya kazi.
Vyakula vinavyo ongeza homoni ya estrogen:
vifuatavyo ni vyakula vinavoongeza kiwango cha homoni ya estrogen kwa wanawake ambavyo ni pamoja na;
1) Soya.
Soya na bidhaa zinazotengenezwa kutoka kwenye soya, k**a vile tofu na miso, ni chanzo bora cha phytoestrogens. Fitoestrojeni ni estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrojeni kwenye mwili wa mwanamke na kusaidia kupunguza mapungufu yatokanayo na ukosefu wa homoni hii kwa mwanamke.

Hivyo ulaji wa soya kwa mwanamke unasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogen mwilini.

2) Karanga.
Ulaji wa karanga kwa mwanamke husaidia kuongeza kiwango cha estrogeni mwilini.
Karanga pia ni chanzo muhimu cha phytoestrogens. Fitoestrojeni ni estrogen ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrojeni kwenye mwili wa mwanamke na kusaidia kupunguza mapungufu yatokanayo na ukosefu wa homoni hii kwa mwanamke.

3) Mbegu Za Ufuta.
Mbegu za ufuta pia ni chanzo muhimu cha phytoestrogens, pamoja na kutoa kiwango kikubwa cha nyuzi (dietary fibre) na madini ya kalsiamu. Katika mbegu za ufuta pia tunapata lignans, ambayo ni metaboli za sekondari za mimea iliyo na viwango vya juu vya phytoestrogens. Hivyo ulaji wa mbegu za ufuta kwa mwanamke unasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogen mwilini.

5) Maharage.
Licha ya maharage kuwa ni chanzo cha protini mwilini, maharage pia yanasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogeni katika mwili wa mwanamke kwani yanatoa idadi kubwa ya phytoestrogens, estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrogen katika mwili wa mwanamke.

6) Mbaazi.
Ulaji wa mbaazi kwa mwanamke unasaidia kuongeza kwa haraka kiwango cha estrogen mwilini.
Mbaazi ni chanzo muhimu cha phytoestrogen, estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrogen katika mwili wa mwanamke.

7) Vyakula Vyenye Vitamini C.
Ulaji wa Vyakula vyote vyenye vitamini c kwa mwanamke k**a vile machungwa, nyanya, tikiti maji, ndizi na vinginevyo unasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogen mwilini. Vyakula vyote vyenye vitamini c vinatoa idadi kubwa ya phytoestrogens, estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrogen katika mwili wa mwanamke.

Homoni Ya Progesterone:
Hii ni homoni muhimu ya uzazi wa mwanamke inayozalishwa na mfuko wa mayai (ovari).
Kazi Za Homoni Ya Progesterone:
1) Inahusika kuweka mzunguko wa hedhi katika mpangilio.
2) Inahusika pia kuweka mimba katika hali salama kwani katika kipindi cha mimba inasaidia kuboresha mzunguko wa damu kwenye mji wa mimba.
Baada ya yai la mwanamke kutolewa na ovari (ovulation) homoni hii huzalishwa kwa wingi ili kuimarisha kuta za mji wa mimba kuandaa kupokea yai lililorutubishwa tayari kwa ajili ya kutengeneza mtoto.
Endapo hakuna yai lililorutubishwa basi homoni hii huachwa kuzalishwa kwa wingi hali inayopelekea mwanamke kupata hedhi.

Vyanzo Vya Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake:
Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na mfumo wa maisha wanayoishi (lifestyle), elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na makundi ya damu. Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni k**a vile.
a) Uwepo wa sumu mwilini.
b) Mfumo mbovu wa maisha (Unbalanced lifestyle).
c) umri.
d) Kukoma kwa hedhi.
e) Kutofanya mazoezi.
f) Uzito mkubwa.
g) Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.
h) Msongo wa mawazo.
i) Kula vyakula visivyo endana na blood group.
j) Upungufu wa lishe mwilini.
k) Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.
l) Utoaji wa mimba.
m) Family history (upungufu au ongezeko la homoni ya progesterone na estrogen).
0) Ethnicity, wanawake wa kiafrika wengi wana hili tatizo la ongezeko la homoni ya estrogen.
Dalili Za Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake:
Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mwanamke mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile;
a) Ukavu ukeni.
b) Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
c) Uchovu wa mara kwa mara.
d) Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.
e) Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa.
f) Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku7 (heavy menstrual bleeding).
g) Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
h) Kukosa usingizi.
i) Homa za usiku na kizunguzungu cha mara kwa mara.
j) Mzio wa vyakula (allergy), kuchagua chagua vyakula.

