AFYA ZETU

AFYA ZETU ELIMIKA JUU YA AFYA ZETU KWA KUJIFUNZA VISABABISHI VYA MAGONJWA NA JINSI YA KUJIKINGA NA KUTIBIWA

11/10/2024

KAZI ZA MAFUTA YA SAMAKI NA UMUHIMU WAKE

💫Kazi Zake🦈

1. 🪔 NI KINGA YA MWILI
Inasaidia mwili kupambana na maradhi yanayoshambulia afya ya mtoto, mama mjamzito na mtu mzima. Pia inakinga magonjwa k**a cancer, presha na pumu.

2. 🪔 KUIMARISHA MIFUPA
Hii husaidia kuimarisha mifupa kwa mtu wenye matatizo ya miguu na kurudisha ute kwenye magoti k**a umepungua, husaidia pia mtoto anayechelewa kupiga hatua na mwenye viungo dhaifu.

3. 🪔 *KUIMARISHA AFYA YA UBONGO*
Mtoto anatakiwa apate vyakula vyenye virutubisho kwa ajili ya kujenga UBONGO wake kuanzia akiwa bado mdogo asipopata mapema ni shida hata akienda shule ni rahisi kuwa na uelewa mdogo *(akili)* hali inayopelekea mtoto kufeli darasani hivyo akitumia *Omega 3 Salmon Oil* yatamjenga ubongo na kumfanya mchangamfu pamoja na kumpa utulivu wa akili. Mama mjamzito pia anapotumia Omega 3 Salmon wakati akiwa mjamzito humuepusha mtoto kuzaliwa na Mtindio wa ubongo, mgongo wazi, mdomo wa sungura, autism na hata kutojifungua kabla ya wakati

4. 🪔 *HUSAIDIA KUONDOA TATIZO LA KUSAHAU*
Kutokana na mtindo wa maisha ya sasa watu tumekuwa na mambo mengi sana kichwani hivyo kupelekea mara nyingine kusahau lakini pia ulaji mbovu maana hatupata vyakula vyenye vitamin na madini kwa wingi, hivyo *Omega 3 Salmon Oil* yatasaidia kurejesha kumbukumbu kwa watoto hata watu wazima pia.

5. 🪔 KUNYOOSHA MATEGE KWA WATOTO NA KUONDOA MAUMIVU YA VIUNGO
Miguu itaweza kunyoka vizuri lakini pia itamsaidia mtoto kuepuka magonjwa ya kurithi k**a kutoka kwa wazazi hivyo mama mjamzito unapotumia mafuta ya Salmon oil wakati wote wa ujauzito utaweza kujifungua mtoto afya njema na uzito mzuri pia kuzuia kujifungua kabla ya wakati.

6. 🪔 KUBORESHA AFYA YA MACHO
Kwa mtoto au mtu mzima mwenye uoni hafifu *Omega 3 Salmon Oil* husaidia sana kuimarisha neva za macho yake na kumfanya aone vizuri na kwa ambaye hajapata tatizo hilo, Omega 3 Salmon humkinga.

7. 🪔 KUBORESHA AFYA YA MOYO
Omega 3 Salmon huondoa mafuta machafu kwenye mishipa ya damu hivyo kuruhusu damu kusafiri vizuri bila mgandamizo wowote, kwahiyo hata watu wenye tatizo la Presha na Moyo kutanuka Omega 3 Salmon inafanya vizuri sana kurejea katika hali ya kawaida.

***********

Tunapatikana Kilimanjaro

Pia Mizigo inatumwa popote ulipo.

Tupigie/ Whatsapp 0621679682.

Karibu sana!!

11/10/2024

Kuoga maji baridi kuna faida nyingi. Maji baridi huathiri sehemu ya "nukta ya bluu" au kitaalamu locus coeruleus katika ubongo, ambayo hutoa homoni ya noradrenaline, inayohusika na kupambana na mfadhaiko. Hii husaidia kushughulikia hali ya kukosa furaha na kupunguza ukali wa hasira.

Pia, maji baridi huboresha usafirishaji wa virutubisho mwilini na kuingiza oksijeni kwenye seli, kukufanya uwe makini zaidi, usichoke sana, na kuweza kuzingatia kazi maalum kwa muda mrefu zaidi. Kuoga maji baridi asubuhi husaidia kuamka haraka, huamsha seli zako na mzunguko wa damu, na hukufanya uhisi nguvu zaidi na kuwa na nishati ya kushughulikia kazi muhimu.

Ingawa kuoga maji baridi kuna faida hizo tajwa, kuna makundi ya watu ambao haishauriwi kuoga maji ya baridi bila kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya, makundi hayo ni :-
1. Watu wenye tatizo la presha.
Maji ya baridi yanafanya mishipa ya damu kusinyaa Hali inayoweza kupelekea presha kupanda Zaidi na hata kusababisha madhara makubwa.
2. Watu wenye Matatizo katika mfumo wa upumuaji, mfano wenye pumu n.k
3. Watu wenye kinga ya mwili dhaifu au iliyodhoofika
4. Wajawazito
5. Watu wenye ugonjwa wa Raynaud, ugonjwa ambao husababisha damu kutofika vizuri sehemu za mwisho au pembeni za mwili k**a masikini, miguuni, na vidoleni
6. Watu wenye ugonjwa wa kisukari
7. Watu waliofanyiwa upasuaji hivi karibuni

TUANDIKIE MAONI YAKO!

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA ZETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share