
25/09/2024
ππππππ ππ ππ¨π©ππ ππ ππͺπ π§πππ ππ¨π π π
π Kukojoa Mara kwa mara.
π Kubakiza mkojo kwenye kibofu.
π Kukojoa sana hasa Nyakati za usiku.
π Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
π Kupungukiwa nguvu za kiume.
π UTI ya Mara kwa mara.
π Mawe kwenye kibofu kutokana na Mrundikaniko wa Mkojo.
π Figo kujaa maji.
π Kupoteza fahamu.
π Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
π Uume kushindwa kusimama vizuri.
π Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.
ππ§πππ₯π ππ π§πππ ππ¨π π πππ π ππππ§ππͺπππ ππ¨π§ππππͺπ π
βοΈ Kushindwa kabisa kukojoa.
βοΈ Kupatwa na maambukizi ya UTI.
βοΈ Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
βοΈ Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
βοΈ Figo inaweza kuharibika.
βοΈ Saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer)
βοΈ Kifo π₯
ππͺπ π§πππ π‘π π¨π¦πππ¨π₯π πππππ
Tembelea Ofisi Zetu Zilizopo Nchi Nzima au Tupigie Sasa Kupitia
βοΈ +255657368259