k) Ongezeko la tumbo na nyama uzembe.
l) Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele).
m) Maumivu ya viungo.
n) Upungufu wa nywele kichwani.
o) Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi).
p) Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo na kutokukua kwa via vya Uzazi.
Madhara Ya Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake:
Yafuatayo ni baadhi ya madhara ya mvurugiko wa homoni kwa wanawake;
a) Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu.
b) Mimba kuharibika mara kwa mara.
c) Kukosa mtoto au ugumba.
d) UTI (Urinary Tract Infections).
Soma pia hii makala: Uti Kwa Wanawake: Zijue Sababu 3 Zinazopelekea Kuugua Uti, Tiba Mbadala Na Kinga.
e) Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
f) Kuzeeka mapema.
g) Kuziba kwa mirija ya uzazi.
h) Uvimbe (uterine fibroids na ovarian cysts).
SULUHISHO:
A) Suluhisho Linalopendwa.
wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa hutumiwa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy. Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake k**a kawaida. Lakini hupelekea baadhi ya madhara k**a;
a) Kuongezeka uwezekano wa shinikizo la damu.
b) Osteoporosis (low bone density).
c) Madhara katika mfumo wa uzazi.
d) Saratani.
B) Suluhisho La Kudumu.
Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza kurekebisha. Kwa wanawake wenye changamoto hii tumewaandalia programu ya virutubisho lishe ambavyo vimetokana na mimea asili ambavyo vinasaidia kuweka sawa homoni za mwanamke, kurekebisha mfumo mzima wa uzazi, uleta heshima ya ndoa mana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa tendo la ndoa), na kupunguza kasi ya uzee kwani sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo;
a) Vimbe zinazojipachika kwenye uzazi wa mwanamke.
b) Vidonda vya tumbo.
Hivyo programu hii itakusaidia katika kuboresha afya yako na kukuondolea hizo changamoto zote.
Kwa mwanamke yeyote atakayehitaji hii programu kwa ajili ya kutatua changamoto yake ya mvurugiko wa homoni bonyeza hapa: “Hili Ndilo Suluhisho Bora Ukiwa Unataka Kutibu Tatizo La Kutokuona Hedhi/Hedhi Kutokukata.”
Ni mimi mwenye kujali afya yako Dr. ISAYA

Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake.
Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake.

Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu k**a Hormonal imbalance.
Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini kwa sasa kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi kuanzia miaka14.Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe (kuvunja ungo), hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.
Mvurugiko wa homoni kwa wanawake huweza kuchangiwa na kutokuwepo kwa usawa katika homoni zifuatazo; Estrogen, progesterone na testosterone ambapo kuzidi au kupungua kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko wa homoni kwa wanawake.
Homoni Ya Estrogen:
Hii ni homoni ya k**e muhimu zaidi ambayo hutunzwa kwenye ovari, ini na huwasaidia wanawake wajawazito, huwasaidia wasichana kwenye ukuaji, husaidia pia kwenye kipindi cha ovulasheni. Wakati wa hedhi kuisha kabisa kiwango cha estrogeni hushuka.
Kazi Za Homoni Ya Estrogen:
1) Hufanya uke wa msichana uwe umekomaa ili awe tayari kushiriki katika tendo la ndoa na pia kushika mimba.
2) Homoni hii huwafanya wasichana wapate uchu wa ngono, au ashiki ya mapenzi na kwa njia hii huonekana k**a homoni ya uzazi wa wanawake.
3) Estrojeni pia husaidia mama anapokuwa mjamzito ili matiti yake yawe tayari kutoa maziwa ya kunyonyesha mtoto.
4) Homoni ya estrojeni ikishirikiana na homoni ya ukuaji (human growth hormone) husaidia katika ubalehe wa wasichana ambapo matiti yao madogo huanza kunenepa na kuwa makubwa.
Upungufu Wa Homoni Ya Estrogen:
Hii ni aina ya mvurugiko wa homoni ambao hutokea sana kwa wanawake waliofikia ukomo wa kujifungua hasa kuanzia miaka 45 na kuendelea na hasa kwa wale waliofikia ukomo wa hedhi ambapo kwa kitaalamu huitwa menopause, kwa upande wa kimo wanawake wembamba uathiriwa zaidi kuliko wanawake wanene. zifuatazo ni dalili za mvurugiko wa homoni ya estrogen;

