Afya program

Afya program Tunatoa Ushauri na Tiba kwa Changamoto za Kiafya.

SABABU ZA UKE KUWA MKAVU NA TIBA YAKE. Uke mkavu: ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya ...
07/01/2024

SABABU ZA UKE KUWA MKAVU NA TIBA YAKE.

Uke mkavu: ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaan ESTROGEN HORMONES,, ambayo huleta ute na vilainishi vya uke

✍️✍️_kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na ute wa wastanii ambao hufanya uke kubana,kuleta joto na raha katka tendo

✍️✍️VISABABISHI VYA UKE MKAVU
_Upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi
_magonjwa ya zina k**aa kaswende,gonorea n.k
_U.T.I sugu
_Fangasi sugu ukeni
_uke mchafu
_matumizi ya sabuni za anti biotics kusafishia uke

DALILI ZA UKE MKAVU

_Maumivu makali wakat wa tendo la ndoa
_kutokwa na damu wakat/baada ya tendo la ndoa
_kukosa/kupungua hamu ya tendo la ndoa
_maumivu ya chini ya kitovu wakati wa tendo
_maumivu ya kiuno,mgongo na tumbo
_maumivu ya mifupa na viungo
_kuwa na ngozi kavu
_msongo wa mawazo kupita kiasi
_siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
_kuto furahia tendo la ndoa
_kuto shika mimba

✍️✍️ MADHARA YA UKE MKAVU

_upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi(HORMONES IMBALANCE )
_kuto shika mimba
_siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
_ni rahisi kushambuliwa na maambukizi katka mfumo wa uzazi k**a PID,PCOS n.k

KARIBU TUKUHUDUMIE
0755977232/0742644852

Address

P. O. BOX 259
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya program posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share