28/11/2024
Fahamu zaidi ugonjwa wa kisukari, dalili zake , mambo yanayoweza kuchangia kupata kisukari ,watu gani haswa wako kwenye lisk ya kuugua kisukari, madhara ya kuto kutibu kisukari Kwa wakati , na aina ya vyakula vinavyotakiwa kuliwa kwa mgonjwa wa kisukari..
KISUKARI NI NINI?
huu ni ugonjwa ambao unatokana na mtu kuwa na sukari nyingi mwilini ama kiasi kichache.
Ugonjwa huu hutokea pale kongosho inaposhindwa kuzalisha sukari ama kichocheo aina ya insulini kuzalisha sukari inayo hitajika mwilini, hivyo kusababisha sukari kuongezeka mwilini.
Na kitendo Cha sukari kuongezeka mwilini kutokana na insulini kushindwa kuzalisha kiasi husika huitwa HYPEGLYCEMIA.
kitendo Cha sukari kuzalishwa Kwa uchache kutokana na kushindwa Kwa kongosho kuzalishwa insulini ya kutosha huitwa HYPOGLCEMIA.
Kuna aina mbili kuu ugonjwa wa kisukari type 1 na type 2 diabetic mellitus.
Type l husababishwa na ukosefu wa insulin inayo zalishwa mwilini,kwa hiyo huitwa insulin dependant diabetic mellitus IDDM
Aina hii hudhibitiwa Kwa kuchomwa sindano.
Pia ULAJI wa VYAKULA
Aina hii huwapata hasa watoto na vijana.
Aina ya pili ni type II non insulin dependant mellitus.
Aina hii husababishwa na mwili kushindwa kutumia sukari, hivyo sukari huwa katika kiwango cha juu mwilini, hujulikana k**a NIDDM.
Aina hii hudhibitiwa Kwa ULAJI na VIDONGE
NA HUWAPATA WATU WENYE UMRI KUANZIA MIAKA 40 KUENDELEA.
BAADHI YA MAMBO YANAYOCHANGIA KUPATA KISUKARI.
✓Uzito uliozidi
✓Kutokufanya mazoezi
✓Ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi
✓Kuwa na shinikizo kubwa la damu
✓Matumizi ya sigara na tumbaku
✓ Umri zaidi ya miaka 40.
Dalili za ugonjwa wa kisukari
1. Kukojoa mara Kwa mara
2.Kusikia kiu sana
3.Kusikia njaa sana
4.Kuchoka na kukosa nguvu
5.Kupungua uzito bila kusudia
6.kizunguzungu
7.Vidonda visivyo pona
8. Vidole na Viungo kufa ganzi
9. Mapigo ya moyo kwenda mbio
10.kutokuona vizuri
11. Kuchanganyikiwa
USIHANGAIKE NIKO HAPA KUKUSAIDIA NINAYO DAWA NZURI ITAKAYO KUSAIDIA UZALISHAJI MZURI WA SUKARI KWENYE MFUMO WAKO WA DAMU , NDANI YA SIKU 30..TU TATIZO LAKO LITAKUWA KWISHA.
NA KWA WATEJA 10 WA MWANZO WATAPATA PUNGUZO YA 10%.
BAADA YA KUTUMIA DAWA YETU NDANI YA SIKU 30, USIPO PONA ,UTARUDISHIWA PESA ZAKO ZOTE ULIZOTOA KWA AJILI YA MATIBABU..
Dr. Chris's mwangaza wa afya
AFYA NI NURU, TIBU TATIZO KWA GHARAMA NDOGO, KUEPUKA MATIBABU YA GHARAMA KUBWA BADAE..
WASAP NAMBA 0764489720.
JIUNGE NA GROUP LA KISUKARI NA PRESSURE BUREE, UTAJIFUNZA
1. Mambo 5 muhimu mgonjwa wa kisukari anayopitia
2.Namna ya kuepukana na magonjwa nyemelezi.
3.Vyakula aina Gani unapaswa kula na usile
4.Aina ya mazoezi yanayokufaa
JIUNGE SASA! 0764489720 tuma ujumbe niunge..