a) Kuwepo kwa ukavu ukeni.
Hii ni dalili mojawapo inayowapata sana akina mama wenye mvurugiko au upungufu wa homoni ya estrogen, kwenye uke kunakuwepo ukavu, hali hii husababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa na kukosa ute ukeni ambako husababisha mikwaruzo kwenye uke.
b) Maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
Kwa kawaida ili mwanaume aweze kushiriki na kufurahia tendo la ndoa inapaswa maandalizi kwa mwanamke yafanyike ili kupelekea uwepo wa ute kwenye uke wake ambao husaidia uboo kupita kwa urahisi, hiyo k**a ute haupo ukeni kutokana na upungufu wa homoni ya estrogen lazima mwanamke atapata maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
C) Kutokwa jasho wakati wa usiku.
Kwa sababu ya kuwepo kwa homa za vipindi kunatokana na upungufu wa homoni ya estrogen husababisha mama kutokwa na jasho wakati wa usiku, hata k**a Kuna baridi kiasi gani mwanamke mwenye upungufu wa homoni ya estrogen huisi joto wakati wa usiku.
d) Matatizo ya kupoteza kumbukumbu huweza kutokea.
Hii pia ni mojawapo ya dalili za upungufu wa homoni ya estrogen kwa wanawake na ndio maana utawakuta akina mama wengi wenye umri wa kuingia menopause Wana shida ya kusahau sana hii ni kwa sababu ya kupoteza homoni ya estrogen.
e) Kujisikia uchovu mara kwa mara hasa wakati wa kufanya kazi.
Upungufu wa homoni ya estrogen kwa mwanamke hupelekea mwanamke kujihisi mchovu mara kwa mara hasa wakati wa kufanya kazi.
Vyakula vinavyo ongeza homoni ya estrogen:
vifuatavyo ni vyakula vinavoongeza kiwango cha homoni ya estrogen kwa wanawake ambavyo ni pamoja na;
1) Soya.
Soya na bidhaa zinazotengenezwa kutoka kwenye soya, k**a vile tofu na miso, ni chanzo bora cha phytoestrogens. Fitoestrojeni ni estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrojeni kwenye mwili wa mwanamke na kusaidia kupunguza mapungufu yatokanayo na ukosefu wa homoni hii kwa mwanamke. Hivyo ulaji wa soya kwa mwanamke unasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogen mwilini.

2) Karanga.
Ulaji wa karanga kwa mwanamke husaidia kuongeza kiwango cha estrogeni mwilini.
Karanga pia ni chanzo muhimu cha phytoestrogens. Fitoestrojeni ni estrogen ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrojeni kwenye mwili wa mwanamke na kusaidia kupunguza mapungufu yatokanayo na ukosefu wa homoni hii kwa mwanamke.

3) Mbegu Za Ufuta.
Mbegu za ufuta pia ni chanzo muhimu cha phytoestrogens, pamoja na kutoa kiwango kikubwa cha nyuzi (dietary fibre) na madini ya kalsiamu. Katika mbegu za ufuta pia tunapata lignans, ambayo ni metaboli za sekondari za mimea iliyo na viwango vya juu vya phytoestrogens. Hivyo ulaji wa mbegu za ufuta kwa mwanamke unasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogen mwilini.

5) Maharage.
Licha ya maharage kuwa ni chanzo cha protini mwilini, maharage pia yanasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogeni katika mwili wa mwanamke kwani yanatoa idadi kubwa ya phytoestrogens, estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrogen katika mwili wa mwanamke.

6) Mbaazi.
Ulaji wa mbaazi kwa mwanamke unasaidia kuongeza kwa haraka kiwango cha estrogen mwilini.
Mbaazi ni chanzo muhimu cha phytoestrogen, estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrogen katika mwili wa mwanamke.

7) Vyakula Vyenye Vitamini C.
Ulaji wa Vyakula vyote vyenye vitamini c kwa mwanamke k**a vile machungwa, nyanya, tikiti maji, ndizi na vinginevyo unasaidia kuongeza kiwango cha homoni ya estrogen mwilini. Vyakula vyote vyenye vitamini c vinatoa idadi kubwa ya phytoestrogens, estrojeni ya asili ambayo hufanya kazi sawa na homoni ya estrogen katika mwili wa mwanamke.

Homoni Ya Progesterone:
Hii ni homoni muhimu ya uzazi wa mwanamke inayozalishwa na mfuko wa mayai (ovari).
Kazi Za Homoni Ya Progesterone:
1) Inahusika kuweka mzunguko wa hedhi katika mpangilio.
2) Inahusika pia kuweka mimba katika hali salama kwani katika kipindi cha mimba inasaidia kuboresha mzunguko wa damu kwenye mji wa mimba.
Baada ya yai la mwanamke kutolewa na ovari (ovulation) homoni hii huzalishwa kwa wingi ili kuimarisha kuta za mji wa mimba kuandaa kupokea yai lililorutubishwa tayari kwa ajili ya kutengeneza mtoto.
Endapo hakuna yai lililorutubishwa basi homoni hii huachwa kuzalishwa kwa wingi hali inayopelekea mwanamke kupata hedhi.

Vyanzo Vya Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake:
Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na mfumo wa maisha wanayoishi (lifestyle), elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na makundi ya damu. Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni k**a vile.
a) Uwepo wa sumu mwilini.
b) Mfumo mbovu wa maisha (Unbalanced lifestyle).
c) umri.
d) Kukoma kwa hedhi.
e) Kutofanya mazoezi.
f) Uzito mkubwa.
g) Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.
h) Msongo wa mawazo.
i) Kula vyakula visivyo endana na blood group.
j) Upungufu wa lishe mwilini.
k) Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.
l) Utoaji wa mimba.
m) Family history (upungufu au ongezeko la homoni ya progesterone na estrogen).
0) Ethnicity, wanawake wa kiafrika wengi wana hili tatizo la ongezeko la homoni ya estrogen.
Dalili Za Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake:
Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mwanamke mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile;
a) Ukavu ukeni.
b) Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
c) Uchovu wa mara kwa mara.
d) Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.
e) Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa.
f) Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku7 (heavy menstrual bleeding).
g) Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
h) Kukosa usingizi.
i) Homa za usiku na kizunguzungu cha mara kwa mara.
j) Mzio wa vyakula (allergy), kuchagua chagua vyakula.
k) Ongezeko la tumbo na nyama uzembe.
l) Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele).

m) Maumivu ya viungo.
n) Upungufu wa nywele kichwani.
o) Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi).
p) Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo na kutokukua kwa via vya Uzazi.
Madhara Ya Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake:
Yafuatayo ni baadhi ya madhara ya mvurugiko wa homoni kwa wanawake;
a) Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu.
b) Mimba kuharibika mara kwa mara.
c) Kukosa mtoto au ugumba.
d) UTI (Urinary Tract Infections).
Soma pia hii makala
e) Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
f) Kuzeeka mapema.
g) Kuziba kwa mirija ya uzazi.
h) Uvimbe (uterine fibroids na ovarian cysts).
SULUHISHO:
A) Suluhisho Linalopendwa.
wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa hutumiwa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy. Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake k**a kawaida. Lakini hupelekea baadhi ya madhara k**a;
a) Kuongezeka uwezekano wa shinikizo la damu.
b) Osteoporosis (low bone density).
c) Madhara katika mfumo wa uzazi.
d) Saratani.
B) Suluhisho La Kudumu.
Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza kurekebisha. Kwa wanawake wenye changamoto hii tumewaandalia programu ya virutubisho lishe ambavyo vimetokana na mimea asili ambavyo vinasaidia kuweka sawa homoni za mwanamke, kurekebisha mfumo mzima wa uzazi, uleta heshima ya ndoa mana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa tendo la ndoa), na kupunguza kasi ya uzee kwani sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo;
a) Vimbe zinazojipachika kwenye uzazi wa mwanamke.
b) Vidonda vya tumbo.
Hivyo programu hii itakusaidia katika kuboresha afya yako na kukuondolea hizo changamoto zote.
Kwa mwanamke yeyote atakayehitaji hii programu kwa ajili ya kutatua changamoto yake ya mvurugiko wa homoni bonyeza hapa: “Hili Ndilo Suluhisho Bora Ukiwa Unataka Kutibu Tatizo La Kutokuona Hedhi/Hedhi Kutokukata.

17/12/2023

*URINARY TRACT INFECTION (UTI)*
Ni ugonjwa unaoshambulia sehemu za mfumo wa mkojo k**a vile mirija ya mkojo, kibofu na figo hizi nisehemu ambazo zinaathirika sana na kushambuliwa na bacteria

*SABABU ZA UTI*
1️⃣ Utumiaji wa njia za uzazi wa mpango( Birth control)

2️⃣ Kutokunywa maji ya kutosha (dehydration)

3️⃣kubana mkojo kwa muda mrefu

4️⃣ Kuwa na mawe ndani ya figo (kidney stones)

5️⃣ Kuvaa nguo ya ndani au pads kwa muda mrefu

6️⃣Maumbile( hasa hasa wanawake)

7️⃣ Kupataa choo kigumu ( constipation)

8️⃣ Sukari iliyopitilizaa (uncontrolled Dm).

*DALILI ZA UTI*

1️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

2️⃣ Maumivu wakati wa haja ndogo

3️⃣ Maumivu makali kwenye kibofu

4️⃣ Kukojoa mara kwa mara

5️⃣mkojo kutoka na damu au kuwa na harufu mbaya

6️⃣ Mwili kuchoka mara kwa mara
7️⃣Homa za mara kwa mara
8️⃣ Maumivu ya kiuno na mgongo

9️⃣ Kuharibika kwa sehemu ya uke

*MADHARA YA UTI*
1️⃣ Kujirudia mara kwa mara UTI

2️⃣ Kuharibu mfumo wa mkojo na kuepekea figo kufeli.

3️⃣ kusababisha kutoka kwa ujauzito kwa wa mama wajawazito

4️⃣ Kusababisha ugonjwa wa mawe kwenye figo.

*DAWA ZA HOSPITALI ZA UTI*
Doxycycline capsule 100 mg bd x 7/ 7 day

Or ciprofloxacillin tabs 500 mg bd for 7day

Au Amoxicillin clavulanic tabs 625 mg bd for 5 day

Au Ceftriaxone 1gm o. d for 5 day plus aina yeyote ya antibiotics

K**a umetumia Aina zote hizo za dawa na bado hujapona UTI au tatizo linajirudia.

*Basi tatizo lako limekuwa sugu tunakushauri utumie dozi itakayokusaidia kuondoa usugu wa dawa, kuua bacteria, na kuinarisha kinga ya mwili ili tatizo lisijirudie tena*

DFM HEALTH CARE TUNA DAWA ZINAZO SAIDI KUMALIZA TATIZO LAKO KABISA

BOFYA LINK KUJIUNGA KWENYE GROUP LA WASAPFollow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/C24M9Xvm1g95OcULOryY98

06/12/2023

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255657046964

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DFM Healthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share